Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

Nchi imekosa kabisa uongozi thabiti hasa uongozi wa juu. Maswala muhimu yanayogusa maslahi na maisha ya watu hayawi addressed, badala yake ni blaa blaa za kisiasa na vijembe. Hatujawai kusikia sauti ya mkuu wa nchi kwenye maswala mazito kama IGA ya bandari, tatizo la umeme na mafuta.

Maharage na mwenzie hawafai kabisa kupewa ofisi ya umma kwa madudu na uhuni walioufanya pale nishati. Ni wahujumu wa uchumi na nchi. Sijuhi kigugumizi kinatoka wapi.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli tangu tumepata Uhuru,haijawahi nchi kushikwa na wahuni kama ilivyo sasa!
Wamekaa pale Cartels tupu!
Ni upigaji wa kimfumo kwa kwenda mbele bila haya wala uoga!

Welcome to Organized Crime Money baby!!! 🤑

Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi,katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa.

Wakati hali ikiwa hivi ilivyo,
Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba.....
Nanukuu!
KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje.

Hoja yao; Maji yangelijaa sana na yangelipasua bwawa la Mtera. Wahandisi na wataalam kutoka katika bwawa la Mtera wakapinga jambo hilo kitaalam.

Wataalam na wahandisi kutoka Mtera wakawaleza hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam hutumika kwa shughuli nyingi siyo Hydropower tu.

Hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam (kama Mtera) hutumika hata katika irrigation, human consumption, industrial use, aquaculture, na navigability.

Lakini kwa mamlaka yao, KIPARA na Maharage wakaagiza kwa lazima maji yafunguliwe katika bwawa la Mtera. Maji yakafunguliwa.

Maji hayakujaa tena katika bwawa la Mtera, kwa sababu mvua zilipotea. Sasa nchi yetu inapitia mgao mkali wa umeme kwa sababu ya wahuni.

Septemba 2023 mgao umekuwa mkali na wanaohusika na umeme wanajitetea kwamba kuna upungufu wa uzalishaji umeme kwenye mabwawa kutokana na ukame.

Tumeona mamlaka ya uteuzi ikitengua ba kutengua wahusika wa hili sakata kwa wiki iliyopita na hata wiki hii pia utenguzi na uteuzi umeendelea.

My Take:
January na Maharage wote ni wahusika wakuu wa hili sakata!
Inakuwaje January amepewa dhamana wizara nyeti ya Mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa.
Wakati Maharage akiishia kuwa Posta Masta?

Hivi kweli nchi hii haina watu wenye Haiba,Elimu na Usafi wa kuweza kutuwakilisha kimataifa zaidi ya huyu aliyekwisha chafuka kila pembe aliyowahi kuhudumu?

Je!
Ina maana mamlaka husika zimevaa miwani ya mbao na kutoyaona matendo ya huyu mtu?

Nchi za wenzetu wako makini sana.pale waziri yeyote kutoka nchi za kiafrika anapopewa jukumu kwenda kutuwakilidha kwao ughaibuni....cha kwanza huwa wanaomba na kupewa taarifa za wasifu wake pamoja na makand0kando yake,kupitia Kwa maafisa waambata balozini kwao waliopo huko anakotokea.

Ebu fikirieni wasifu wa Kipara unaopelekwa huko unakuwa na Taswira gani??

Muda utakuwa shahidi mwema kwetu.na utatundea haki huko tuendako.
Pia Soma..

Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu.

Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa kupiga hela, akaanzisha Managing Director delivery unit - MDDU. Akaweka watu wake, halafu akawaambia wahame kutoka pale Ubungo, akawapa Full Ofisi pale Kimara.

Kumbuka Rais alikuwa hajui undumilakuwili wa Maharage kwani Maharage kapelekwa TANESCO na Januari Makamba.
View attachment 2762599
Makamba ndo alimpendekeza kwa Rais kwa kumpa sifa kedekede hata ambazo hana ili Rais amuone wa Maana. Kumbe nia ya Makamba ni kuweka mshikaji wake ili Madili yake yapite kirahisi tanesco.

Halafu wakamuomba Rais Samia Trilioni Shilingi zadi ya 11 kwamba wakiipata hiyo hela umeme utatengamaa, wakampa rais mpango kazi feki rais Samia akashitukia dili akakataa. Baadaye Dili likatiki wakapewa Bilioni 500. katengeneza MDDU na Erolink.

Sasa wakawa wanakatakata umeme ili Rais aone umuhimu wa kuwapa hela nyingi.
View attachment 2762596
Ukitaka kuwaona washirika wa Maharage, nenda Kimara TANESCO uliza Ofisi ya MDDU ipo wapi.

