WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Angalia miji inayokaliwa na jamii yenu ilivyo michafu, hewa nzito kama una roho nyepesi unakufa kwa kutapika.Habari ya uchafu na usafi imeingiaje hapa.
Kwanza nyie wafuga nguruwe hamjui kuwa nguruwe ndo mnyama mchafu duniani??
Nyie ni wafuga uchafu.
Hiyo hewa chafu kuliko nguruwe?Angalia miji inayokaliwa na jamii yenu ilivyo michafu,hewa nzito kama una roho nyepesi unakufa kwa kutapika.
Ukweli ni kwamba Idd Amini alikuwa na kukosi chake maalum walikuwa wakivaa nguo za vitenge. Uganda waliwaita ichitenge, walikuwa kama watu wasiojulikana, wakikufuata hurudi. Hata Kikwete alikuwa na watu hawa wakiongozwa na Ramadhani Igwondu aliyemteka na kumtoa kucha na meno Dr. Ulimboka.
Pia magufuli alikuwa na watu wa aina hii. magufuli ni Mtakatifu wa kina Kulwa Jilala na Sukuma gang wote.
Bunge lililopitisha mkataba wa DP World ni matokeo ya utawala mbovu wa kifashisti wa magufuli
Iddia amini alikuwa mwema..lazima nimsifu muislam mwenzangu.
Nyerere alikuwa kibaraka wa wazungu mkatoliki yule
Tuendelee kujadili bandari na ishauzwa? Mjadala wa bandari and the like utasaidia nini, mali ya Waarabu? Bora buji ametuletea changamsha gengeBoss, should we discuss issues of this kind miaka hii kweli? Alikuwa shujaa, hakuwa, alitumika na wazungu hakutumika, inasaidia nini leo hii?! Hata tukipata majibu Leo yatatatua nini?
Nyerere ni shetani namba moja duniani na mzandiki, mdini na ........Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili.
Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake.
Idd Amini aliitwa majina yote mabaya na nchi za magharibi baada ya utiriri wa matukio ya wadhalilisha Wazungu na kuwatimua Wahindi ili Waganda wenyewe waendeshe shughuli zote za kiuchumi na kukuza uchumi wao.
Miongoni mwa visanga alivyo vifanya Idd Amini ni pamoja na:-
Hivyo ni basi baada ya kuwatoa Wazungu dole la jicho, ndipo walipomuanza kumchonganisha Mwalimu na Amini ili Mwalimu ampige Amini na apotezwe kabisa.
- Kuwaamuru mabalozi wa nchi za Ulaya wambebe juu juu na kiti kisha kumzungusha mitaani huku wananchi wakishangalia. Alifanya hivi kulipa kisasi jinsi babu zetu walivyowabeba wazungù.
- Kuna wakati Amin aliomba msaada wa kifedha kwa Malkia Elizabeth, msaada ukachelewa, baada ya miezi kadhaa ndipo Amin akapewa hiyo pesa, kwa jeuri akamwambia sina shida na pesa yako, akairudisha. Malkia alikasirika sana.
- Idd Amini aliwatimua Waasia wote, Wahindi na Waarabu ili kupisha Waganda wenyewe wafanye biashara.
KUKAWA na maneno kati ya Mwalimu na Amini ambayo hayakuwa mazuri, hatimaye yakapelekea vita ya mataifa mawili haya.
Habari za Idd Amini kula nyama za watu, je ilikuwa uzushi ama propaganda?
Je habari za Amin kuwapasua wanawake wajawazito, ilikuwa ni kweli au uzushi?
Je habari za Amini kuwatupa mto Nile walemavu zina ukweli gani? Je kuna uhusiano gani na ule wimbo wa Mchakamchaka Idd Amini akifa siwezi kulia, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba?
Karibuni waungwana
Nguruwe aheshimiwe na watu wote. Mbona msimu wa mfungo biashara inakuwa ngumu sana?Habari ya uchafu na usafi imeingiaje hapa.
