majini yapo,kanisa katoliki lina sala ya imani isemayo{nasadiki kwa MUNGU baba mwenye-enzi,aliyeumba vi2 vyote vinavoonekana na visivoonekana"sasa unafikiri vitu visivyoonekana ni vtu gani?"....pia kuna kitabu kwenye biblia ya kale kiitwacho TOBITI,,ila kwa sasa kimefutwa,,,kinaelezea kisa kimoja cha mzee mmoja aliyekuwa akiitwa TOBITI{alikuwa kipofu],,,huyu mzee alikuwa na mtoto wake wakiume aliyefikia umri wa kuoa,siku moja akaja mgeni{alikuwa ni malaika aliyevaa mwili wa kibinadamu],,,basi mzee tobiti na familia yake wakasitiri huyo mgeni kwa chakula na malazi,,,kesho yake akawa anaondoka,mzee tobiti akamuuliza unaelekea wapi?,,,yule mgeni akamweleza mji anaoelekea'mzee tobiti akamwomba aende na mwanae yule wa kiume mpaka kwenye mji huo kwani kuna mjomba wa huyo dogo alikuwa na binti ambapo angetaka mwanae ndio amwoe,,yule mgeni akaridhia na safari ikaanza,,,,walisafiri usiku na na mchana mpaka wakafikia bahari,njaa ikawa inawauma,,,,yule malaika akakamata samaki,na kumtoa matavua na nyongo{sina uhakika kama ni nyongo au maini} akampa yule dogo akamwambia,huko unakoenda kuoa huyo binti ana JINI MAHABA{imeandikwa ivoivo JINI MAHABA},akamwambia,,ukifika huko kabla ya kulala na huyo JINI hakikisha unchoma nyongo/maini ya huyo samaki nalo JINI litakimbia kwani kila mwanaume aliyejaribu kulala na huyo mwanamke alikufa{aliuwawa na hilo jini],,,na kuhusu matamvua ya samaki pia ukirudi kwa babako changanya na nyongo ya samaki alafu mpeke babako nae atapata kuona tena!!!..........ok,,,wakafanikiwa kufika kwenye ule mji na yule mgeni akamkabizi kwa ile familia,lakini cha ajabu wazazi wa yule binti walianza kulia,,anyaway,yule mgeni akatoweka!!!!!ok,,usiku ulipofika muda wa kulala yule kijana akafanya kama alivoelekezwa na yule mgeni,,,na akafanikiwa kulala na yule binti bila madhara!!!!,,,basi kulipokucha wazazi wa yule binti walishangaa yule kijana hakufa,,,basi ilifanyika bonge la sherehe,,,,na kijana akakabidhiwa mke na mali kibao,pamoja na punda,ng'ombe,mbuzi na kondoo na vito vya thamani na watumishi wa kuwasindikiza,,alipofika kwa baba yake akafanya kama malaika alivomwelekeza,,,na ikawa babake akapata kuona tena,,,,,lakini pia kwenye Q"RAN TUKUFU kuna sura inaitwa SURATUL JINN,,,sura inaezea kuhusu majini,,,lakini ata mimi binafsi nilishakutana na visa vya majinni,,yaani nyumba yangu yalihamia,,,,ilikuwa ukilala unaona vituko waziwazi,,,pia kuna siku nikiwa nimekaa kitandani nikitafari maisha baada ya mke wangu kunikimbia,,,ghafla kwenye mlango wa vhumbani alismama mdada mmjoa mrefu mweusi kavaa baibui ananiangalia,,,nilivomtupia jicho,,,alitoweka nikaki kusikia haruvu ya ubani!!