Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Uwe unaongea Kwa figure sio maneno tu .... growth quantity ya dodoma mkoa ni watu milion 1 .Toka 2.1 milion .. growth quantity ya watu mwanza ni watu milion 1 .Toka 2.7 Hadi 3.7 .. dodoma wilaya imeongezeka Toka watu 410k Hadi watu 600k (included maeneo ya vijiji vya mpunguzi ) . ongezeko la watu 200k .. mwanza jiji imetoka 700k Hadi 1m (excluded kisesa na Usagara). ongezeko la watu 300k...Kuna kitu hakina ubishi Dodoma ni mji unakuwa haraka kuliko miji mingine na hii sio suala la Mwanza zaidi ya Dodoma au Dodoma zaidi ya Mwanza hapana ila kitu kimoja hakina ubishi katika kukuwa haraka Dodoma kunakuwa haraka hii ina maana soon wataipiku Mwanza leo hii Dodoma iliyokuwa na watu Million sijui wamezidiwa kama laki 4 tu hivi na Mwanza number zao hazibadiliki, pia kuna miradi mingi mipya Dodoma kuliko Mwanza miaka 3 kutoka sasa tutakuja kukumbushana hapa. Wasukuma wengi siku hizi wako Dodoma hii dalili ya fursa zipo. Swali la kujiuliza miaka 5 nyuma Mwanza ilikuwa wapi na Dodoma ilikuwa wapi na leo ziko wapi? kasi % utakayopata ndio mwelekeo wa mbele soon.
Ukitumia figure utaona growth quantity bado dodoma inapitwa na mwanza ...
Ukiangalia Hali ya ujenzi wa makazi
Mwanza Ina 64000 wakati dodoma Ina 40000 ..
Hamna figure dodoma itakuwa front ya mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app