Kwanza nyie wafuga nguruwe hamjui kuwa nguruwe ndo mnyama mchafu duniani??
Nyie ni wafuga uchafu.
Nitaenda butiama kupiga fimbo kaburi la nyerere huko butiamaWeekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili.
Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake.
Idd Amini aliitwa majina yote mabaya na nchi za magharibi baada ya utiriri wa matukio ya wadhalilisha Wazungu na kuwatimua Wahindi ili Waganda wenyewe waendeshe shughuli zote za kiuchumi na kukuza uchumi wao.
Miongoni mwa visanga alivyo vifanya Idd Amini ni pamoja na:-
Hivyo ni basi baada ya kuwatoa Wazungu dole la jicho, ndipo walipomuanza kumchonganisha Mwalimu na Amini ili Mwalimu ampige Amini na apotezwe kabisa.
- Kuwaamuru mabalozi wa nchi za Ulaya wambebe juu juu na kiti kisha kumzungusha mitaani huku wananchi wakishangalia. Alifanya hivi kulipa kisasi jinsi babu zetu walivyowabeba wazungù.
- Kuna wakati Amin aliomba msaada wa kifedha kwa Malkia Elizabeth, msaada ukachelewa, baada ya miezi kadhaa ndipo Amin akapewa hiyo pesa, kwa jeuri akamwambia sina shida na pesa yako, akairudisha. Malkia alikasirika sana.
- Idd Amini aliwatimua Waasia wote, Wahindi na Waarabu ili kupisha Waganda wenyewe wafanye biashara.
KUKAWA na maneno kati ya Mwalimu na Amini ambayo hayakuwa mazuri, hatimaye yakapelekea vita ya mataifa mawili haya.
Habari za Idd Amini kula nyama za watu, je ilikuwa uzushi ama propaganda?
Je habari za Amin kuwapasua wanawake wajawazito, ilikuwa ni kweli au uzushi?
Je habari za Amini kuwatupa mto Nile walemavu zina ukweli gani? Je kuna uhusiano gani na ule wimbo wa Mchakamchaka Idd Amini akifa siwezi kulia, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba?
Karibuni waungwana
Mwalimu alipokea msaada wa intelligence kutoka Israel na UK na ndio akamudu kuiteka ndege ya Libya ikatua Tz badala ya Uganda.Nyerere alitumiwa na Wazungu kumchafua Iddi?
Mengine yote ungeweza kudanganya kwa nia ya kumpamba. Ila hilo la mgongano wake na Mwalimu ungeacha.
Iddi Amini alikuwa na maneno ya hovyo na vitisho. Mwalimu alijitahidi sana kutomzingatia. Mpaka pale Iddi alipojitoa ufahamu kutaka kung'ang'ania eneo la nchi yetu kuwa eneo la Uganda.
Uvumilivu huo usingeuvumilia hata wewe.
Kama ni Wazungu walimtuma Mwalimu kumchafua Iddi, basi hata wakati wa Vita wangempa msaada wa kivita ili kumchakaza Iddi Amini. Badala yake, Iddi Amini ndiyo alipata msaada kutoka nchi wahisani wa Kiislamu (Libya).
a nyerereNi nini kilimtuma Idd Amini kuivamia Tanzania?
Mbona una mapovu sana kwenye kila comment yako¿ huna hela ya bia?NYERERE HAKUWA RAFIK WA ULAYA JINGA WW😡
Kwani nani alieanza kumchokozs mwenzie?
sasa kiongozi umeongea vizuri kabisa ila hii DP world na Magufuli mbona mnatuonea 🤣.Ukweli ni kwamba Idd Amini alikuwa na kukosi chake maalum walikuwa wakivaa nguo za vitenge. Uganda waliwaita ichitenge, walikuwa kama watu wasiojulikana, wakikufuata hurudi. Hata Kikwete alikuwa na watu hawa wakiongozwa na Ramadhani Igwondu aliyemteka na kumtoa kucha na meno Dr. Ulimboka.
