Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Inafata Arusha. Mwanza mbona mna viherehere, nyie bado bado. CBD inalala mapema vile
Arusha ikifika saa 12 hakuna biashara hapo town, ngoja nikija nitapiga picha ya hilo jiji la michongo.
 
Nyie mbona mlikuwa mnajengewa na kina bashite na jiwe , kiko wapi sasa?
Bashite alijenga nini pale Mwanza zaidi ya nyumba yake ya kuishi, magufuli hakujenga mabarabara huko arusha, miradi mikubwa ya maji, na majengo makubwa ya utalii huko.
 
Bashite alijenga nini pale Mwanza zaidi ya nyumba yake ya kuishi, magufuli hakujenga mabarabara huko arusha, miradi mikubwa ya maji, na majengo makubwa ya utalii huko.
Kama jengo lipi la utalii? Kumbe ata kutembea hujatembea. Arusha ni wapambanaji, hakuna maghorofa ya serikali mengi pale. Mengi ni ya watu binafsi.
 
Kama jengo lipi la utalii? Kumbe ata kutembea hujatembea. Arusha ni wapambanaji, hakuna maghorofa ya serikali mengi pale. Mengi ni ya watu binafsi.
We kweli chupino ..
Nitajie mmiliki wa haya majengo
1.ngoro ngoro tower
2.pssf kaloleni
3 NSSF frolida
4 parot hotel
Haya ndio majengo icon ya mji wenu .
 
Kama jengo lipi la utalii? Kumbe ata kutembea hujatembea. Arusha ni wapambanaji, hakuna maghorofa ya serikali mengi pale. Mengi ni ya watu binafsi.
Nyie na dodoma hamna tofauti, ukitaka kuona wapambanaji wa ukweli njoo Mwanza.
 
We kweli chupino ..
Nitajie mmiliki wa haya majengo
1.ngoro ngoro tower
2.pssf kaloleni
3 NSSF frolida
4 parot hotel
Haya ndio majengo icon ya mji wenu .
Frolida? Kumbe nabishana na jitu ata R na L haliwezi kutofautisha? What a waste, sitaki tena. Kumbe ni low iq namna hii, ndio maana Arusha wanawazidi. Ushauri, nenda tafuta mwalimu wa darasa la pili, akufunze ra re ri ro ruuu.. 🀣 🀣
 
No escape... context imeeleweka jibu swali .... smart person Huwa hatafuti pa kutokea.hujibu facts Kwa facts
 
Umeanza excuse kama yule zombie wa njombeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sindano imepenyaa.
Frolida? Kumbe nabishana na jitu ata R na L haliwezi kutofautisha? What a waste, sitaki tena. Kumbe ni low iq namna hii, ndio maana Arusha wanawazidi. Ushauri, nenda tafuta mwalimu wa darasa la pili, akufunze ra re ri ro ruuu.. 🀣 🀣
 
Nilitaka kumjibu umeniwahi mkuu, safi sana😍😍😍
Kila Takwimu Dom lazima iwanyee Mwanza πŸ˜‚ πŸ˜‚

Mapato ya TRA +Halmashauri (Bilions?)

Mwanza 220+44=264.

Dodoma 191+89=280

Dodoma imechapa Mwanza,kila siku nawaambia Mwanza is overrated 🀣🀣
 
Kila Takwimu Dom lazima iwanyee Mwanza [emoji23] [emoji23]

Mapato ya TRA +Halmashauri (Bilions?)

Mwanza 220+44=264.

Dodoma 191+89=280

View attachment 2471342

Dodoma imechapa Mwanza,kila siku nawaambia Mwanza is overrated [emoji1787][emoji1787]
Naona unajitengenezea vitakwimu vyako ...tengeneza na hii basi kama wew mwamba[emoji12][emoji28][emoji116]
Dodoma GDP trilion 5
per Capita income 1.6 milion
Nafasi kitaifa 23
Kati ya Mikoa 25
Remark: extreme poverty
 
Sasa iwaje nyie wenye GDP kubwa mnakojolewa na Dom?

Vitakwimu vyangu au ndio takwimu zilizopo? Jimlisha Halmashauri na TRA afu ukipata jibu kalilie chooni.
Wakati wew unajumlisha mapato ya halmashauri na TRA.nakupa pia quiz jumlisha mapato yote . halmashauri,TRA, sectoral income, service value, individual earnings, products value, Investment,and consumption.. unapata 10+ trilion,,,,Mwanza only ... wakati dodoma ni 4 trilion only[emoji116]
 
Hayo mapato ya halmashauri ya dodoma yanawasaidia nini wakina matonya wa dodoma kila siku mkoa ndio unazidi kudidimia kiuchumi na umaskini ukizidi kutamalaki, alafu kuhusu mapato ya halmashauri serikali imewekeza nini Mwanza adi wakusanye mapato kuzidi uwekezaji walioufanya? Wasubiri tukamilishe mastendi na masoko yao, lakini pia wilayani hakuna uwekezaji wowote ndio maana kiwango cha uchumi akipimwi kwa uwekezaji wa serikali peke yake bali kwa GDP.
Kila Takwimu Dom lazima iwanyee Mwanza πŸ˜‚ πŸ˜‚

Mapato ya TRA +Halmashauri (Bilions?)

Mwanza 220+44=264.

Dodoma 191+89=280

View attachment 2471342

Dodoma imechapa Mwanza,kila siku nawaambia Mwanza is overrated 🀣🀣
 
Wasukuma wanaongoza kwa kuombaomba dar na arusha, wagogo wakasome.
 
Wasukuma wanaongoza kwa kuombaomba dar na arusha, wagogo wakasome.
Ulishawahi kukutana na omba omba msukuma? Tanzania hii hutokuja kuona kabila la wachapa kazi na wapambanaji wa ukweli kama wasukuma wakageuka omba omba kama nyie watu wa arusha na wakina matonya wa dodoma.
 
Wapo wengi sana. Tatizo watu wa mwanza exposure zero, au mkipata kidogo ni uzeeni alafu mnajikuta mnajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…