Wanatengewa hela nyingi na kupewa majukumu yasiyo kuwepo then hela wanagana.

Maharage hata ahamishiwe Nangurukuru bado kuna 10% yake ya fedha za miradi. Lazima wampe. Si kawapa ulaji na hela zao bodi ilipolitisha? Hivyo kila mwezi zinaingia.

Rais angebomoa Cheni yote ya Nishati kianzia katibu Mkuu wao ili wapoteane. Pia wale wote waliopelekwa Tanesco na Maharage, aondoke nao.

Hivyo basi, kama kweli Maharage anahusika na wizi ndani ya TANESCO kwa kupitia hii Unit ya MDDU, basi naomba Rais amstaafishe kwa manufaa ya Umma.

TAKUKURU iingilie kati kwani si vibaya kumchunguza kiongozi. Wakikuta ana makosa awajibike kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Kama tunavyojua, Posta sasa hivi inashirikiana na Mwarabu wa Dubai, kapelekwa apige hela ya Mwarabu. Huwa haachi dili lolote. Sasa hivi Posta inauzwa Mazima
Ukoo wa panya unamtesa samia. Vijana wa msoga hawajawahi kuwa wazalendo

Wao wanaweza kuandika CV yake nzuri huko majuu ila waafrika akili zetu tunazijua sisi tu
Balozi zao nchini wanajua kila kitu hata kutuzidi sisi

Kama wanajua tuna Tembo wangapi wamebaki Serengeti wakati sisi tunaandika tu takwimu halafu washindwe kujua tabia zenu?

Ni kweli posta itakufa.
Bodi mpya na CEO mpya tanesco la kwanza iwe kusaka na kukata mirija ya kunyonya shirika waliyopandikiza januari na maharage. Mtu yeyote kama januari aliyemchukia na kumsema vibaya kiongozi kama hayati magufuli hafai kuongoza popote serikalini. Ni mtu fisadi mbinafsi mwenye kuabudu pesa.

Sidhani kama kuna power ya kuweza kumgusa kipara kwa sasa kutokana na mizizi aliokwishajiwekea...

VIONGOZI wetu wanafanya kazi kwakuandaa mazingira ya baadae

ili nao watoto wao waje walindwe.

haijarishi wataichelewesha inchi kwa mda gani kufikia malengo yake

Wanainchi wangapi watapoteza maisha na nguvu kazi zao

wao wanacho jari ni Mimi nikiondoka

huku nyuma nitakuwa nime mwacha makamba atanirudishia fadhira za kumlinda kipindi kile wakati Mimi ni raisi wa jmt

Kinacho tuchelewesha ni chama tawala na chama tawala kina mizizi mileefu kiasi ambacho si rahisi kuki ng'oa

Kwani karibia vyama vyote vya upinzani ni matawi yake

na hata chama kile tunacho kiamini kuwa nincha uponzani kina mapandikizi yake

Sasa Nini kifanyike?

Ninacho kiona tuna machaguo mawili tu ya fwatayo

1)nimapinduzi ya kijeshi

2) nichama pinzani kwelikweli siyo hivi fake

Lakini kinyume na hapo tuta chelewa Sana

Kama ccm kitaendelea kuwepo madrakani

Hapo sawa kabisa,

Sikuwa na taarifa kuwa kafurushwa TTCL, Ile ni Kampuni mama ya mawasiliano, angeharibu sana.

Naona Kuna mamlaka ya juu hupitia teuzi na kushauri mabadiliko ya haraka.

Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi,katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa.

Wakati hali ikiwa hivi ilivyo,
Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba.....
Nanukuu!
KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje.

Hoja yao; Maji yangelijaa sana na yangelipasua bwawa la Mtera. Wahandisi na wataalam kutoka katika bwawa la Mtera wakapinga jambo hilo kitaalam.

Wataalam na wahandisi kutoka Mtera wakawaleza hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam hutumika kwa shughuli nyingi siyo Hydropower tu.

Hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam (kama Mtera) hutumika hata katika irrigation, human consumption, industrial use, aquaculture, na navigability.

Lakini kwa mamlaka yao, KIPARA na Maharage wakaagiza kwa lazima maji yafunguliwe katika bwawa la Mtera. Maji yakafunguliwa.

Maji hayakujaa tena katika bwawa la Mtera, kwa sababu mvua zilipotea. Sasa nchi yetu inapitia mgao mkali wa umeme kwa sababu ya wahuni.

