Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

Kwa kweli tangu tumepata Uhuru,haijawahi nchi kushikwa na wahuni kama ilivyo sasa!
Wamekaa pale Cartels tupu!
Ni upigaji wa kimfumo kwa kwenda mbele bila haya wala uoga!
 
Kwa kweli tangu tumepata Uhuru,haijawahi nchi kushikwa na wahuni kama ilivyo sasa!
Wamekaa pale Cartels tupu!
Ni upigaji wa kimfumo kwa kwenda mbele bila haya wala uoga!
Welcome to Organized Crime Money baby!!! 🤑
 
Ukoo wa panya unamtesa samia. Vijana wa msoga hawajawahi kuwa wazalendo
 
Wao wanaweza kuandika CV yake nzuri huko majuu ila waafrika akili zetu tunazijua sisi tu
Balozi zao nchini wanajua kila kitu hata kutuzidi sisi

Kama wanajua tuna Tembo wangapi wamebaki Serengeti wakati sisi tunaandika tu takwimu halafu washindwe kujua tabia zenu?
 
Ni kweli posta itakufa.
Bodi mpya na CEO mpya tanesco la kwanza iwe kusaka na kukata mirija ya kunyonya shirika waliyopandikiza januari na maharage. Mtu yeyote kama januari aliyemchukia na kumsema vibaya kiongozi kama hayati magufuli hafai kuongoza popote serikalini. Ni mtu fisadi mbinafsi mwenye kuabudu pesa.
 
Sidhani kama kuna power ya kuweza kumgusa kipara kwa sasa kutokana na mizizi aliokwishajiwekea...
 
VIONGOZI wetu wanafanya kazi kwakuandaa mazingira ya baadae

ili nao watoto wao waje walindwe.

haijarishi wataichelewesha inchi kwa mda gani kufikia malengo yake

Wanainchi wangapi watapoteza maisha na nguvu kazi zao

wao wanacho jari ni Mimi nikiondoka

huku nyuma nitakuwa nime mwacha makamba atanirudishia fadhira za kumlinda kipindi kile wakati Mimi ni raisi wa jmt

Kinacho tuchelewesha ni chama tawala na chama tawala kina mizizi mileefu kiasi ambacho si rahisi kuki ng'oa

Kwani karibia vyama vyote vya upinzani ni matawi yake

na hata chama kile tunacho kiamini kuwa nincha uponzani kina mapandikizi yake

Sasa Nini kifanyike?

Ninacho kiona tuna machaguo mawili tu ya fwatayo

1)nimapinduzi ya kijeshi

2) nichama pinzani kwelikweli siyo hivi fake

Lakini kinyume na hapo tuta chelewa Sana

Kama ccm kitaendelea kuwepo madrakani
 
Hapo sawa kabisa,

Sikuwa na taarifa kuwa kafurushwa TTCL, Ile ni Kampuni mama ya mawasiliano, angeharibu sana.

Naona Kuna mamlaka ya juu hupitia teuzi na kushauri mabadiliko ya haraka.
 
Zinaweza kuwa ni fabricated information; kamwe viongozi hao hawawezi kufanya kitu cha namna hii
 
Je, kuna kweli wowote juu ya huu mgao wa sasa kusababishwa na amri ya aliyekuwa waziri wa nishati (Makamba) na Mkurugenzi wa Tanesco (Chande) kuamuru kinyume na ushauri wa wataalam kwamba maji ya bwa la Mtera yafunguliwe na kumwagika bure?! Uhaini huu inasemekana waliufanya mwezi Machi 2023.

Eti lengo ni kuongeza mauzo ya gesi ya kuzalisha umeme, je kuna ukweli wowote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…