Ukikaa na mzungu na ukiwa mchapakazi una nafasi kubwa sana ya kupata mafanikio
Mzungu kukuachia chimbo baada ya mradi wake kuisha ni dk sifuri kama wewe ndio ulikuwa msimamizi wake [emoji3] mchina atauza hadi magodoro mliokuwa mnalalia [emoji3]
Wazungu wako poa
Waarabu wako poa
Kati ya hawa, ni heri kufanya kazi kwenye makampuni ya waarabu, wana utu, wana huruma, wana hofu ya Mungu. So, waarabu kwangu ni number 1 then mzungu.
Wasiowapenda waarabu, hii comment itawaumiza sana, but no way, be patients!
Bhujiku ng'waka wananzengo[emoji1309]
Wachina masikini sanaUkikaa na mzungu na ukiwa mchapakazi una nafasi kubwa sana ya kupata mafanikio
Mzungu kukuachia chimbo baada ya mradi wake kuisha ni dk sifuri kama wewe ndio ulikuwa msimamizi wake [emoji3] mchina atauza hadi magodoro mliokuwa mnalalia [emoji3]
Anee chee!Gutro ghaa sepeto!😂😂😂😂SIO WAHINDI AISEE UTALIA
Ninakubaliana na wewe.Hao waarabu hapana aisee, hizi scania nyingi zinazoenda congo, zambia, kenya, n.k za waarabu, Madereva wengi sana wanalalamika kunyanyaswa, hata mikataba tu hakuna, madereva wanaumizwa sana yani + kudhalilishwa...
Hawanaga longo longo kwenye maslahi ya wachapa kazi.Nmefanya nao kaz miaka miwili sahz namilik ghorofa bunju na pia natembelea nissan patrol new model kikubwa hakikisha unapga kazi.
Ukimuona mwafrika anayanya kazi kwa mwarabu na ametoboa ujue ana uchawi kuwazidi wao na amewashika hawageuki. Vinginevyo kufanya kazi na hawa watu ni umaskini wa hali ya juu sana. Wafanyakazi wanapelekeshwa kama watumwa hakuna mikataba ya kazi inayoeleweka hawajali kabisa maslahi ya mfanyakazi pale mfanyakazi unaonekana kama mtumwaMungu aliwabariki sana waarabu, wana mishahara mizuri japo sio wote. Suala la utu kwakweli waarabu ni number 1 in ze weldi, wana huruma, hawapendi dhuluma, in short wanahofu na Mungu
Wewe ni mwarabu koko unajitetea.Wazungu wako poa
Waarabu wako poa
Kati ya hawa, ni heri kufanya kazi kwenye makampuni ya waarabu, wana utu, wana huruma, wana hofu ya Mungu. So, waarabu kwangu ni number 1 then mzungu.
Wasiowapenda waarabu, hii comment itawaumiza sana, but no way, be patients!
Bhujiku ng'waka wananzengo👋🏻
Wewe ni mwarabu koko unajitetea.
Ukimuona mwafrika anayanya kazi kwa mwarabu na ametoboa ujue ana uchawi kuwazidi wao na amewashika hawageuki. Vinginevyo kufanya kazi na hawa watu ni umaskini wa hali ya juu sana. Wafanyakazi wanapelekeshwa kama watumwa hakuna mikataba ya kazi inayoeleweka hawajali kabisa maslahi ya mfanyakazi pale mfanyakazi unaonekana kama mtumwa
Zaidi ya asilimia 97 fuatilia hata comment tu za humu utaona wangapi wanakubaliana na wewe. Huwezi linganisha wafanyakazi wa Bakheresa au Asas na wafanyakazi wa kwenye makampuni ya Wazungu kama Barrick nk. Kule unamkuta mpaka mlinzi tu ana mijumba kibao. Kuna watu wanatukanwa kwa siku matusi zaidi ya elf 10 tena ya nguoni. usiombe ufanye kazi kwa muarabuUmekaririshwa, pole sana
Nadhani ni Tanelec hao ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]acheni Mungu awabariki wazungu buana ,imagine hizi ngozi nyingine zenye roho za kutu wangekuwa wamebarikiwa kama Caucasians nadhani dunia isingekuwa mahala salama pa kuishi kabisaNinakubaliana na wewe.
Kuna kiwanda cha kutengeneza transformer huko Arusha, kilianzishwa na wazungu kikawa kinafanya vizuri sana na kuwajali mno wafanyakazi wake.
Sasa hivi wazungu wameondoka anakisimamia mwarabu mmoja toka Kenya...hali imekuwa mbaya sana, wafanyakazi wengi wamekimbia kwa sababu ya uongozi mbovu na maslahi duni, waliobaki ni kilio.