Hamna kitu kama hicho ..... dodoma yenye land km2 2769 ..Ina population ya watu 600k ..mwanza yenye land 476 km2 Ina watu 1m ... population density inaamua wapi Pako densely populated and urbanized..
Asilimia 70 ya watu wa dodoma wako vijijini,hombolo ,mpunguzi ,zuzu,veyula ,ntyuka ,mvumi ,ngongona ,na chipogolo .pale mjini wanabaki watu kama laki 3 tu ...
Rudi shule inaonekana statistics ilikupiga chenga. ...
Mwanza asilimia 100 wako town .na population nyingine Iko nje ya mji kama kisesa, nyashishi,isangijo na Usagara ambayo haijawa counted kwenye city proper ....
Factor kubwa ya kudetermine Hali ya makazi ya watu na uchumi wao rejea dodoma economic profile. Ukasome
Asilimia 75 ya wakazi wa dodoma manispaa ni wakulima ,[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2405704View attachment 2405705View attachment 2405706
Sent using
Jamii Forums mobile app