Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Matajiri Dodoma watoke wapi ? Nitajie tajiri mmoja aliyewekeza Dodoma tofauti na waajiriwa wa serikali ambao wakipata fedha wanaenda jenga Dar, Mwanza au Arusha kukimbia baridi yabisi ya Dodoma.
Middle income wako wa kutosha..

Fungua video hapa afu useme kama ni baba yako kawekeza kwenye kiwanda cha mbolea au ni tajiriπŸ‘‡
 

Attachments

  • Wabunge wa Nyanda za Juu Kusini Watembelea kiwanda Cha Mbolea Dodoma ( 352 X 640 ).mp4
    8.2 MB
Lete Data hapa acha kuropoka kama mwehu
Rejea post no.2082.

Hata hivyo nakuongezea na hapa chini,ukiiona Mwanza kwenye haya maelezo ya the citizen uni tag..

Dom ipoπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-085450.png
    177.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221103-085537.png
    74.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221103-085439.png
    75 KB · Views: 8
Kirumba International Market, capacity ya Airport ni 2milion passengers
 
Viwanja Vingi siku izi vimepimwa especially Ilemela Municipal
 
Kirumba International Market, capacity ya Airport ni 2milion passengers
Nilishawawekea bandiko humu kwamba Serikali imepanga kukamilisha investments ya world class facilities kwenye Mji wa serikali na Jiji la Dodoma yenye thamani ya sh Til.12 by 2035..

Sasa huto tumiradi twenu hapo juu tunafika hadi til.4 kweli in case tumefanyika twote?
 
Siku hizi umekuwa mpuuzi kama yule ngokongosha mwenzio..

Takwimu rasmi ni za NBS hizi za uchochoroni katumie Chumbani kwako.
 
Hiyo Miundombinu isiwape kiwewe, ni suala la wakati tu siku serikali iwe serious na Miundombinu ya Mwanza apo Maj mtaita Mma
 
Kwa taarifa yako Wilaya tano za Mwanza ni sehemu ya jiji mfano sengerema(kamanga na busisi)misungw(nyashishi,fela,usagara,kigongo ferry na ukiriguru),magu(kisesa,nyanguge,igudija na sangijo)ilemela yote na nyamagana yote.Dodoma ndo bado jiji la kizamani ambalo wilaya zake ni mapori ya mibuyu.Hao watu mil 3.7 wa mwanza wanashare biashara na kila kitu ndo maana Mwanza ni jiji la pili la kibiashara baada ya Dar.Hiyo population ya Dodoma ni sawa na Tabora.Bora na population ya geita wanamuingiliano na mwanza.Ila Dodoma wako huko maborini wanalima ndo maana watu wengi majengo machache.
 
Wewe kichaa ndo maana Milembe ilijengwa Dodoma.Nani kakwambia hasili ya watu wa Mwanza ni wasukuma tu.??Toka lini msukuma akawa mvuvi??hasili ya watu wa mwanza ni wazinza,wakerewe,wakara na wasukuma.Mwanza pia kuna makabila yote ya Tanzania hasa wachaga,wahaya,waha,wanyantuzu,wakurya,wajaruo na wasukuma wakiwemo ndo matajiri wakubwa mwanza haya maneno mengine ni ujinga wakulishana huko ugogoni.Na bila watu wakanda ya ziwa Dodoma mngefia jangwani japo waafrika wakipata matako uli mpwata,leo nyie mumeingizwa mkenge na kuanza kuinanga mwanza na kanda ya ziwa.Pumbavu kabisa.
 
Hamna kitu kama hicho ..... dodoma yenye land km2 2769 ..Ina population ya watu 600k ..mwanza yenye land 476 km2 Ina watu 1m ... population density inaamua wapi Pako densely populated and urbanized..
Asilimia 70 ya watu wa dodoma wako vijijini,hombolo ,mpunguzi ,zuzu,veyula ,ntyuka ,mvumi ,ngongona ,na chipogolo .pale mjini wanabaki watu kama laki 3 tu ...
Rudi shule inaonekana statistics ilikupiga chenga. ...
Mwanza asilimia 100 wako town .na population nyingine Iko nje ya mji kama kisesa, nyashishi,isangijo na Usagara ambayo haijawa counted kwenye city proper ....
Factor kubwa ya kudetermine Hali ya makazi ya watu na uchumi wao rejea dodoma economic profile. Ukasome
Asilimia 75 ya wakazi wa dodoma manispaa ni wakulima ,[emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa maeneo uliyotaja yote unayoita Vijijini ndio yako ndani ya Jiji la Dodoma na Wilaya ya Chamwino ambayo iko mbioni kutangazwa Manispaa..

