Nimefika kuanzia Nala, mnada Mpya , nkuhungu,four ways ,bahi road ,njoo area A ,unapita Arusha road kuanzia airport,area C ,Kwa mudi ,maili mbili ,mnada wa zamani ,mwisho wa lami , mipango,msalato ,.njoo jamatini unashika barabara ya dar ,bungeni,unapita CBE ,emaus 1 ,emaus 2 ,kisasa sheli,njia panda ilazo ,nzuguni nanenane ,Hadi ihumwa ...njoo iringa road anzia hazina,njoo uzunguni,Kikuyu ,mkonze ...
Njoo njia ya udom ,,pitia jakaya kikwete road ,kupitia medeli ,makulu,Hadi udom ..mpaka hapa mji wa dodoma unakuwa umeumaliza
Sent using
Jamii Forums mobile app