Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Matajiri Dodoma watoke wapi ? Nitajie tajiri mmoja aliyewekeza Dodoma tofauti na waajiriwa wa serikali ambao wakipata fedha wanaenda jenga Dar, Mwanza au Arusha kukimbia baridi yabisi ya Dodoma.
Middle income wako wa kutosha..

Fungua video hapa afu useme kama ni baba yako kawekeza kwenye kiwanda cha mbolea au ni tajiri👇
 
Attachments

  • Wabunge wa Nyanda za Juu Kusini Watembelea kiwanda Cha Mbolea Dodoma ( 352 X 640 ).mp4
    8.2 MB
Lete Data hapa acha kuropoka kama mwehu
Rejea post no.2082.

Hata hivyo nakuongezea na hapa chini,ukiiona Mwanza kwenye haya maelezo ya the citizen uni tag..

Dom ipo👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-085450.png
    Screenshot_20221103-085450.png
    177.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221103-085537.png
    Screenshot_20221103-085537.png
    74.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221103-085439.png
    Screenshot_20221103-085439.png
    75 KB · Views: 8
Mwaka 2025[emoji116]
Serengeti international airport with terminal 1.5 milion passenger capacity
Daraja la busisi km 3
Bypass airport to nyaguge km 40 .
Nyerere road dual carriage to nyaguge km 35
Kenyata road dual carriage km 55
buhongwa bypass km 15
Mkuyuni bypass km 10
SGR isaka with viaduct of 1.4 km and inland port of fela
Tampere park
Mkuyuni fish market
Mirongo river rehabilitation

Sent using Jamii Forums mobile app
Kirumba International Market, capacity ya Airport ni 2milion passengers
 
Majengo ya dodoma yanathamani kubwa kwasababu yanajengwa kwa kufuata mipango miji...nyie mnajijengea tu ilimradi hakuna lolote la maana uko

Kingine ni kwamba Dodoma haihitaji watu wengi sana maana sio mji mkuu wa kibiashara kama Mwanza...Ila mnapigwa sana kwenye maendeleo
Viwanja Vingi siku izi vimepimwa especially Ilemela Municipal
 
Kirumba International Market, capacity ya Airport ni 2milion passengers
Nilishawawekea bandiko humu kwamba Serikali imepanga kukamilisha investments ya world class facilities kwenye Mji wa serikali na Jiji la Dodoma yenye thamani ya sh Til.12 by 2035..

Sasa huto tumiradi twenu hapo juu tunafika hadi til.4 kweli in case tumefanyika twote?
 
NameAdm.Population
Census (C)
2012-08-261Dar es SalaamDAR4,364,5412MwanzaMWA706,4533ZanzibarZAN501,4594ArushaARU416,4425MbeyaMBE385,2796MorogoroMOR305,8407TangaTAN221,1278KigomaKIG215,4589DodomaDOD213,63610SongeaRUV203,309

Dodoma mjini ilikuwa na watu laki 2 ..na dodoma wilaya ilikuwa na watu laki nne ...[emoji867][emoji867]

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi umekuwa mpuuzi kama yule ngokongosha mwenzio..

Takwimu rasmi ni za NBS hizi za uchochoroni katumie Chumbani kwako.
 
Dodoma baada ya 4 years toka sasa itawaacha wengi tu hiyo population tu zamani Mwanza walikuwa wanawazidi Dodoma zaidi ya watu million 2 na zaidi leo laki 4 tu hiyo dalili watu wanakuja sababu fursa zipo Mwanza wamedumaa wanadhani watabaki na ile status jiji la pili milele wakishtuka watu wanawaacha soon.
Hiyo Miundombinu isiwape kiwewe, ni suala la wakati tu siku serikali iwe serious na Miundombinu ya Mwanza apo Maj mtaita Mma
 
Unajaribu kuleta source za kutunga. Ili kujifariji si ndio? 😄😄😄😄😂😂😂😂.

Umenichekesha Sana Leo Mzee, Takwimu zako za uchochoroni kamsimulie mkeo na mandezi wenzio.

Sasa kwa taarifa yako Takwimu Halisi kutoka NBS Hali ya mambo iko hivi..

Ongezeko la Idadi ya Watu Mwanza.

2012 =2,772,509,

2022=3,699,872

Difference in Increase =927,363..

Linganisha na ongezeko la watu Dodoma Sasa,

2012=2,083,588,

2022=3,085,625,

Difference in Increase ni watu =1,002,037 ..

Conclusion Dom growth rate=2.7% vs Mwanza growth rate=2% 😂😂😂😂.

My Take.
Kwa kuwa land price ya Mwanza Mjini iko na bei ghali Sana sababu eneo ni dogo na Dom land price iko na bei nafuu bila Shaka ongezeko la Watu kwa Mwanza limetokea zaidi huko Wilayani kuliko Mjini na Kwa Dodoma ongezeko limetokea Mjini zaidi kuliko Wilayani..

