Wewe unavizia vihabari mtandaoni ndo unakuja hapa kutuanikia kidali chako, hujui hizo mambo zipo kila mahala na tunazo tele. Tunaona kukujibu kwa angle tutaoneka hatuna akili kama wewe.Acha makasiriko leta ushahidi 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unavizia vihabari mtandaoni ndo unakuja hapa kutuanikia kidali chako, hujui hizo mambo zipo kila mahala na tunazo tele. Tunaona kukujibu kwa angle tutaoneka hatuna akili kama wewe.Acha makasiriko leta ushahidi 😁😁
We ngosha nenda kwanza shulewe jama unatoa wap ujasiri wa kuifananisha na hiyi takataka Dodoma hata kama ushabiki unafer muda mwingine , ebu iringanishe na Mosh kwanza
Hiyo moro yako kaifananishe na manyonidom hata kwa moshi na moro inakaa ila mnajitia uchiz tu
Mapovu yatawatoka Hadi muote vidonda..Huyu lofa tu anaokoteleza habari kwenye mitandao Arusha yenyewe haijui
Dom 🔥🔥Wewe unavizia vihabari mtandaoni ndo unakuja hapa kutuanikia kidali chako, hujui hizo mambo zipo kila mahala na tunazo tele. Tunaona kukujibu kwa angle tutaoneka hatuna akili kama wewe.
Acha kufananisha Lindi na huko porini Arusha.Na baada ya huo mwaka,Lindi itaikalisha Chuga.
Ata hilo sunk lofa linapost miradi ya dodoma kila muda na wakati huo huo anamchukia hayati magufuli hili jamaa huwa halijielewi ata kidogo.Narudia tena mshukuruni JPM aliwaonea huruma nyie watani zake maana mlikuwa dhofuri khali kwa kila kitu.Tangu enzi za Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete wote hao walikuwa wanakuja hapo Dodoma kwenye mikutano ya Chama tu.Wakimaliza hawataki hata kuongeza masaa kadhaa wanasepa.
Bila JPM kuwabebeni, mngeendelea kuburuzwa hata na mji wa Kahama
Hila wewe jamaa ni comedian, hiki kituko ukichoweka ni bora ata masanza kona huko misasi kata ya bujashi tarafa ya rusumo huko mkoani Lindi😂😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ata hilo sunk lofa linapost miradi ya dodoma kila muda na wakati huo huo anamchukia hayati magufuli hili jamaa huwa halijielewi ata kidogo.
Niliwaambia sunk siyo ridhiki yuleAta hilo sunk lofa linapost miradi ya dodoma kila muda na wakati huo huo anamchukia hayati magufuli hili jamaa huwa halijielewi ata kidogo.
Hoyaa sunk farasi nasikia wewe ni mchicha mwiba na ulishatolewa uwemba na kuvuliwa ubingwa😂😂😂😂😂😂😂😂Niliwaambia sunk siyo ridhiki yule
Umeona Bora uweke matangazo hapa [emoji28][emoji28][emoji28]Okoa muda,gharama za nauli ya kuja na kurudi,gharama za malazi,chakula n.k. kwa kuwasiliana na 'DODOMA MESSENGERS' kwa 0765920855,uhudumiwe ukiwa mbali na Dodoma,kwa shughuli za kiofisi na zisizo za kiofisi,zisizokulazimu wewe kuja.
Unajua bei ya Presidential Red wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta) inayotengenezwa na kiwanda cha Cetawico.....nenda Supermarket yoyote inauzwa si chini ya elfu 60 alafu ulizia nyingine inaitwa Heaven Son au St Mary's limited edition. Platinum member alafu unaleta hoja dhaifu kulinganisha brands za South Africa na za Dodoma😀 😀 .Dodoma ni the wine city East and Central Africa kote wanatumia zaidi ya brands 40 za wine zinazozalishwa Dodoma.Usiniambie Dompo za Kato kwa wanywaji wazuri wa wine hiyo ni sawa na makapi ya wine yapo sawa na kina D'Hof zenye kutengenezwa na mchanganyiko wa makapi ya zabibu au Ambassador's za CETAWICO ndiyo mvinyo wa Kitajiri.Utakuwa unachekesha [emoji3][emoji3]
Toa ulevi wako hapa.Unajua bei ya Presidential Red wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta) inayotengenezwa na kiwanda cha Cetawico.....nenda Supermarket yoyote inauzwa si chini ya elfu 60 alafu ulizia nyingine inaitwa Heaven Son au St Mary's limited edition. Platinum member alafu unaleta hoja dhaifu kulinganisha brands za South Africa na za Dodoma😀 😀 .Dodoma ni the wine city East and Central Africa kote wanatumia zaidi ya brands 40 za wine zinazozalishwa Dodoma.
hila...🤣🤣🤣🤣kama hujui kutofautisha h na i wewe utakua memkwa tu rudi Facebook humu ni JF tunabishana kwa facts na hoja tuHila wewe jamaa ni comedian, hiki kituko ukichoweka ni bora ata masanza kona huko misasi kata ya bujashi tarafa ya rusumo huko mkoani Lindi😂😂😂😂
Unataka niandike mwandiko mzuri tunashindana hapa, au naandika barua ya uchumba, kama hujaelewa pita kushoto.hila...🤣🤣🤣🤣kama hujui kutofautisha h na i wewe utakua memkwa tu rudi Facebook humu ni JF tunabishana kwa facts na hoja tu
Mitaa kama ya mambele tu yaani..Dom [emoji91][emoji91]View attachment 2539341
We nae kitombi dishi linayumba wakati mwingine kwani miradi ni ya taifa au ya magufuli?Ata hilo sunk lofa linapost miradi ya dodoma kila muda na wakati huo huo anamchukia hayati magufuli hili jamaa huwa halijielewi ata kidogo.
Mkishazidiwa mnadhani ndiyo njia pekee ya kumtoa kamanda relini, kwa taarifa yenu kichapo cha mbwa koko bado kipo palepale wana ng'wanza lasivyo mkubali kulala bila pichu mbele ya DodomaNiliwaambia sunk siyo ridhiki yule