Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Watu wengi sana wanauliza kama wewe kwanini Mwanza iliweza kuwa jiji kubwa hivi na ipo mbali na kibuyu cha asali nami nawaambia hata mahali kuliko na buyu la asali kungeweza kuachwa mbali, sema serikali inalibania sana hili jiji la Mwanza.hahaaa hawa jamaa wanaoforce kuiweka dom level moja na Mwanza ni vichaa tu , hizo sehem mbili hazifanani , mwanza kupo mbali sana kdg ungetaja Arusha ila kwa tz baada ya Dar hakuna sehem inaikaribia Mwanza sijui mwanza walitiboaje wkt wapo mbali na asali , NIMETEMBEA MIKOA YOTE TZ NAIJUA NJE NDANI TOFAUT NA DAR KDG ARUSHA INAEZA KAA MEZA MOJA NA MWANZA