Hivyo basi si ajabu Mwanza Jiji kuwa na watu 900k na Dodoma Jiji kuwa na watu 700k..

Na kwa growth rate hiyo ni Wazi by 2032 Dodoma itakuwa na watu wengi kuliko Mwanza au watalingana isipokuwa tofauti ni kwamba Dom itapata wanaohamia wengi wenye uwezo na Mwanza iatapata wanaozaliwa wengi wao maskini..

Upinge,unune huu ndio ukweli mchungu.
Kwa taarifa yako Wilaya tano za Mwanza ni sehemu ya jiji mfano sengerema(kamanga na busisi)misungw(nyashishi,fela,usagara,kigongo ferry na ukiriguru),magu(kisesa,nyanguge,igudija na sangijo)ilemela yote na nyamagana yote.Dodoma ndo bado jiji la kizamani ambalo wilaya zake ni mapori ya mibuyu.Hao watu mil 3.7 wa mwanza wanashare biashara na kila kitu ndo maana Mwanza ni jiji la pili la kibiashara baada ya Dar.Hiyo population ya Dodoma ni sawa na Tabora.Bora na population ya geita wanamuingiliano na mwanza.Ila Dodoma wako huko maborini wanalima ndo maana watu wengi majengo machache.
 
Mwanza walikuwa na nafasi kubwa sana lakini imepita hiyo najuwa shida watu wa Mwanza kukubali lakini ndio ukweli mchungu na hakuna haja ya kuandikia mate mambo yanaonekana na siku hizi ukifanya ujinga tu utasikia wasukuma bwana yaani watu wanawachukulia bado sana japo najuwa utani lakini kuna sababu ya kila utani.
Wewe kichaa ndo maana Milembe ilijengwa Dodoma.Nani kakwambia hasili ya watu wa Mwanza ni wasukuma tu.??Toka lini msukuma akawa mvuvi??hasili ya watu wa mwanza ni wazinza,wakerewe,wakara na wasukuma.Mwanza pia kuna makabila yote ya Tanzania hasa wachaga,wahaya,waha,wanyantuzu,wakurya,wajaruo na wasukuma wakiwemo ndo matajiri wakubwa mwanza haya maneno mengine ni ujinga wakulishana huko ugogoni.Na bila watu wakanda ya ziwa Dodoma mngefia jangwani japo waafrika wakipata matako uli mpwata,leo nyie mumeingizwa mkenge na kuanza kuinanga mwanza na kanda ya ziwa.Pumbavu kabisa.
 
Unajaribu kuleta source za kutunga. Ili kujifariji si ndio? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Umenichekesha Sana Leo Mzee, Takwimu zako za uchochoroni kamsimulie mkeo na mandezi wenzio.

Sasa kwa taarifa yako Takwimu Halisi kutoka NBS Hali ya mambo iko hivi..

Ongezeko la Idadi ya Watu Mwanza.

2012 =2,772,509,

2022=3,699,872

Difference in Increase =927,363..

Linganisha na ongezeko la watu Dodoma Sasa,

2012=2,083,588,

2022=3,085,625,

Difference in Increase ni watu =1,002,037 ..

Conclusion Dom growth rate=2.7% vs Mwanza growth rate=2% [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

My Take.
Kwa kuwa land price ya Mwanza Mjini iko na bei ghali Sana sababu eneo ni dogo na Dom land price iko na bei nafuu bila Shaka ongezeko la Watu kwa Mwanza limetokea zaidi huko Wilayani kuliko Mjini na Kwa Dodoma ongezeko limetokea Mjini zaidi kuliko Wilayani..

Hivyo basi si ajabu Mwanza Jiji kuwa na watu 900k na Dodoma Jiji kuwa na watu 700k..

Na kwa growth rate hiyo ni Wazi by 2032 Dodoma itakuwa na watu wengi kuliko Mwanza au watalingana isipokuwa tofauti ni kwamba Dom itapata wanaohamia wengi wenye uwezo na Mwanza iatapata wanaozaliwa wengi wao maskini..

