Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

Inawezekana kabisa.Zamani yalimwagwa ili wauze magenerator.
 
Mwakaa huu nyanda za juu kusin kulikuwa na mvua za kutksha saaana ndo mana mpunga ulikubali ,mahind yalikubali, na mikoa yote ilipata mvua na kulikuwa mavuno mazur na wat wamejivunia kuwa wakulima na maji yalikuwa mengi saaan hivyo mqji hayo ndo yanayo jaza mto ruaha.

Sasa kama mvua zilikuwa nyingi maji lienda wapi na mwaka huu zilikuwa nyingi

Ukweli ni kuwa maji yalifunguliwa ilanushahid ndo huwez kuupata.
 
Kumbuka vyanzo vya mto ruaha ni maji ya bonde la usangu na milima ya njombe ,na huko kote mvua zilikuwa za kutosha hivyo maji yake yanaenda mto ruaha kuingia mtera ,kidatu, na mpaka kuishia mto rufiji .
 
Kumbuka vyanzo vya mto ruaha ni maji ya bonde la usangu na milima ya njombe ,na huko kote mvua zilikuwa za kutosha hivyo maji yake yanaenda mto ruaha kuingia mtera ,kidatu, na mpaka kuishia mto rufiji .
Picha au map ya flow hiyo ya maji kuanzia Bonde la usangu Hadi Mto rufiji ingeeleweka zaidi.
 
Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".
 
Binafsi sishangai maana jamaa ni ninja 🥷 sana kwenye kulazimisha mkwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…