OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Najua utakuwa unatania tuNa arusha itakuwa kama lindi tu baada ya mwaka mmoja.
Dodoma serikali ikimaliza ujenzi wake hakuna kitakachoendelea pale kuwa na akili wewe boya. Watu wanafanya kazi dodoma ila wanaiahi dar. Watawazidi nyinyi mnaodai mji wenu unajulikana tangu zamani lakini saa hivi mpo dormant kwasababu ya bangi na ujinga ujinga mwingine wa kujipendekeza kubeba mabegi ya wazungu. Hamfanyi kazi kila mtu tour guide nyoko nyingi sana.Yani mwanza miaka mitatu baadaye itakuwa kama mtwara tu dodoma inakuja juu sana
Nimewaambia walete Arusha na dodoma kwa pamoja waone kitakachowatokea
Hivi kuna jiji watu wanachapa kazi kama Chugastan? HAKUNA. sisi hatusubiri serikali ituletee maendeleo kama nyie shamba cityDodoma serikali ikimaliza ujenzi wake hakuna kitakachoendelea pale kuwa na akili wewe boya. Watu wanafanya kazi dodoma ila wanaiahi dar. Watawazidi nyinyi mnaodai mji wenu unajulikana tangu zamani lakini saa hivi mpo dormant kwasababu ya bangi na ujinga ujinga mwingine wa kujipendekeza kubeba mabegi ya wazungu. Hamfanyi kazi kila mtu tour guide nyoko nyingi sana.
Mnafanya kazi Gani ya maana. Wanaume mnapanda maua kama mademu?Hivi kuna jiji watu wanachapa kazi kama Chugastan? HAKUNA. sisi hatusubiri serikali ituletee maendeleo kama nyie shamba city
Toka chelsea ushuzi naona na wewe akili zako zimeanza kupotea.Najua utakuwa unatania tu
Vitu gani mlivyofanya nyie wenyeww kwenye hicho kipori chenu.Hivi kuna jiji watu wanachapa kazi kama Chugastan? HAKUNA. sisi hatusubiri serikali ituletee maendeleo kama nyie shamba city
hili ni kundi lako...?!Izo ni chuki zako tu mkuu maana tukianza kuongelea mambo ya ushoga tena basi mwanza nadhani kuna hitaji maombi sana. Arusha ni mji mtakatifu mnoo
Hivi kuna jiji watu wanachapa kazi kama Chugastan? HAKUNA. sisi hatusubiri serikali ituletee maendeleo kama nyie shamba city
Kwani chuki zako we huzioniIzo ni chuki zako tu mkuu maana tukianza kuongelea mambo ya ushoga tena basi mwanza nadhani kuna hitaji maombi sana. Arusha ni mji mtakatifu mnoo
VIONGOZI wa dini Mkoa wa Arusha, wameonya jamii kuhusu suala la kuiga tamaduni za baadhi ya nchi za kimagharibi na kukemea vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.Izo ni chuki zako tu mkuu maana tukianza kuongelea mambo ya ushoga tena basi mwanza nadhani kuna hitaji maombi sana. Arusha ni mji mtakatifu mnoo
Utaota ndoto hewa Hadi kichwa kikuume..Dodoma serikali ikimaliza ujenzi wake hakuna kitakachoendelea pale kuwa na akili wewe boya. Watu wanafanya kazi dodoma ila wanaiahi dar. Watawazidi nyinyi mnaodai mji wenu unajulikana tangu zamani lakini saa hivi mpo dormant kwasababu ya bangi na ujinga ujinga mwingine wa kujipendekeza kubeba mabegi ya wazungu. Hamfanyi kazi kila mtu tour guide nyoko nyingi sana.
Sio itakuwa, imeshakuwa tayariNa arusha itakuwa kama lindi tu baada ya mwaka mmoja.
Mwanzo umebisha kuwa Dodoma hakuna viwanda sio...nimekutajia baadhi tu ya viwanda kama hicho cha Magodoro DodomaAsili,Kiwanda cha Nyama,DIPC Ntyuka,Viwanda zaidi ya ishirini vya wine n.k naona unajitahidi kubadili badili topics tuDodoma asili anafanya biashara ndani ya mkoa wa Dodoma tuu na nimeyajua magodoro ya Dodoma asili coz nmesoma apo
Kwa taarifa yako tu wine inayoitwa Presidential Red Sweet Wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta) inayotengenezwa na kiwanda cha CeltaWigo kwenye maduka ya vileo inauzwa zaidi ya elfu 60 hata wine zinazotoka nje hazifiki hata nusu ya bei hyo.Ukweli usemwe tujifunze Dom kuna Dompo tu izo zengne ni Chan'gaaa
Rudia kusoma tena Ulisema kuna viwanda 50 vya wine apo Dom nikaktaka utaje ukaishia kutaja kiwanda kimoja cha Dompo na local wines kadhaa ambazo hazifiki ata 20, kingine Dodoma haiwezi shindana na Mwanza kwa viwandaMwanzo umebisha kuwa Dodoma hakuna viwanda sio...nimekutajia baadhi tu ya viwanda kama hicho cha Magodoro DodomaAsili,Kiwanda cha Nyama,DIPC Ntyuka,Viwanda zaidi ya ishirini vya wine n.k naona unajitahidi kubadili badili topics tu
Sahihi bro, lakini mbona mnajadili ulevi wazee?Rudia kusoma tena Ulisema kuna viwanda 50 vya wine apo Dom nikaktaka utaje ukaishia kutaja kiwanda kimoja cha Dompo na local wines kadhaa ambazo hazifiki ata 20, kingine Dodoma haiwezi shindana na Mwanza kwa viwanda
Aisee kuna haja sasa ya kuanzisha siku ya kitaifa ya kulienzi jiji la Dodoma kama taifa kwa kututoa kimasomaso.Utaota ndoto hewa Hadi kichwa kikuume..
Ujenzi Mji Mkuu Huwa unaisha?
Dom peleka moto huko mwaloni [emoji91][emoji91]
hiz nyingine ni 0 zmeongezwa , Dom na Mwanz zinaachana mbali sana , Dom ni kamji kadogo sana kufananisha na mwanza kwa kipindi hiki labda huko baadaeMapato ya Jiji Dom bil.50 Mwanza bil.37 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]