Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ila Dom mji mkavu sana Yani ujue uzuri Sio kutazama ghorofa tu ndo mana watu wanalipia mil 3 kulala Serengeti na mjini dar posta mtu analala kwa laki 2 tu .... Au bro ushamba wa exposure [emoji23]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kuilinganisha dodoma na mwanza ni kupoteza muda [emoji116]
size ya dodoma ni manispaa ya ilemela...
Kama unabisha leta mtaa wenye mazingira na makazi Bora kama haya[emoji116]
 
Dodoma ...nini msaada wa kuwa na makao makuu sasa [emoji116][emoji116]
Dodoma yaporomoka Toka nafasi ya 22 Kwa mikoa yenye uduni wa kipato Hadi nafasi ya 23 ..huko ikitarajiwa kushika mkia miaka ijayo .. wakati Kagera ikizidi kupata momentum[emoji12][emoji12][emoji12].
Dodoma imekuwa ya mwisho Kwa kiwango Cha Ukuaji wa kipato.ikikua Kwa asilimia 2 tu ...
NB :Mwanza imeongoza Kwa Ukuaji wa kipato Kwa ongezeko la sh 645k .na kuifanya kuwa nafasi ya 8 nyuma ya Arusha ambayo imeporomoka Toka nafasi ya 6 na kuwa nafasi ya 7
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…