The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mwanza ni takataka ndio maana ng'ombe zimerundika kwenye uswazi humo. 😁😁Tatizo ukishatoka kuharisha huwa unatoa utumbo tu kwenye jukwaa hili. Kumbe nimegundua hata Mwanza huijui. Eti Buswelu ni uswazi! Nani kakudanganya ? Nimeshakuambia mambo ya Majiji tuachie wenyewe, wewe endelea kula nguruwe pori huko Sumbawanga.
Siku Mwanza ikifika level hizi mnitag [emoji116]
Namba 2 Kwa population au kwa nini?Haa, Dodoma bado kaka. Mimi kwetu siyo Mwanza wala Dodoma! Kwa sasa Mwanza ni namba 2 baada ya Dar. Huo mji wa Serikali na hizo nyumba za NHC ni za kawaida sana, bado Mwanza CBD ni kali sana
Tupicha huto huyo kwenye angle tofauti tofauti..Sasa hapo kuna nini cha maana? Mwanza mnatia aibu Sana,hapo hakuna tofauti na Babati..Bwiru..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116]View attachment 2408476
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ziko nyingi sana humu na zikiwekwa mnalalamika kusingizia NHC 😆😆..Bwiru.... ilemela..
Nishasema dodoma uniletee aerial view ya mitaa yenu .
Anzia nkuhungu, kisasa, uzunguni,area C,area D ,ilazo ,swasa ,medeli ...ukipata taswira na mandhari kama haya nitagg[emoji14][emoji12][emoji12]View attachment 2408494View attachment 2408495View attachment 2408496
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji706][emoji706][emoji706]Mbona ziko nyingi sana humu na zikiwekwa mnalalamika kusingizia NHC [emoji38][emoji38]..
Nkonze[emoji116]
Isamilo...[emoji91][emoji91][emoji95][emoji95][emoji95]Mbona ziko nyingi sana humu na zikiwekwa mnalalamika kusingizia NHC [emoji38][emoji38]..
Nkonze[emoji116]
Hivi hizi video nazokupa sio za Juu? Kama huna bando unasa sio kuleta excuses zisizo na msingi.
Nkonze-Dodoma once again 👇
AkikaaaNimefika kuanzia Nala, mnada Mpya , nkuhungu,four ways ,bahi road ,njoo area A ,unapita Arusha road kuanzia airport,area C ,Kwa mudi ,maili mbili ,mnada wa zamani ,mwisho wa lami , mipango,msalato ,.njoo jamatini unashika barabara ya dar ,bungeni,unapita CBE ,emaus 1 ,emaus 2 ,kisasa sheli,njia panda ilazo ,nzuguni nanenane ,Hadi ihumwa ...njoo iringa road anzia hazina,njoo uzunguni,Kikuyu ,mkonze ...
Njoo njia ya udom ,,pitia jakaya kikwete road ,kupitia medeli ,makulu,Hadi udom ..mpaka hapa mji wa dodoma unakuwa umeumaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona husemi Da wenye 900k na pop yao ya 5MIyo stat uliotuma mwanza ina nyumba 800K dodoma 700K huoni sio sawa?ilifaa mwanza iwe twice ama thrice dodoma