Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Acha makasiriko leta ushahidi 😁😁
Wewe unavizia vihabari mtandaoni ndo unakuja hapa kutuanikia kidali chako, hujui hizo mambo zipo kila mahala na tunazo tele. Tunaona kukujibu kwa angle tutaoneka hatuna akili kama wewe.
 
Wewe unavizia vihabari mtandaoni ndo unakuja hapa kutuanikia kidali chako, hujui hizo mambo zipo kila mahala na tunazo tele. Tunaona kukujibu kwa angle tutaoneka hatuna akili kama wewe.
Dom 🔥🔥
ijembe_investment_1678031802634103.jpg
 
Narudia tena mshukuruni JPM aliwaonea huruma nyie watani zake maana mlikuwa dhofuri khali kwa kila kitu.Tangu enzi za Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete wote hao walikuwa wanakuja hapo Dodoma kwenye mikutano ya Chama tu.Wakimaliza hawataki hata kuongeza masaa kadhaa wanasepa.

Bila JPM kuwabebeni, mngeendelea kuburuzwa hata na mji wa Kahama
Ata hilo sunk lofa linapost miradi ya dodoma kila muda na wakati huo huo anamchukia hayati magufuli hili jamaa huwa halijielewi ata kidogo.
 
Okoa muda,gharama za nauli ya kuja na kurudi,gharama za malazi,chakula n.k. kwa kuwasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855,uhudumiwe ukiwa mbali na Dodoma,kwa shughuli za kiofisi na zisizo za kiofisi,zisizokulazimu wewe kuja.
Umeona Bora uweke matangazo hapa [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Usiniambie Dompo za Kato kwa wanywaji wazuri wa wine hiyo ni sawa na makapi ya wine yapo sawa na kina D'Hof zenye kutengenezwa na mchanganyiko wa makapi ya zabibu au Ambassador's za CETAWICO ndiyo mvinyo wa Kitajiri.Utakuwa unachekesha [emoji3][emoji3]
Unajua bei ya Presidential Red wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta) inayotengenezwa na kiwanda cha Cetawico.....nenda Supermarket yoyote inauzwa si chini ya elfu 60 alafu ulizia nyingine inaitwa Heaven Son au St Mary's limited edition. Platinum member alafu unaleta hoja dhaifu kulinganisha brands za South Africa na za Dodoma😀 😀 .Dodoma ni the wine city East and Central Africa kote wanatumia zaidi ya brands 40 za wine zinazozalishwa Dodoma.
 
Toa ulevi wako hapa.
 
Hila wewe jamaa ni comedian, hiki kituko ukichoweka ni bora ata masanza kona huko misasi kata ya bujashi tarafa ya rusumo huko mkoani Lindi😂😂😂😂
hila...🤣🤣🤣🤣kama hujui kutofautisha h na i wewe utakua memkwa tu rudi Facebook humu ni JF tunabishana kwa facts na hoja tu
 
hila...🤣🤣🤣🤣kama hujui kutofautisha h na i wewe utakua memkwa tu rudi Facebook humu ni JF tunabishana kwa facts na hoja tu
Unataka niandike mwandiko mzuri tunashindana hapa, au naandika barua ya uchumba, kama hujaelewa pita kushoto.
 
Ata hilo sunk lofa linapost miradi ya dodoma kila muda na wakati huo huo anamchukia hayati magufuli hili jamaa huwa halijielewi ata kidogo.
We nae kitombi dishi linayumba wakati mwingine kwani miradi ni ya taifa au ya magufuli?
 
Niliwaambia sunk siyo ridhiki yule
Mkishazidiwa mnadhani ndiyo njia pekee ya kumtoa kamanda relini, kwa taarifa yenu kichapo cha mbwa koko bado kipo palepale wana ng'wanza lasivyo mkubali kulala bila pichu mbele ya Dodoma
 
Back
Top Bottom