Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Bora umesema wewe, serikali inatumia nguvu kubwa karibu nusu ya mapato ya Tanzania yanaushia Dodoma na Dar, hizo nguvu za kulazimisha ukuaji wa dodoma ni bora wangepeleka Geita ili we kama jo'berg
Mi naamini miji hujengwa na watu kutokana na watu wa eneo husika.
Dodoma purchasing power yake iko chini sana na ndo maana makampuni makubwa bado yanaweka base Dsm.

Serikali italazimisha sana ila wapi
 
Mi naamini miji hujengwa na watu kutokana na watu wa eneo husika.
Dodoma purchasing power yake iko chini sana na ndo maana makampuni makubwa bado yanaweka base Dsm.

Serikali italazimisha sana ila wapi
Huu ujinga Huwa mnaloshana wapi? Yaani Jiji lenye wafanyakazi wengi linakuwa na purchasing power ndogo? Acha utoto basi
 
Hiyo Zuberi benz nimeiona pale Nyegezi stand ikishusha watu nilishangaa nilikuwa nasikiaga kuna basi za abiria benz nilikuwa sijaziona kwa macho.
 
Hiyo Zuberi benz nimeiona pale Nyegezi stand ikishusha watu nilishangaa nilikuwa nasikiaga kuna basi za abiria benz nilikuwa sijaziona kwa macho.
Mpaka Volvo lipo, Musoma - Kahama full kipupwe hakuna cha slide windows
 
Una shida wewe,soko Hilo la Machinga mumeigilizia Dodoma Machinga Complex
 
Una shida wewe,soko Hilo la Machinga mumeigilizia Dodoma Machinga Complex
Una shida mahala ..wew kama sio kichwani bas kwenye hvyo vidole unavyotaipia hapa...

Hili sio soko la machinga ni multi purpose bussines market Ina include retail shops,machinga complex, vegetables and fruits stalls, recreation points,na bussines complex...
By the way limeanza kujengwa magufuli akiwa hai 2020 .. wakati machinga ya dodoma imejengwa magu akiwa marehemu jiulize nani kamuiga mwenzake[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…