The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Utasikia wale haters wa Dom wakikuambia Dom inajengwa na Serikali hakuna majengo ya private companies nk..Hata bariadi inajengwa....kitu Cha kujiuliza vinajengwa vitu gan [emoji849][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe ni kajinga,Hilo vumbi mnalotajaga mbona Mimi silioni?Huu uzi unatakiwa ufutwe dodoma sio sehemu ya watu kukaa ni basi tu serikali inalazimisha sio kwa vumbi lile na ukame ule.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Sasa huto tumiradi twa km 200 Kwa Dom unachukua km 120 za Outer Ring Road na dual carriage zilizopo Sasa Jijini tayari inafikia..Ndani ya miaka 10 ijayo haya yanayoongelewa yatakuwa mengi yamefanyika.
Sunk jiandae
Njia nne mwanza mpaka mwanangwa 54km.
Njia nne usagara mpaka mpaka wa mwanza na Geita 101km.
Kuna njia nne mwanza Nyanguge
34km.
Uwezekano wa usagara kisesa bypass 17km kuwa njia nne ni mkubwa pia.
Ukijumlisha hapo ni zaidi ya 200km zitakuwa njia nne ndani ya mkoa.
Hii ina maana wilaya zote za mza zitakuwa na dual carriage kasoro ukerewe nayo kwa sababu ni kisiwa
Kwa hiyo Mwanza ni nzuri kuliko Arusha, Kigali, Kampala, Lusaka au Lilongwe si ndio? Acha Uzwazwa wewe,sema wewe ndio unapenda hivyo..Raha ya mji uwe na bahari au ziwaView attachment 2499698
Picha ya Mwisho ni mradi privte mingine ni NHC under JV.Mikdde Huwa anapenda sana kuwadanganya kwamba Dom ni serikali inajenga sijui Kwa maslahi ya nani hasa..
Don't forget, thise are some private developments in Dom City 👇 View attachment 2499837View attachment 2499838View attachment 2499839View attachment 2499840View attachment 2499837View attachment 2499838View attachment 2499839View attachment 2499840View attachment 2499841View attachment 2499842View attachment 2499843
Acha upuuzi wewe,hakuna jv hapo,Bango ni client ni mchaga,jingine ni morena hotel na mengine ni individualsPicha ya Mwisho ni mradi privte mingine ni NHC under JV.
We chizi nini uilinganishe mwanza na Kampala!? East Africa yote mini miji ambayo ni far better than mwanza niKwa hiyo Mwanza ni nzuri kuliko Arusha, Kigali, Kampala, Lusaka au Lilongwe si ndio? Acha Uzwazwa wewe,sema wewe ndio unapenda hivyo..
Kwanza Dom ikishapandwa miti ya kutosha kama kule Udom basi hata hali ya hewa inakuwa nzuri,ndio maana masika Haki ya hewa Dom Huwa kama Dar tuu Wala haichoshi.
Sasa kwani umeambiwa watakomea hapo tu, miradi itakuja mingi tu, hiyo ni ile ambayo ipo mbioni kwa sasa,Sasa huto tumiradi twa km 200 Kwa Dom unachukua km 120 za Outer Ring Road na dual carriage zilizopo Sasa Jijini tayari inafikia..
On top of that Kuna ,
njia 4 Kila upande wa Barabara kuu km 50 each,
Bado Dodoma inner Ring Road km 60
Bado tram,brt na airport,uwanja wa mpira,arena ya michezo ya ndani,viwanja vya golf nk nk..
Hakuna siku Mwanza itakuja kuikaribia Dodoma,nyie endeleeni kujifariji na cbd tuu hapo.
Wewe utakuwa ni taahira,basi Mwanza ni nzuri kuliko KampalaWe chizi nini uilinganishe mwanza na Kampala!? East Africa yote mini miji ambayo ni far better than mwanza ni
Nairobi
Dsm
Mombasa
Kigali
Kinshasa
Hahaha ndugu sio kila ukisikia jiji liko nje ya ukazani ni zuri hivyo, I'm quiet sure hujawahi fika kampala kwa hiyo ukae kwa kutuliaWewe utakuwa ni taahira,basi Mwanza ni nzuri kuliko Kampala
Dodoma huwa inajengo moja tu hapo cbd(Dodoma city hotel), na hilo jengo huwa nalikubali peke yake
Alaa Kwa hiyo Psssf na Kambarage Tower huyaoni au wivu tuu?.Dodoma huwa inajengo moja tu hapo cbd(Dodoma city hotel), na hilo jengo huwa nalikubali peke yake
[emoji16][emoji16][emoji16]...unajitekenya na kucheka mwenyewe....... jengo la juu Lina miaka karibu mitano Toka lianze kujengwa 2018 ..lipo hapo karibu na Nyerere square,, maeneo ya halmashauri...picha ya pili ni jengo Hilo Hilo umepiga Kwa nyuma ..picha ya tatu ni jengo la taasisi ya serikali lipo mtaa wa medeli jirani la morena...Mikdde Huwa anapenda sana kuwadanganya kwamba Dom ni serikali inajenga sijui Kwa maslahi ya nani hasa..
Don't forget, thise are some private developments in Dom City [emoji116] View attachment 2499837View attachment 2499838View attachment 2499839View attachment 2499840View attachment 2499841View attachment 2499842View attachment 2499843
Jengo Moja unalipiga picha Mara mbili mbili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji75][emoji16]Picha ya Mwisho ni mradi privte mingine ni NHC under JV.
Aliyekuambia Kampala hamna ziwa nani ........Kwa hiyo Mwanza ni nzuri kuliko Arusha, Kigali, Kampala, Lusaka au Lilongwe si ndio? Acha Uzwazwa wewe,sema wewe ndio unapenda hivyo..
Kwanza Dom ikishapandwa miti ya kutosha kama kule Udom basi hata hali ya hewa inakuwa nzuri,ndio maana masika Haki ya hewa Dom Huwa kama Dar tuu Wala haichoshi.
Hata Arusha pia sijui Nani alimdanga ya..