The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Sasa hapo na Usagara tofauti yake ni barabara tuEti wanataka kushindana na Dom,mnajichosha bule,
Usagara ni uswazi na hapo ni well plannedSasa hapo na Usagara tofauti yake ni barabara tu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hyo planning hapo Iko wapi au hivyo vinjia vya udongo [emoji75][emoji75][emoji75]Usagara ni uswazi na hapo ni well planned
Dom sio kama Mwanza ya uswaziHyo planning hapo Iko wapi au hivyo vinjia vya udongo [emoji75][emoji75][emoji75]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndio nini sasa hicho [emoji849][emoji849][emoji849]Do sio Mwanza ya uswazi View attachment 2500706
The BMC .Do sio Mwanza ya uswazi View attachment 2500706
Wewe nawe Sunk unahangaika bure tu! Jiji la Mwanza haliwezi kuwa sawa na Mbeya wala Dodoma! Uwekezaji unao uona Dodoma mkubwa ni wa serkali sio wa wananchi na sekta binafsi!
Hata Mimi nimeona ni serikali ndio inawekeza ndio maana Dom Ina mapato mara 2 ya Mwanza πππππWewe nawe Sunk unahangaika bure tu! Jiji la Mwanza haliwezi kuwa sawa na Mbeya wala Dodoma! Uwekezaji unao uona Dodoma mkubwa ni wa serkali sio wa wananchi na sekta binafsi!
Kitu kingine nikukumbushe tu katika sensa hii ya juzi mkoa wa Mwanza ndo una majengo mengi yanayoendelea kujengwa kuzidi hata Dar!
Na kwa ujumla Mwanza ilipaswa kukimbizana na Dar kwa ukarbu sana kama ingekuwa na vyuona taasisi za kiserkali nyingi!
Kuwa mpole watu wa Mwanza sio wa mchezo mchezo kuanzia wennyeji mpaka na wageni, Naweza kusema nafuu hata Dodoma inaweza kuwa mshindani wa Mwanza ila Mbeya haitakaa iiifikie Mwanza hata Nusu!
π π π π ππ Mr Sunk! Ila una wivu sana na Mwanza kaka!Hata Mimi nimeona ni serikali ndio inawekeza ndio maana Dom Ina mapato mara 2 ya Mwanza πππππ
Mapatoπ π π π ππ Mr Sunk! Ila una wivu sana na Mwanza kaka!
Mapato Gani wew...Mapato
Dodoma 191+89=280
Mwanza 221+44=265
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2501209
Uchumi ni pesa sio maneno maneno ππMapato Gani wew...
. uchumi unapimwa hapa [emoji116]View attachment 2501254View attachment 2501255
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yako wapi maneno ..jaaguli π₯Έπ₯Έ[emoji83]Uchumi ni pesa sio maneno maneno [emoji16][emoji16]
Ukiona haupo top 3 ya matumizi ya mafuta ..bas ujue Hali na uwezo wa wananchi kiuchumi ni mdogoUchumi ni pesa sio maneno maneno [emoji16][emoji16]
Ulivyo chiZi unajitengenezea figure zako za mchongo..ulisikia wapi Kuna summation ya mapato ya namna hyo ..why don't you sum all income figure.ili upate total ya mapato yote ya mkoa ambayo ni sawa na GDP ...by the way total ya mapato ya mkoa wa dodoma haizidi trilion 5 ..kama ipo leta , wakati wenzenu Mwanza ni trillion 12 nowMapato
Dodoma 191+89=280
Mwanza 221+44=265
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2501209
Sisi hatuna mavivuko ya TemesaUkiona haupo top 3 ya matumizi ya mafuta ..bas ujue Hali na uwezo wa wananchi kiuchumi ni mdogo
Kwa sababu:
1 idadi ya wanaomiliki magari ni ndogo
2 idadi ya vyombo vya usafirishaji ni ndogo
3 facilities za kujazia na kutunzia mafuta ni ndogo ..
[emoji116][emoji116]π₯ΈView attachment 2501301
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hayo yanayoitwa GDP ππ