Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kumbe unavyoona wewe [emoji28][emoji28]...nikajua wanavyoona wataalamu....Mimi nimezungumzia Serena we umedakia Hyatt regency,,,,....japo sio mtaalamu wa masuala ya hotel ila nakushauri kasome upya hizo notisi ulizopewa ,inaonekana Kuna mahala hujaelewa..by the way usituchote hapa ...
Of course kulingana na jiografia ya Serena na facilities kadhaa ikiwemo golf course na spa inaweza chezea ndani ya 4 au 5, nilishakwambia kuwa hoteli hazipimwi kwa macho ila vigezo hivyo usitake nikupe uhakika sijawa mzee tambitambi.
 
Kumbe unavyoona wewe [emoji28][emoji28]...nikajua wanavyoona wataalamu....Mimi nimezungumzia Serena we umedakia Hyatt regency,,,,....japo sio mtaalamu wa masuala ya hotel ila nakushauri kasome upya hizo notisi ulizopewa ,inaonekana Kuna mahala hujaelewa..by the way usituchote hapa ...
Ila hii kesi naamini tunaifunga leo hapa hapa tusije tena tukaanza shikana masikio ya 5 mara 4 star hotels in Mwanza au Dom labda tu kama tunatumia vigezo vyetu vya macho kama tulivyozoea wabongo kila hoteli yenye ghorofa nyingi, mazingira yakuvutia au mwonekano mzuri kwetu huwa ni 5star.
 
Mwanza vs Arusha
Mwanza vs dodoma
Mwanza vs nyoko
Tunataka mwanza vs Arusha+dodoma combined tumechoka na ujinga huu.
Acha mbwembwe kama Chuga tu inawakalisha pants down na mmeshatii itakuwa Dodoma, Mwanza ndiyo jiji pekee limewahi kukalishwa hadi na Bunda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Acha sifa za kijinga wakati ndiyo magodoro yanayowaokoa wasukuma wa Mwanza, hakuna godoro linalouza usukumani kuzidi hilo naomba muweko na shukrani basi hata kidogo kwa mengi mnayotendewa na jiji la kisasa.
Yaani Dodoma asili auze Mwanza 😂😂😂😂😂 yaani Dodoma yenyewe anauza Kondoa, Dodoma Kongwa na Bahi, Mwanza kuna vitu kama Comfy,Victoria,Vitanda,Superb ancon, angalau na Bestie na Tanfoam za Arusha znajitahid ila sio huo Upumbavu Dodoma asili
 
Kwani boda si usafiri acha mchecheto, afu mambo mengine tumia common sense, daladala haziwezi kukaa night katika maeneo ambayo hayana uhitaji mkubwa na kuna other means za usafiri, yaani mitaani kumechangamka watu wanatoka out na wengine wanageuka mahozi mtu asiende kupiga minazi huko eti akusubirie wewe unayesafiri usiku toka usukumani ufike ndo akupakie ulishaonaga wapi biashara za namna hiyo.
Nini Maana ya ruti?, naijua Dodoma in and out yaani saa 2 hakuna daladala apo mjini. Kuna root gani inaabiria wengi kuizidi St Gema apo Dodoma? Hiyohyo ruti saa 2 kwisha habari yaani Dom saa 2 mji umepoa usiombe wanachuo waende likizo ndo kabsa mji unapoa saa 1
 
Sasa kwa kuwa kakaririshwa demu wako na msela wake kila ukimwita ghetto ndio kawimbo beiiibii ngosha bhebhe ninunulie doumpoo ndo sasa wajifanya kuifagilia kumbe ndo brand pekee unayoifahamu.
Acha mihemko kijana Company zinazofanya vizur kwa hapa Tz ni from SA na Italy
 
Ila hii kesi naamini tunaifunga leo hapa hapa tusije tena tukaanza shikana masikio ya 5 mara 4 star hotels in Mwanza au Dom labda tu kama tunatumia vigezo vyetu vya macho kama tulivyozoea wabongo kila hoteli yenye ghorofa nyingi, mazingira yakuvutia au mwonekano mzuri kwetu huwa ni 5star.
Tumechoka maneno
1677911321789.jpg
1677911383313.jpg
 
Kwamba hujui kuwa bodi ya utalii na wizara ya utalii wanatoa standard na rating za hotels ...hizo specifications zote ulizotaja hamna hotel ambayo haina kati ya nilizozimention hapo ...stop pretending..
Gold crest ni nyota 4 pure ,,,, tilapia hotel the same,,,,....by the way fika malaika beach resort ndio useme huu upuuZi wako
Kubishana na chizi utajipa kazi.
 
Acha mbwembwe kama Chuga tu inawakalisha pants down na mmeshatii itakuwa Dodoma, Mwanza ndiyo jiji pekee limewahi kukalishwa hadi na Bunda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Mimba uliyopewa na jiji la Mwanza imefika miezi mingap sasa ili tukusaidie ujifungue kwa usalama.
 
Acha mbwembwe kama Chuga tu inawakalisha pants down na mmeshatii itakuwa Dodoma, Mwanza ndiyo jiji pekee limewahi kukalishwa hadi na Bunda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Arusha ipi unayozumgumzia?
 
Back
Top Bottom