Pia magufuli alikuwa na watu wa aina hii. magufuli ni Mtakatifu wa kina Kulwa Jilala na Sukuma gang wote.
Bunge lililopitisha mkataba wa DP World ni matokeo ya utawala mbovu wa kifashisti wa magufuli
Kwahyo Iddi amini ni kama Russia Tanzania ni kama Ukraine?..Idi Amin ndiye aliyevamia na kukalia eneo la Tanzania.
..kipindi hicho tulikuwa tumesaini makubaliano ya amani ya Mogadishu na kila upande ulipaswa kumheshimu mwenzake.
..pia Iddi Amin alikataa kuondoka nchini kwetu kwa amani na kukanusha madai kuwa eneo la Kagera ni mali ya Uganda.
..mazingira hayo ndiyo yaliyopelekea Mwalimu Nyerere kutuma Jwtz kumuondoa kinguvu toka ktk ardhi.
..Kwa hiyo akatumwa Brigedia Tumainieli Kiwelu kuandaa vikosi na kuongoza mapigano ya kurudisha ardhi yetu. Chini yake alikuwepo Kanali Ahmed Takadiri Kitete ambaye alikuwa operations commander.
Msimchafue Hayati MwlJ. K. Nyerere, akili yake ilikuwa ni stand alone ilikuwa inajitegemea na kujitosheleza kwa kila kitu, Idd Amin hakuwa shujaa kwa namna yoyote, ila alikuwa mhuni kama wahuni wengine tuWeekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili.
Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake.
Idd Amini aliitwa majina yote mabaya na nchi za magharibi baada ya utiriri wa matukio ya wadhalilisha Wazungu na kuwatimua Wahindi ili Waganda wenyewe waendeshe shughuli zote za kiuchumi na kukuza uchumi wao.
Miongoni mwa visanga alivyo vifanya Idd Amini ni pamoja na:-
Hivyo ni basi baada ya kuwatoa Wazungu dole la jicho, ndipo walipomuanza kumchonganisha Mwalimu na Amini ili Mwalimu ampige Amini na apotezwe kabisa.
- Kuwaamuru mabalozi wa nchi za Ulaya wambebe juu juu na kiti kisha kumzungusha mitaani huku wananchi wakishangalia. Alifanya hivi kulipa kisasi jinsi babu zetu walivyowabeba wazungù.
- Kuna wakati Amin aliomba msaada wa kifedha kwa Malkia Elizabeth, msaada ukachelewa, baada ya miezi kadhaa ndipo Amin akapewa hiyo pesa, kwa jeuri akamwambia sina shida na pesa yako, akairudisha. Malkia alikasirika sana.
- Idd Amini aliwatimua Waasia wote, Wahindi na Waarabu ili kupisha Waganda wenyewe wafanye biashara.
KUKAWA na maneno kati ya Mwalimu na Amini ambayo hayakuwa mazuri, hatimaye yakapelekea vita ya mataifa mawili haya.
Habari za Idd Amini kula nyama za watu, je ilikuwa uzushi ama propaganda?
Je habari za Amin kuwapasua wanawake wajawazito, ilikuwa ni kweli au uzushi?
Je habari za Amini kuwatupa mto Nile walemavu zina ukweli gani? Je kuna uhusiano gani na ule wimbo wa Mchakamchaka Idd Amini akifa siwezi kulia, nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba?
Karibuni waungwana
Kwahyo Iddi amini ni kama Russia Tanzania ni kama Ukraine?
😂😂😂 dah karibu mrembo chupa ya pili hiiWanywa SUNGURA mnajua kuiita majina mazuri, eti grants
Ilikuwa ni adhabu ya kujidai kuzisaidia nchi za kusini mwa Sahara zijikoboe. Ua uchumi wa Tanzania tuone huo ukombozi utaufanya vipi