Septemba 2023 mgao umekuwa mkali na wanaohusika na umeme wanajitetea kwamba kuna upungufu wa uzalishaji umeme kwenye mabwawa kutokana na ukame.

Tumeona mamlaka ya uteuzi ikitengua ba kutengua wahusika wa hili sakata kwa wiki iliyopita na hata wiki hii pia utenguzi na uteuzi umeendelea.

My Take:
January na Maharage wote ni wahusika wakuu wa hili sakata!
Inakuwaje January amepewa dhamana wizara nyeti ya Mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa.
Wakati Maharage akiishia kuwa Posta Masta?

Hivi kweli nchi hii haina watu wenye Haiba,Elimu na Usafi wa kuweza kutuwakilisha kimataifa zaidi ya huyu aliyekwisha chafuka kila pembe aliyowahi kuhudumu?

Je!
Ina maana mamlaka husika zimevaa miwani ya mbao na kutoyaona matendo ya huyu mtu?

Nchi za wenzetu wako makini sana.pale waziri yeyote kutoka nchi za kiafrika anapopewa jukumu kwenda kutuwakilidha kwao ughaibuni....cha kwanza huwa wanaomba na kupewa taarifa za wasifu wake pamoja na makand0kando yake,kupitia Kwa maafisa waambata balozini kwao waliopo huko anakotokea.

Ebu fikirieni wasifu wa Kipara unaopelekwa huko unakuwa na Taswira gani??

Muda utakuwa shahidi mwema kwetu.na utatundea haki huko tuendako.
Pia Soma..

Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu.

Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa kupiga hela, akaanzisha Managing Director delivery unit - MDDU. Akaweka watu wake, halafu akawaambia wahame kutoka pale Ubungo, akawapa Full Ofisi pale Kimara.

Kumbuka Rais alikuwa hajui undumilakuwili wa Maharage kwani Maharage kapelekwa TANESCO na Januari Makamba.
View attachment 2762599
Makamba ndo alimpendekeza kwa Rais kwa kumpa sifa kedekede hata ambazo hana ili Rais amuone wa Maana. Kumbe nia ya Makamba ni kuweka mshikaji wake ili Madili yake yapite kirahisi tanesco.

Halafu wakamuomba Rais Samia Trilioni Shilingi zadi ya 11 kwamba wakiipata hiyo hela umeme utatengamaa, wakampa rais mpango kazi feki rais Samia akashitukia dili akakataa. Baadaye Dili likatiki wakapewa Bilioni 500. katengeneza MDDU na Erolink.

Sasa wakawa wanakatakata umeme ili Rais aone umuhimu wa kuwapa hela nyingi.
View attachment 2762596
Ukitaka kuwaona washirika wa Maharage, nenda Kimara TANESCO uliza Ofisi ya MDDU ipo wapi.

Wanatengewa hela nyingi na kupewa majukumu yasiyo kuwepo then hela wanagana.

Maharage hata ahamishiwe Nangurukuru bado kuna 10% yake ya fedha za miradi. Lazima wampe. Si kawapa ulaji na hela zao bodi ilipolitisha? Hivyo kila mwezi zinaingia.

Rais angebomoa Cheni yote ya Nishati kianzia katibu Mkuu wao ili wapoteane. Pia wale wote waliopelekwa Tanesco na Maharage, aondoke nao.

Hivyo basi, kama kweli Maharage anahusika na wizi ndani ya TANESCO kwa kupitia hii Unit ya MDDU, basi naomba Rais amstaafishe kwa manufaa ya Umma.

TAKUKURU iingilie kati kwani si vibaya kumchunguza kiongozi. Wakikuta ana makosa awajibike kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Kama tunavyojua, Posta sasa hivi inashirikiana na Mwarabu wa Dubai, kapelekwa apige hela ya Mwarabu. Huwa haachi dili lolote. Sasa hivi Posta inauzwa Mazima
Zinaweza kuwa ni fabricated information; kamwe viongozi hao hawawezi kufanya kitu cha namna hii

Je, kuna kweli wowote juu ya huu mgao wa sasa kusababishwa na amri ya aliyekuwa waziri wa nishati (Makamba) na Mkurugenzi wa Tanesco (Chande) kuamuru kinyume na ushauri wa wataalam kwamba maji ya bwa la Mtera yafunguliwe na kumwagika bure?! Uhaini huu inasemekana waliufanya mwezi Machi 2023.

Eti lengo ni kuongeza mauzo ya gesi ya kuzalisha umeme, je kuna ukweli wowote?

Back
Top Bottom