Upinge,unune huu ndio ukweli mchungu.
Hamna kitu kama hicho ..... dodoma yenye land km2 2769 ..Ina population ya watu 600k ..mwanza yenye land 476 km2 Ina watu 1m ... population density inaamua wapi Pako densely populated and urbanized..
Asilimia 70 ya watu wa dodoma wako vijijini,hombolo ,mpunguzi ,zuzu,veyula ,ntyuka ,mvumi ,ngongona ,na chipogolo .pale mjini wanabaki watu kama laki 3 tu ...
Rudi shule inaonekana statistics ilikupiga chenga. ...
Mwanza asilimia 100 wako town .na population nyingine Iko nje ya mji kama kisesa, nyashishi,isangijo na Usagara ambayo haijawa counted kwenye city proper ....
Factor kubwa ya kudetermine Hali ya makazi ya watu na uchumi wao rejea dodoma economic profile. Ukasome
Asilimia 75 ya wakazi wa dodoma manispaa ni wakulima ,[emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20221103-121403.jpg
Screenshot_20221103-121344.jpg
Screenshot_20221103-121945.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu kama hicho ..... dodoma yenye land km2 2769 ..Ina population ya watu 600k ..mwanza yenye land 476 km2 Ina watu 1m ... population density inaamua wapi Pako densely populated and urbanized..
Asilimia 70 ya watu wa dodoma wako vijijini,hombolo ,mpunguzi ,zuzu,veyula ,ntyuka ,mvumi ,ngongona ,na chipogolo .pale mjini wanabaki watu kama laki 3 tu ...
Rudi shule inaonekana statistics ilikupiga chenga. ...
Mwanza asilimia 100 wako town .na population nyingine Iko nje ya mji kama kisesa, nyashishi,isangijo na Usagara ambayo haijawa counted kwenye city proper ....
Factor kubwa ya kudetermine Hali ya makazi ya watu na uchumi wao rejea dodoma economic profile. Ukasome
Asilimia 75 ya wakazi wa dodoma manispaa ni wakulima ,[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2405704View attachment 2405705View attachment 2405706

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa maeneo uliyotaja yote unayoita Vijijini ndio yako ndani ya Jiji la Dodoma na Wilaya ya Chamwino ambayo iko mbioni kutangazwa Manispaa..

No excuses here Nimekupa clear data kutoa NBS sasa wewe unaokoteza vitaarifa vinavyo suit ujinga wako 😂😂.

Mzee stuka Dom ya Leo ni ya 2022 sio 2012 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-105440.png
    Screenshot_20221103-105440.png
    393.4 KB · Views: 5
Sasa maeneo uliyotaja yote unayoita Vijijini ndio yako ndani ya Jiji la Dodoma na Wilaya ya Chamwino ambayo iko mbioni kutangazwa Manispaa..

No excuses here Nimekupa clear data kutoa NBS sasa wewe unaokoteza vitaarifa vinavyo suit ujinga wako [emoji23][emoji23].

Mzee stuka Dom ya Leo ni ya 2022 sio 2012 [emoji116]
Wew dodoma mgeni aisee.eti wilaya ya chamwino ..eneo la halmashauri ya jiji la dodoma ni km 2769 square...ambapo asilimia 30 tu ndo Iko urbanized ...
Nakupa task ,,ukagoogle vijiji hivi viko wapi
Hombolo ,zuzu,mtumba,ntukya, msalato,veyula,makutupora , chipogolo,mpunguzi ,na mvumi............ population density ya dodoma [emoji116][emoji16]ni kichekesho ....na ndio maana asilimia 70 wanaotegemea kilimo Kwa Sababu wanakaa wengi vijijini [emoji116]
Wilaya ya dodoma mjini ...tarafa ya rangi kijani iliyokoza ndio urbanized..huko kwingine ni vijijini [emoji116]
Screenshot_20221103-085534.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew dodoma mgeni aisee.eti wilaya ya chamwino ..eneo la halmashauri ya jiji la dodoma ni km 2769 square...ambapo asilimia 30 tu ndo Iko urbanized ...
Nakupa task ,,ukagoogle vijiji hivi viko wapi
Hombolo ,zuzu,mtumba,ntukya, msalato,veyula,makutupora , chipogolo,mpunguzi ,na mvumi............ population density ya dodoma [emoji116][emoji16]ni kichekesho ....na ndio maana asilimia 70 wanaotegemea kilimo Kwa Sababu wanakaa wengi vijijini [emoji116]
Wilaya ya dodoma mjini ...tarafa ya rangi kijani iliyokoza ndio urbanized..huko kwingine ni vijijini [emoji116]View attachment 2405762

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunarudi kwenye hoja yangu kule kule kwamba Kwa kuwa eneo la Mwanza ni dogo na Bei iko juu bila shaka uhamiaji utakuwa mdogo sana Mwanza..

Watu wale 900k watakuwa wamezaani huo Misungwi,Kwimba,Sengerema nk ila Mwanza Mjini ni wachache Sana..

Matokeo yakitoka na Mwanza Jiji ikifikisha watu mil.1 nitag nikutumie mb za buku ten..

Piga kelele wee ila Dom itawapita na wale watu 1M waliongezeka basi 300k wameongezeka mjini hivyo population ya Dom itakuwa 700k..

Hii trend itawa outshine Mwanza come 2032..chukua hayo maelezo yangu.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-125319.png
    Screenshot_20221103-125319.png
    254.6 KB · Views: 6
Tunarudi kwenye hoja yangu kule kule kwamba Kwa kuwa eneo la Mwanza ni dogo na Bei iko juu bila shaka uhamiaji utakuwa mdogo sana Mwanza..

