Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Uwe unaongea Kwa figure sio maneno tu .... growth quantity ya dodoma mkoa ni watu milion 1 .Toka 2.1 milion .. growth quantity ya watu mwanza ni watu milion 1 .Toka 2.7 Hadi 3.7 .. dodoma wilaya imeongezeka Toka watu 410k Hadi watu 600k (included maeneo ya vijiji vya mpunguzi ) . ongezeko la watu 200k .. mwanza jiji imetoka 700k Hadi 1m (excluded kisesa na Usagara). ongezeko la watu 300k...
Ukitumia figure utaona growth quantity bado dodoma inapitwa na mwanza ...
Ukiangalia Hali ya ujenzi wa makazi
Mwanza Ina 64000 wakati dodoma Ina 40000 ..
Hamna figure dodoma itakuwa front ya mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna unachokijua kuhusu Mwanza hiyo mwanza south inahusiana vipi na pasiansi.Mwanza south hiko nyamagana na pasiansi hiko ilemela.
 
Wakitoa matokeo ya watu ikaonyesha Dom kuwa na wakazi Kati ya 600-700k basi mwaka 2032,Dodoma itakuwa sawa na Mwanza kwenye population..

Ila tofauti itakuwa ni kwamba population ya Dom ni ya wenye pesa na Mwanza ni population ya maskini waliorundikana kwenye mabanda 😁😁..

Kwa muktadha huo Dom ndio litakuwa Jiji la mfano hapa Tanzania kwa kila kitu kuanzia miundombinu hadi huduma za jamii..

Mpango wa Ujenzi wa Mji wa Serikali unakamilika 2035 na by that time takribani miundombinu yote ya kiserikali na Kijamii itakuwa tayari hapa tunazungumzia ni ndani ya miaka 10 tuu ijayo..

Kama saizi imeshawatoa makamasi na ni ndani ya miaka 4 tuu toka ujenzi uanze unategemea by 2030 Jiji litakuaje?
 
Acha uongo ...
Mwaka 2012 dodoma ilikuwa na watu milioni 2.1 mwanza milion 2.7 tofauti (600k)
Dodoma jiji 400k mwanza ilikuwa na 700k tofauti 300k ..acheni uongo bas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwanza imelala haikui [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia reference miaka 10 Mwanza ilikuwa wapi na Dodoma ilikuwa wapi na leo wako wapi.
 
Acha utoto basi,weka figures za sensa za hicho unachosema Wilaya na blaa blaa zako hapa..

Usivyoweza kufikiria,huoni hilo ongezeko kwa watu wachache nikubwa kuliko ongezeko la Mwanza mlipokuwa na watu wengi? Kwani hao mil.1 wa Mwanza wote wameongezeka hapo Mjini?

Kwa taarifa yako Dom ita draw wahamiaji wengi plus wanaozaliwa ila mwanza mtaendelea kutegemea birthrate tuu kuliko wahamiaji..

Mwisho nasema hivi nasubiria matokeo ya sensa yakionesha tuu Dom kuwa na watu 600k-700k basi ujue by 2032 kutakuwa na watu zaidi ya 1M na hao watakuwa ni middle class sio maskini kama wa huko milimani kwenu Mwanza..
 
Hata hupajui eti mwanza South..then unapoongea slums ni lazima jiji kubwa lenye watu wa aina tofauti tofauti Liwe na slums .. Nairobi zipo ,dar ndo usiseme ,Arusha za kutosha ,, dodoma nenda changombe gwasa huko ukajionee ..mbeya ndo jiji Zima ni slums [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna unachokijua kuhusu Mwanza hiyo mwanza south inahusiana vipi na pasiansi.Mwanza south hiko nyamagana na pasiansi hiko ilemela.
Chuo Cha fishery Kiko wapi? Ntakuwa nimesahau majina ya mitaa ila sio kwamba siijui Mwanza. mitaa ila njia hiyo yote ya kutoka mkolani ni uswazi wa kuzidi.
 
Kwa mawazo yako finyu unadhani huko 2035 Mwanza nayo itakuwa inaisubiri Dodoma??Acha kujidanganya Mwanza ni jiji la ajabu afrika mashariki.Sahivi jiji linavuka maji kuelekea sengerema na hilo daraja likikamilika huo mwaka Mwanza itaungana na geita pamoja na shinyanga.Saizi Mwanza jiji inajuisha wilaya 5 japo kwnye sensa jiji linahesabika ni Nyamagana peke yake.
 
Huwa sipotezi muda Kwa watu wanaoassume mambo ...facts goes with figure anda critical analysis not empty words

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma uelewe usikueupuke
 
Unaweza leta figure,,na data za sensa zote miaka 10 au 20 iliyopita nitakusaidia kuchanganua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza walikuwa wanajukana wanazaana sana hapa issue sio wingi maana hata Tabora wengi tu lakini wana nini? Point yangu naijuwa Mwanza wakati huo naijuwa Dodoma wakati huo, Mwanza walikuwa kama wanataka ushindani na Dar sasa leo hii Dar imekuwa level zingine hawa waliokuwa nyuma sana Dodoma ndio wanakuja kuwapiku very soon hata Aiport 2024 ya Msalato itazima kabisa ndoto za Mwanza kubaki number 2 na hizi barabara za Dodoma na kituo kikubwa cha SGR Dodoma bandari kavu kuna mengi yanaendelea makao makuu tupende tusipende huo ndio ukweli.
 
Kwa taarifa yako hii hapa ndio accurate.figure ya population ya mwanza pamoja na growth rate yake ..we endelea kusubiri makarani [emoji116]View attachment 2405506

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Logic kwanza wasukuma ni wengi sana nchi hii na wanazaa sana lakini Dodoma wengi wanaokuja sio wazaliwa wa Dodoma wako kwa ajili ya fursa mbele yao hii dalili tosha kukupa idea nchi inaenda wapi. Serikali ime invest sana Dodoma
 
Kwamba mwanza hamna project,,,. airport inayojengwa mwanza tayari Ina passenger wa kutosha.[emoji116]
Hamna project iliyopo dodoma mwanza isiwepo ...
Tofauti na ring road na nyumba za NHC..dodoma hamna project nyingine ya maana ..msiwatishe watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo Cha fishery Kiko wapi? Ntakuwa nimesahau majina ya mitaa ila sio kwamba siijui Mwanza. mitaa ila njia hiyo yote ya kutoka mkolani ni uswazi wa kuzidi.
Chuo Cha fishery Kiko wapi? Ntakuwa nimesahau majina ya mitaa ila sio kwamba siijui Mwanza. mitaa ila njia hiyo yote ya kutoka mkolani ni uswazi wa kuzidi.
Chuo cha fisheries hiko mtaa unaitwa Swea nyegezi.Na ukisema huko ni uswahili utakuwa unadanganya kwasababu hilo eneo limejaa tasisi kama shule ya Nganza,Nsumba,Negezi seminary,chuo cha fisharies na Chuo cha SAUT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…