Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natabiri: atakuwa yule mwenye kuangalia wenzake kwa kuwakazia macho. Yule alietolewa jalalani.
Niwa zanzibar na leo umy mwalim kasema zanzibar kumeongezea mgonjwa mmoja ila hawataki kusema ni nani na alikuja yeye mwenyewe akajificha karantin nyumbani kwake[emoji2]Kama ni kweli huyu Waziri maisha yake yasitishwe mara moja kwa Madaktari na wauguzi kugoma kumhudumia na afungiwe humo chumbani - PERIOD
Kwani ikimhusu wewe unaugua nini?Kwani akiugua korona wewe inakuhusu nini
Mbona tangu juzi huyu ni wa zanzibarUpekuzi wa sukununu huu.
Ahsante kwa kututonya ngosha!
Tulia fatilia comments...utaelewa tu!Imethibitika ana corona au haijathibitika? Huu uzi sijauelewa kabisa unataka nini?
Nna jaribu tu kuwaza kama ni kweli amesha waambukiza Watu wangapi kwa ukaidi wake.Kutii Sheria kwa Afrika hii ni kwa Wanyonge tu lakini kwa wakubwa mmh hapana.
Hili Tatizo mna lifungia Macho ,ipo Siku litabisha Hodi Miguuni kwenu.
Prof wa rubbish pit au?
Kama ni kweli basi huo ni ulimbukeni tu, ingekuwa kipindupindu labda ndiyo fedheha.
Ngoja tumsubiri Makonda atutangazie!
Ni yule wa jalalani university?
Balaa hili, Mimacho itakuwa....
Yupo ni mzima huyu niwa zanzibar sio wa bara hukuComment yako inafikirisha kuna namna
Ni comments zenye kujadili tetesi na wengine wameenda mbali hadi kumshuku mtu.
Eeeeh babu majalalani anataka kufa na wengi. Karudi wiki 3 zilizopita...atakuwa sijui kaambukiza.walah
Kwani pole pole anasemaje?!Prof wa rubbish pit au?
Kama ni kweli basi huo ni ulimbukeni tu, ingekuwa kipindupindu labda ndiyo fedheha.
Ngoja tumsubiri Makonda atutangazie!
Taarifa za Uhakika kabudi yupo hoi kw Korona kalaza mloganzila
Brother find life instead of being an online trollIdiot comment ever!
Ni waziri wa SMZ au JMT?Yupo ni mzima huyu niwa zanzibar sio wa bara huku
Kuna sehemu nilisoma kuwa ni waziri wa nishati wa Zanzibar.Ni waziri wa SMZ au JMT?