Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mji uliopangika kitambo hauna haja ya kupangwa tena hiyo shughuli ya kuwapanga wamachinga iachie miji ya ovyo kama mwanza
Exactly hakuna Jiji lililopangiliwa afrika mashariki na kati kama Dodoma....zaidi ya asilimia 90 ya eneo lote la Jiji limepimwa .
Nitajie mji wowote hapa Afrika Mashariki na Kati ambao umepimwa eneo lote kwa zaidi ya asilimia 80.....😂
 
huwepo wa viongozi...🤣🤣🤣
 
Kiufupi ushanyoosha mikono ,ngosha kakunyoosha vilivyo ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].....sa hv ni unarusha teke la punda anayekufa [emoji28][emoji28]..a kick of dying horse [emoji28][emoji28]
Ngosha ni habari nyingine kwenye kuchambua.Kaigeuza Dodoma nnje ndani mpaka watetezi wa Dodoma wamebaki kujifichia kwenye miradi ya Serikali[emoji3][emoji3]
 
Kiwanda cha Magodoro Dodoma kipo Kizota,Dodoma ....brand name ni Magodoro Dodoma Asili hicho kilichopo Dar kilihamishwa kutoka Dodoma miaka ya 1990 na brand name ni Magodoro Dodoma
Magodoro Dodoma kipo Dar cha Dodoma kiliungua Moto,Dodoma kuna kiwanda cha Dodoma asili tu
 
Kumbe unatokwa mishipa ya shingo na Dodoma wakati huko Sumbawanga kumejichokea[emoji3][emoji3]
 
Wine za Dodoma kama Dompo,St Mary,Image pamoja na ile aliyokunywa rais wa Kenya Kenyata zinazosifika kwa ubora duniani kumbe ni pombe za kienyeji eti na zinatengenezwa kwenye kila nyumba😂😂😂
Hayo mapombe ndio yanawasaidia kuwatoa kwenye umaskini?
 
Exactly hakuna Jiji lililopangiliwa afrika mashariki na kati kama Dodoma....zaidi ya asilimia 90 ya eneo lote la Jiji limepimwa .
Nitajie mji wowote hapa Afrika Mashariki na Kati ambao umepimwa eneo lote kwa zaidi ya asilimia 80.....😂
Acha ujinga ingia wizara ya ardhi na nyumba, uone jinsi Ilemela ilivyoongoza, hiyo dodoma ni mji wa mwisho kimpangilie ata postkodi tu mnachechemea mkiani.
 
Eneo la Jiji la Dodoma kwa pamoja ni kubwa kuzidi Mwanza....ukiwa Mwanza eneo kubwa ni Ziwa Victoria na miamba ya mawe .Eneo la Mwanza halipo intact kama la Dodoma
Unalinganisha jangwa na mji wa maziwa na asali.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vitaje navisubiri
njoo Dodoma Wine Festival inafanyika kila mwaka utaona zaidi ya brands 50 za wine zinazotengenezwa Dodoma.Soko la wine Tanzania na East Africa limeshikiliwa na wines zinazotoka Dodoma kama Dompo,Celta Wigo,Presidential,Mtita,Tullys,Veyula,Heaven Son,Mtita,Altar Wine n.k. Asilimia chache ya wines zinatoka South Africa
 
 
atahuziwa😀😀

Kabishane facebook mkuu humu ni hoja na facts tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…