Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Of course kulingana na jiografia ya Serena na facilities kadhaa ikiwemo golf course na spa inaweza chezea ndani ya 4 au 5, nilishakwambia kuwa hoteli hazipimwi kwa macho ila vigezo hivyo usitake nikupe uhakika sijawa mzee tambitambi.
 
Ila hii kesi naamini tunaifunga leo hapa hapa tusije tena tukaanza shikana masikio ya 5 mara 4 star hotels in Mwanza au Dom labda tu kama tunatumia vigezo vyetu vya macho kama tulivyozoea wabongo kila hoteli yenye ghorofa nyingi, mazingira yakuvutia au mwonekano mzuri kwetu huwa ni 5star.
 
Mwanza vs Arusha
Mwanza vs dodoma
Mwanza vs nyoko
Tunataka mwanza vs Arusha+dodoma combined tumechoka na ujinga huu.
Acha mbwembwe kama Chuga tu inawakalisha pants down na mmeshatii itakuwa Dodoma, Mwanza ndiyo jiji pekee limewahi kukalishwa hadi na Bunda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Acha sifa za kijinga wakati ndiyo magodoro yanayowaokoa wasukuma wa Mwanza, hakuna godoro linalouza usukumani kuzidi hilo naomba muweko na shukrani basi hata kidogo kwa mengi mnayotendewa na jiji la kisasa.
Yaani Dodoma asili auze Mwanza 😂😂😂😂😂 yaani Dodoma yenyewe anauza Kondoa, Dodoma Kongwa na Bahi, Mwanza kuna vitu kama Comfy,Victoria,Vitanda,Superb ancon, angalau na Bestie na Tanfoam za Arusha znajitahid ila sio huo Upumbavu Dodoma asili
 
Nini Maana ya ruti?, naijua Dodoma in and out yaani saa 2 hakuna daladala apo mjini. Kuna root gani inaabiria wengi kuizidi St Gema apo Dodoma? Hiyohyo ruti saa 2 kwisha habari yaani Dom saa 2 mji umepoa usiombe wanachuo waende likizo ndo kabsa mji unapoa saa 1
 
Sasa kwa kuwa kakaririshwa demu wako na msela wake kila ukimwita ghetto ndio kawimbo beiiibii ngosha bhebhe ninunulie doumpoo ndo sasa wajifanya kuifagilia kumbe ndo brand pekee unayoifahamu.
Acha mihemko kijana Company zinazofanya vizur kwa hapa Tz ni from SA na Italy
 
Tumechoka maneno
 
Kubishana na chizi utajipa kazi.
 
Acha mbwembwe kama Chuga tu inawakalisha pants down na mmeshatii itakuwa Dodoma, Mwanza ndiyo jiji pekee limewahi kukalishwa hadi na Bunda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Mimba uliyopewa na jiji la Mwanza imefika miezi mingap sasa ili tukusaidie ujifungue kwa usalama.
 
Yani mwanza miaka mitatu baadaye itakuwa kama mtwara tu dodoma inakuja juu sana
 
Acha mbwembwe kama Chuga tu inawakalisha pants down na mmeshatii itakuwa Dodoma, Mwanza ndiyo jiji pekee limewahi kukalishwa hadi na Bunda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Arusha ipi unayozumgumzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…