No excuses here Nimekupa clear data kutoa NBS sasa wewe unaokoteza vitaarifa vinavyo suit ujinga wako πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mzee stuka Dom ya Leo ni ya 2022 sio 2012 πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-105440.png
    393.4 KB · Views: 5
Wew dodoma mgeni aisee.eti wilaya ya chamwino ..eneo la halmashauri ya jiji la dodoma ni km 2769 square...ambapo asilimia 30 tu ndo Iko urbanized ...
Nakupa task ,,ukagoogle vijiji hivi viko wapi
Hombolo ,zuzu,mtumba,ntukya, msalato,veyula,makutupora , chipogolo,mpunguzi ,na mvumi............ population density ya dodoma [emoji116][emoji16]ni kichekesho ....na ndio maana asilimia 70 wanaotegemea kilimo Kwa Sababu wanakaa wengi vijijini [emoji116]
Wilaya ya dodoma mjini ...tarafa ya rangi kijani iliyokoza ndio urbanized..huko kwingine ni vijijini [emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunarudi kwenye hoja yangu kule kule kwamba Kwa kuwa eneo la Mwanza ni dogo na Bei iko juu bila shaka uhamiaji utakuwa mdogo sana Mwanza..

Watu wale 900k watakuwa wamezaani huo Misungwi,Kwimba,Sengerema nk ila Mwanza Mjini ni wachache Sana..

Matokeo yakitoka na Mwanza Jiji ikifikisha watu mil.1 nitag nikutumie mb za buku ten..

Piga kelele wee ila Dom itawapita na wale watu 1M waliongezeka basi 300k wameongezeka mjini hivyo population ya Dom itakuwa 700k..

Hii trend itawa outshine Mwanza come 2032..chukua hayo maelezo yangu.πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-125319.png
    254.6 KB · Views: 6
Nitakutag..na dodoma ikifika 700k ..nitag nikutumie nauli uje mwanza .....
[emoji116]
Mwanza duplex apartment [emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ™‚ usi panic hiyo Mirembe nasikia wagonjwa wengi wanaletwa toka kanda ya ziwa shukuru Mungu wanawatibu halafu andika vizuri ndio maana mnachekwa wasukuma sema asili sio hasili utajiri gani wakuchunga ng'ombe? wasukuma bwana mnafurahisha sana ndio maana kila anawafanya wakuja hivi
 
Wewe jamaa Mwanza inakuumiza kichwa sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila ni ujinga wako.Mwanza ni habari nyingine,historia inaonesha Mwanza haijawahi kushuka walikuwepo Tanga ikaja ikapotea Mwanza hipo,wakaja Arusha wakapotea mwanza ndo inazidi kusimama,wakaja mbeya wakapote Mwanza hipo.Sasa wamekuja dodoma ambayo haina hata identiity ya kiuchumi tofauti na tanga ina bandari au utalii kama arusha zaidi ya siasa ila wanavyopiga domo utadhani hawaijui mwanza kwa vitu vyake hatari.Dodoma na Mwanza kitabia,Kijiografia,kiutamaduni,kiklamatolojia,kiuchumi na kiasa ni vitu viwil tofauti kabisa yaani mbingu na ardhi na haitatokea dodoma kuwa kama mwanza au mwanza kuwa kama dodoma.Dodoma serikali hata ifanye nini haiwezi fikia Mwanza.Mwanza ni natural attrction.
 
Utaniambia nini wewe mtoto wa Matonya sifa zenu ni kuomba omba na kujifanya vipofu sio kwamba hatuwajui ila huwa tunawasahidia ili msife njaa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nilipita dodoma aisee nilishangaa sana jua kali watu wako pembezoni mwa barabara wanaomba mabasi yanayopita wakati mabasi yenyewe yanatembea speed 100km/hr.Huo muda kwanini mtu usifanye kazi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…