Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Tatizo ukishatoka kuharisha huwa unatoa utumbo tu kwenye jukwaa hili. Kumbe nimegundua hata Mwanza huijui. Eti Buswelu ni uswazi! Nani kakudanganya ? Nimeshakuambia mambo ya Majiji tuachie wenyewe, wewe endelea kula nguruwe pori huko Sumbawanga.
Mwanza ni takataka ndio maana ng'ombe zimerundika kwenye uswazi humo. 😁😁
 
Siku Mwanza ikifika level hizi mnitag 👇
 

Attachments

  • 1667662281901.jpg
    1667662281901.jpg
    166.3 KB · Views: 15
  • 1667662231473.jpg
    1667662231473.jpg
    178.4 KB · Views: 16
  • 1667662145793.jpg
    1667662145793.jpg
    153.3 KB · Views: 13
  • 1667662145873.jpg
    1667662145873.jpg
    138.8 KB · Views: 14
  • 1667662011186.jpg
    1667662011186.jpg
    162.5 KB · Views: 13
  • 1667661983296.jpg
    1667661983296.jpg
    112.8 KB · Views: 11
  • 1667661962099.jpg
    1667661962099.jpg
    173.4 KB · Views: 12
  • 1667661928249.jpg
    1667661928249.jpg
    163.3 KB · Views: 11
  • 1667661906091.jpg
    1667661906091.jpg
    159.4 KB · Views: 11
  • 1667661882817.jpg
    1667661882817.jpg
    167 KB · Views: 12
Haa, Dodoma bado kaka. Mimi kwetu siyo Mwanza wala Dodoma! Kwa sasa Mwanza ni namba 2 baada ya Dar. Huo mji wa Serikali na hizo nyumba za NHC ni za kawaida sana, bado Mwanza CBD ni kali sana
Namba 2 Kwa population au kwa nini?

Kila mtu abakie na anavyoona maana mahaba yanahusika pia..Ila kwangu Dom ni noma Sana kuliko huko uswazi city 👇
 

Attachments

  • 1667661857902.jpg
    1667661857902.jpg
    144.5 KB · Views: 11
  • 1667661809123.jpg
    1667661809123.jpg
    148 KB · Views: 13
  • 1667661421500.jpg
    1667661421500.jpg
    189.8 KB · Views: 13
  • 1667661070804.jpg
    1667661070804.jpg
    183.4 KB · Views: 14
  • 1667660429159.jpg
    1667660429159.jpg
    170.6 KB · Views: 15
  • 1667660403580.jpg
    1667660403580.jpg
    135.8 KB · Views: 13
  • 1667660347726.jpg
    1667660347726.jpg
    84 KB · Views: 13
  • 1667660347861.jpg
    1667660347861.jpg
    88.6 KB · Views: 13
  • 1667660347933.jpg
    1667660347933.jpg
    82.9 KB · Views: 13
  • 1667660282437.jpg
    1667660282437.jpg
    100.8 KB · Views: 13
Asante Sana Dodoma kwa kuiwakilisha Vyema Tanzania hapa East Africa 👇
 

Attachments

  • 1667659958538.jpg
    1667659958538.jpg
    119.3 KB · Views: 11
  • 1667659944368.jpg
    1667659944368.jpg
    168.1 KB · Views: 12
  • 1667660022548.jpg
    1667660022548.jpg
    202.7 KB · Views: 11
  • 1667660022639.jpg
    1667660022639.jpg
    220.4 KB · Views: 12
  • 1667660040537.jpg
    1667660040537.jpg
    126.4 KB · Views: 13
  • 1667660059629.jpg
    1667660059629.jpg
    147 KB · Views: 13
  • 1667660172792.jpg
    1667660172792.jpg
    150.2 KB · Views: 12
  • 1667660172901.jpg
    1667660172901.jpg
    169.8 KB · Views: 12
  • 1667659905483.jpg
    1667659905483.jpg
    120.8 KB · Views: 16

Attachments

  • 1667661685692.mp4
    3.7 MB
Nimefika kuanzia Nala, mnada Mpya , nkuhungu,four ways ,bahi road ,njoo area A ,unapita Arusha road kuanzia airport,area C ,Kwa mudi ,maili mbili ,mnada wa zamani ,mwisho wa lami , mipango,msalato ,.njoo jamatini unashika barabara ya dar ,bungeni,unapita CBE ,emaus 1 ,emaus 2 ,kisasa sheli,njia panda ilazo ,nzuguni nanenane ,Hadi ihumwa ...njoo iringa road anzia hazina,njoo uzunguni,Kikuyu ,mkonze ...
Njoo njia ya udom ,,pitia jakaya kikwete road ,kupitia medeli ,makulu,Hadi udom ..mpaka hapa mji wa dodoma unakuwa umeumaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Akikaaa
 
Back
Top Bottom