Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kipara anatakiwa awe gerezaniKwa nchi kama China! Kipara ni wa kutundika mtini kwa kamba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipara anatakiwa awe gerezaniKwa nchi kama China! Kipara ni wa kutundika mtini kwa kamba!
Inawezekana kabisa.Zamani yalimwagwa ili wauze magenerator.Je, kuna kweli wowote juu ya huu mgao wa sasa kusababishwa na amri ya aliyekuwa waziri wa nishati (Makamba) na Mkurugenzi wa Tanesco (Chande) kuamuru kinyume na ushauri wa wataalam kwamba maji ya bwa la Mtera yafunguliwe na kumwagika bure?! Uhaini huu inasemekana waliufanya mwezi Machi 2023.
Eti lengo ni kuongeza mauzo ya gesi ya kuzalisha umeme, je kuna ukweli wowote?
Share link please.Ni kweli mpk kwenye tovuti ya wizara hiyo ipo
Iweke hapa kabla hawajaifutaNi kweli mpk kwenye tovuti ya wizara hiyo ipo
We hujui link ya nishati? acha uvivuShare link please.
Ni kitambo mkuu maana ilikuwa Mar nadhani sahivi itakuwa backendIweke hapa kabla hawajaifuta
Inasemekeana alivuruga safari ya chopa mitaa ya Selous miaka ya 2015Kwa akili za kipara ninavyomjua anaweza akafanya kweli,si unajua akili ni nywele na bwana yule kichwani mwake kama ganda la embe bichi.
Ha ha ha, nimeanza kunusa harufu ya kuvurugwa kwa safari nyingine ya chopa kuelekea 2025.Inasemekeana alivuruga safari ya chopa mitaa ya Selous miaka ya 2015
Sio kila kinachoandikwa hapa JF ni nadharia, Wafanyakazi wa Tanesco nao pia ni member humu.Sababu ni marekebisho ya mitambo.
Acheni nadharia za kudhanika.
Tupia hiyo link tafadhali.Ni kweli mpk kwenye tovuti ya wizara hiyo ipo
kwani ukiwa fisadi si ndiyo wanaccm wengi wanakuunga mkono? Hukumbuki hata JPM hakuwa anaungwa mkono lakini wenye trait za ufisadi ndiyo walikuwa wapendwa wa wapiga kura ktk ccm?Kama yupo hivyo na anazo tabia Kama hizi, Urais anausaka kwa lipi?
Picha au map ya flow hiyo ya maji kuanzia Bonde la usangu Hadi Mto rufiji ingeeleweka zaidi.Kumbuka vyanzo vya mto ruaha ni maji ya bonde la usangu na milima ya njombe ,na huko kote mvua zilikuwa za kutosha hivyo maji yake yanaenda mto ruaha kuingia mtera ,kidatu, na mpaka kuishia mto rufiji .
Binafsi sishangai maana jamaa ni ninja 🥷 sana kwenye kulazimisha mkwanja.Je, kuna kweli wowote juu ya huu mgao wa sasa kusababishwa na amri ya aliyekuwa waziri wa nishati (Makamba) na Mkurugenzi wa Tanesco (Chande) kuamuru kinyume na ushauri wa wataalam kwamba maji ya bwa la Mtera yafunguliwe na kumwagika bure?! Uhaini huu inasemekana waliufanya mwezi Machi 2023.
Eti lengo ni kuongeza mauzo ya gesi ya kuzalisha umeme, je kuna ukweli wowote?
Nashani anapaswa kushitakiwa kama mhujumu uchumiKwa akili za kipara ninavyomjua anaweza akafanya kweli,si unajua akili ni nywele na bwana yule kichwani mwake kama ganda la embe bichi.