Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Kaja tangu juzi kajificha yuko zanzibar na leo kama umesikia umy kasema zanzibar kumeongezeka mmoja ndie huyo
Nna jaribu tu kuwaza kama ni kweli amesha waambukiza Watu wangapi kwa ukaidi wake.Kutii Sheria kwa Afrika hii ni kwa Wanyonge tu lakini kwa wakubwa mmh hapana.

Hili Tatizo mna lifungia Macho ,ipo Siku litabisha Hodi Miguuni kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…