Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
-
- #21
Sidhani, Maana nimejaribu sana kuwafatilia ila sijaona chochote.Inawezekana wakawa wapo kweli...Kuna nchi nilienda nchi hiyo ukipiga video either call au video yoyote lazima itaingiliana na sauti za ajabu ajabu...hata kama sehemu imetulia...!
Hata story za malaika ni za kusadikika.Na je vipi malaika wapo?ushawai kuwaona? oxgen nayo vipi ushawai kuiona kwa macho na una amini ipo?
Sidhani, Maana nimejaribu sana kuwafatilia ila sijaona chochote.
Kamiri ni nini?Taja majina yako kamiri umri wako ragi ya nywele na rangi unao vutiwa nao sana , ni mtumie shkh majini pemba leo kabla asubuhi haijaingia utawapata hao wageni.........
Kwa uwezo wangu wa kuwafatilia nimefikia hapa.Kama awajakutaka huwezi kuwaona...ila amini wapo na baadhi ya vitu vinafanyika sio kwa uwezo wetu binaadam wanashirikiana nao sana katika kufanya Dunia iwe hivi unavyo iona...!
Madaraja makubwa...
Jinsi simu inavyo fanya kazi...!
Technology kubwa kubwa zote zinatokana na hao viumbe...! Endelea kuwafuatilia IPO siku utaliona moja
Kuna jamaa anaitwa Mshana Jr ngoja aje akupe mwongozo...Kwa uwezo wangu wa kuwafatilia nimefikia hapa.
Labda aje mwingine atoe muongozo .
Wewe unataka majini af umeanxa kuuliza masuala ya kipimbavu, we tuma jina lako kwenye inbox yangu leo leo ujionee wageni wako.Kamiri ni nini?
Ragi ni nini?
..........?
Hii inatisha !Tafuta kioo chakujiangalia weka mbele yako, hakikisha chumba chambo hakina mwanga, kisha chukua mishumaa miwili. Mmoja weka kushoto na mwingine weka kulia kwako na kioo kikae kakikati ya hiyo mishumaa miwili. Washa mishumaa yako na uwanze kuangalia kioo chako bila kufumba macho mara kwa mara, au ku blink kwamaana nyingine.
Jitahidi usiwe una blink blink mara kwa mara na uweke uzingatiwe kwenye kujiangalia au kuangalia kioo chako
Marejesho uje nayo sio wasema story zakiaarabu halafu wasoma tuu uzi na practical hufanyi. JF ingetaka kupata experience yako kwenye hili
Tunakusamehe tu dogo kuna vitu hata ukiambiwa kwa machozi hutaviaminiHakuna kitu kama hicho. Ni dhana ya kiarabu ya kuwatisha watu au kutumika kupigia fedha za mazwazwa wanaoamini ujinga huu. Majini, pepo, na roho mtakatifu ni dhana mfu na za kufikirika zisizoingia akilini kwa watu wenye vichwa vinavyochemka. Ukitaka kujua kuwa hivi vitu ni feki, vya kubuni, na havipo, waambie wanaodai vipo wavilete lau kimoja tuvione au kuvihisi.
Oxygen unahisi kwa njia zipi?Hata story za malaika ni za kusadikika.
Oxygen nahihisi.
Suratul jinnNimekwambia waulize wenyewe.
Wana sura nzima kwenye kitabu chao yanaongea Majini tu. Sura ya Majini.
La sivyo utangaze humu kuwa hicho kitabu ni feki.
Nami nimewasamehe mwanangu maana kinachokusumbua siyo ugonjwa bali kutojua.Tunakusamehe tu dogo kuna vitu hata ukiambiwa kwa machozi hutaviamini
Muhimu marejeshoHii inatisha !
Put into practice uje utupe mrejeshoMuhimu marejesho
Hii lugha ya Majini uliisomea wapi ndugu.Mleta mada pata madini hayo kutoka kwenye suratul jinn
1.Qul oohiya ilaiya annna hustama'a nafarum minal jinni faqaalooo innaa sami'naa quraanan ajaba
2.Yahdeee ilar rushdi fa aamannaa bihee wa lan nushrika bi rabbinaaa 'ahada
3.Wa annahoo Ta'aalaa jaddu Rabbinaa mat'takhaza saahibatanw wa laa walada