Tuambie investment zilizoko DodomaUnaelewa maana ya neno investment?
Kuwa tuu Capital City tayari ni fursa ndio maana kuna investment..
Hayo ya sijui serikali mara wenyewe ni blaa blaa zisizo na mwingi.
Kwani umeambiwa Kuna siku investment utakoma kufanyika? Iwe ya serikali au sekta binafsi?
Wewe mtu wa porini huko Sumbawanga utajua nini mambo ya mjini. Endelea kula nguruwe pori. Mambo ya majiji tuachie wenyeweNimekwambia kuwa tuu Capital City ni fursa tosha usiwe mjinga..
Kwa hiyo serikali inafanya investment tembo mweupe au?
Nianze kukuambia kwani wewe huoni na hujui Cha kufanya? Kwanj hujui Dom kuna watu wenye kipato cha uhakika wengi ambao ni spenders zaidi?
Hili jitu linaishi Sumbawanga huko. Hata hiyo Dom haliijuiWe sema ni darari wa dodoma unatangaza account yako kwa wanaitaji viwanja wakutafute
Hili jitu linaishi Sumbawanga huko. Hata hiyo Dom haliijui
ππππWewe mtu wa porini huko Sumbawanga utajua nini mambo ya mjini. Endelea kula nguruwe pori. Mambo ya majiji tuachie wenyewe
Siwezi kujichosha kwa kuelezea wapumbavu Wakati wanajua..Tuambie investment zilizoko Dodoma
Wanaenda ku enjoy kwenye buttucks zako mkuu wanakupa hii kitu πMji usio na bahari wala Ziwa ni michosho tu. Hivi Dodoma weekend wanakwenda kuenjoy wapi ? Hakuna beach wala zoo ni mitunduru na vumbi kwa kwenda mbele. Mji gani huo wa kuishi ? Pole sana.
MtakwishaπWewe endelea kuishi mbozi na sumbawanga. Majiji hayawezi.
Pole sana. Ndio shida ya kuishi uswekeni hukoSiwezi kujichosha kwa kuelezea wapumbavu Wakati wanajua..
Kama hakuna investment basi Hali iko hivi..
Mapato Dom bil.50 vs Mwanza bil.18..
Hunaga akili wewe πPole sana. Ndio shida ya kuishi uswekeni huko
Wakazi wa Dar,Arusha, Kilimanjaro na Tanga wengi wao wanaishi kwenye nyumba za ghorofa zikiwemo apartments..Mnapotoa takwimu.mtoe kikamilifu [emoji116][emoji116].MWANZA ya pili Kwa Majengo,ya kwanza Kwa ujenzi [emoji116]View attachment 2405386
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwenye slums kama hii ya Mlimani unafikaje kwenye mabanda yenu hayo maana sioni mtaa Wala barabara ,ππ.Ivi watu wanaoilinganisha mwanza na dodoma wanaakili kweli nawasiwasi na akili zao
JIJI LA MWANZA :-
1-Kuna MIGODI YA MADINI MIKUBWA MITATU na migodi bubu kama yote
2-Ziwa victoria chanzo cha mto NILE wamisri wanipiga pesa kwa kumia huu mto ambao chanzo chake ni mwanza Dagaa wa mwanza mkoa gani hazipo zimekua mkombozi wa familia nyingi za kitanzania SATO samak mwenye heshima Tanzania nzima nenda hotel yoyote uone sato alivyo jibrand Sangara ana bondo ndani ya tumbo lake lenye thamani kuliko samaki mwenyewe BONDO NI KAMA DHAHABU kwa ufupi tu bondo ndio linatengeza nyuzi za kushonea wakati wa oparation mahosptal zote duniani
3-Vyakula vingi sana na vyote vinazalishwa ndani ya mkoa huska haku hakuna cha mchele wa mbeya
4-Usafiri mwanza hakuna njia kubwa isiyo na daladala sio bajaji daladala la abiria
5-BIASHARA ni kubwa mno kwanza muingiliano wa watu ni mkubwa sana Kuna MIKOA MINGI na WILAYA KUBWA zinaitegemea mwanza mfano shinyanga kahama katoro chato kibondo kasulu kigoma mjini msingwi bukoka katoro chato musoma sirari simuyu kakonko nyakanazi geita ukerewe jaman nimechoka kutype na mingineyo
SO TUBISHANE KWA FACT mkoa unajulikana kwa kuzalisha zabibu tu iacheni MWANZA IJAYOView attachment 2405425
[emoji16][emoji16][emoji16] vyenye mwanza hata huijui ,,,Kuna mtaa upi unaitwa NHC ,,,hyo mwananchi Kuna uswazi wapo...uko unakadiria tuWakazi wa Dar,Arusha, Kilimanjaro na Tanga wengi wao wanaishi kwenye nyumba za ghorofa zikiwemo apartments..
Yaani inajivunia kuishi kwenye vijumba takataka vya tembe mlivyorundika huko mabatini,kirumba,mwananchi,NHC,butimba na uswazi mwingine kama huo..?
Kwa hiyo ule mtaa wa National kwa nini unaitwa hivyo?[emoji16][emoji16][emoji16] vyenye mwanza hata huijui ,,,Kuna mtaa upi unaitwa NHC ,,,hyo mwananchi Kuna uswazi wapo...uko unakadiria tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujawahi fika mwanza ..njoo tu. Nauli 60 Toka huko kwenu ...Kwa hiyo ule mtaa wa National kwa nini unaitwa hivyo?
Basi nakuongezea slum nyingine ni Buzuruga [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Dodoma baada ya 4 years toka sasa itawaacha wengi tu hiyo population tu zamani Mwanza walikuwa wanawazidi Dodoma zaidi ya watu million 2 na zaidi leo laki 4 tu hiyo dalili watu wanakuja sababu fursa zipo Mwanza wamedumaa wanadhani watabaki na ile status jiji la pili milele wakishtuka watu wanawaacha soon.Mambo ambayo yanafanyika Dom watu wa Mwanza wakiona lazima wanune π
Kama Buzuruga sio uswazi basi una shida mahala,pale tuu ile stand ya Musoma ilipo ni uswazi tosha..Kama hujawahi fika mwanza ..njoo tu. Nauli 60 Toka huko kwenu ...
Buzuruga, national hamna uswazi ,, Tena huwezi linganisha na mitaa kama unga ltd ,sinoni,kilombero ,au mbauda ....ni maeneo classic
Sent using Jamii Forums mobile app