Watu wale 900k watakuwa wamezaani huo Misungwi,Kwimba,Sengerema nk ila Mwanza Mjini ni wachache Sana..

Matokeo yakitoka na Mwanza Jiji ikifikisha watu mil.1 nitag nikutumie mb za buku ten..

Piga kelele wee ila Dom itawapita na wale watu 1M waliongezeka basi 300k wameongezeka mjini hivyo population ya Dom itakuwa 700k..

Hii trend itawa outshine Mwanza come 2032..chukua hayo maelezo yangu.[emoji116]
Nitakutag..na dodoma ikifika 700k ..nitag nikutumie nauli uje mwanza .....
[emoji116]
Mwanza duplex apartment [emoji91][emoji91]
20221013_220106.jpg
20221015_214422.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kichaa ndo maana Milembe ilijengwa Dodoma.Nani kakwambia hasili ya watu wa Mwanza ni wasukuma tu.??Toka lini msukuma akawa mvuvi??hasili ya watu wa mwanza ni wazinza,wakerewe,wakara na wasukuma.Mwanza pia kuna makabila yote ya Tanzania hasa wachaga,wahaya,waha,wanyantuzu,wakurya,wajaruo na wasukuma wakiwemo ndo matajiri wakubwa mwanza haya maneno mengine ni ujinga wakulishana huko ugogoni.Na bila watu wakanda ya ziwa Dodoma mngefia jangwani japo waafrika wakipata matako uli mpwata,leo nyie mumeingizwa mkenge na kuanza kuinanga mwanza na kanda ya ziwa.Pumbavu kabisa.
🙂 usi panic hiyo Mirembe nasikia wagonjwa wengi wanaletwa toka kanda ya ziwa shukuru Mungu wanawatibu halafu andika vizuri ndio maana mnachekwa wasukuma sema asili sio hasili utajiri gani wakuchunga ng'ombe? wasukuma bwana mnafurahisha sana ndio maana kila anawafanya wakuja hivi
 
Tunarudi kwenye hoja yangu kule kule kwamba Kwa kuwa eneo la Mwanza ni dogo na Bei iko juu bila shaka uhamiaji utakuwa mdogo sana Mwanza..

Watu wale 900k watakuwa wamezaani huo Misungwi,Kwimba,Sengerema nk ila Mwanza Mjini ni wachache Sana..

Matokeo yakitoka na Mwanza Jiji ikifikisha watu mil.1 nitag nikutumie mb za buku ten..

Piga kelele wee ila Dom itawapita na wale watu 1M waliongezeka basi 300k wameongezeka mjini hivyo population ya Dom itakuwa 700k..

Hii trend itawa outshine Mwanza come 2032..chukua hayo maelezo yangu.👇
Wewe jamaa Mwanza inakuumiza kichwa sana😂😂😂ila ni ujinga wako.Mwanza ni habari nyingine,historia inaonesha Mwanza haijawahi kushuka walikuwepo Tanga ikaja ikapotea Mwanza hipo,wakaja Arusha wakapotea mwanza ndo inazidi kusimama,wakaja mbeya wakapote Mwanza hipo.Sasa wamekuja dodoma ambayo haina hata identiity ya kiuchumi tofauti na tanga ina bandari au utalii kama arusha zaidi ya siasa ila wanavyopiga domo utadhani hawaijui mwanza kwa vitu vyake hatari.Dodoma na Mwanza kitabia,Kijiografia,kiutamaduni,kiklamatolojia,kiuchumi na kiasa ni vitu viwil tofauti kabisa yaani mbingu na ardhi na haitatokea dodoma kuwa kama mwanza au mwanza kuwa kama dodoma.Dodoma serikali hata ifanye nini haiwezi fikia Mwanza.Mwanza ni natural attrction.
 
🙂 usi panic hiyo Mirembe nasikia wagonjwa wengi wanaletwa toka kanda ya ziwa shukuru Mungu wanawatibu halafu andika vizuri ndio maana mnachekwa wasukuma sema asili sio hasili utajiri gani wakuchunga ng'ombe? wasukuma bwana mnafurahisha sana ndio maana kila anawafanya wakuja hivi
Utaniambia nini wewe mtoto wa Matonya sifa zenu ni kuomba omba na kujifanya vipofu sio kwamba hatuwajui ila huwa tunawasahidia ili msife njaa.😂😂😂nilipita dodoma aisee nilishangaa sana jua kali watu wako pembezoni mwa barabara wanaomba mabasi yanayopita wakati mabasi yenyewe yanatembea speed 100km/hr.Huo muda kwanini mtu usifanye kazi??
 
Back
Top Bottom