Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unajua bei ya Presidential Red wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta) inayotengenezwa na kiwanda cha Cetawico.....nenda Supermarket yoyote inauzwa si chini ya elfu 60 alafu ulizia nyingine inaitwa Heaven Son au St Mary's limited edition. Platinum member alafu unaleta hoja dhaifu kulinganisha brands za South Africa na za Dodoma[emoji3] [emoji3] .Dodoma ni the wine city East and Central Africa kote wanatumia zaidi ya brands 40 za wine zinazozalishwa Dodoma.
Watajulia wapi vitu kama hivyo,tatizo wamekaririshwa kuwa kila kinachotoka nje ya nchi ni bora kuliko vya ndani.
 
Ata hilo sunk lofa linapost miradi ya dodoma kila muda na wakati huo huo anamchukia hayati magufuli hili jamaa huwa halijielewi ata kidogo.
Huyo ni wa kumwacha tu,anatokwaga povu wakati ni JPM ndiyo kawasitiri wagogo wote,pengine sasa hivi wataacha na tabia yao ya kuzurura mikoani kuwa Matonya wa Taifa
 
We fala aliyekuambia Hakuna maji ni nani nyambafu. Kila kitu mnafanya baada ya mwanza kuvuka hatua hiyo jifunze kuwa na akili ya umri ulionao. Suala la mall mlikuja baada yetu, stand pia mtafanya hivyo hivyo, uwanja wa ndege the same na mengine mengi kuweni na adabu.
Maji mliyonayo lita zake ni pungufu na hayatoshi kusambazwa kwenye mitaa yote ya kijiji cha Mwanza, wakazi walio wengi hawana huduma ya maji kuanzia milimani mpaka majarubani maji bado ni anasa bora na Arusha mradi wao uko kwenye matekelezo nyie ndio kwanza serikali inawaza namna ya kuwasaidia msiendelee kuteka maji ziwani.
 
Hila wewe jamaa ni comedian, hiki kituko ukichoweka ni bora ata masanza kona huko misasi kata ya bujashi tarafa ya rusumo huko mkoani Lindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati mwingine ni kama anaamua kuidharirisha Dodoma.Siku hizi hapost tena kule Sumbawanga baada ya kuishiwa.Mji wa sumbawanga kwanza nikitajiwa tu picha ya kwanza inanijia ni ulozi na uchawi[emoji23][emoji23]
 
Mbona ni kama kati kati ya jangwa la sahara
Acha ushamba siyo kila mji mnataka uwe na vichaka au kijani kibichi wakati mwingine hali ya asili ya mazingira ya mahali fulani ni tunu na fahari isiyotakiwa kutoweshwa kama ilivyo hali ya mazingira ya mji wetu pendwa wa Dodoma.
 
Unajua bei ya Presidential Red wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta) inayotengenezwa na kiwanda cha Cetawico.....nenda Supermarket yoyote inauzwa si chini ya elfu 60 alafu ulizia nyingine inaitwa Heaven Son au St Mary's limited edition. Platinum member alafu unaleta hoja dhaifu kulinganisha brands za South Africa na za Dodoma[emoji3] [emoji3] .Dodoma ni the wine city East and Central Africa kote wanatumia zaidi ya brands 40 za wine zinazozalishwa Dodoma.
Unanifundisha mimi aina za wine anazozalisha Fiorenzo Chesin[emoji23][emoji23].Au unahitaji nikupe somo la the best wine zilizopo hapa Tanzania?
 
hila...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama hujui kutofautisha h na i wewe utakua memkwa tu rudi Facebook humu ni JF tunabishana kwa facts na hoja tu
Ndiyo dalili za kushindwa na hoja hizo.Bado unataka kupewa somo la the best wine au bado unang'ang'ana na ushamba wako wa Wines za Fiorenzo
 
Narudia tena mshukuruni JPM aliwaonea huruma nyie watani zake maana mlikuwa dhofuri khali kwa kila kitu.Tangu enzi za Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete wote hao walikuwa wanakuja hapo Dodoma kwenye mikutano ya Chama tu.Wakimaliza hawataki hata kuongeza masaa kadhaa wanasepa.

Bila JPM kuwabebeni, mngeendelea kuburuzwa hata na mji wa Kahama
Huo ulikuwa ujinga wa hao viongozi kutokutambua wajibu wao sasa sisi inatuhusu nini na kuhusu JPM kuhamua kwa dhati kuwekeza katika ujenzi wa makao makuu ya nchi kwa vitendo tunamshukuru kwa kutimiza wajibu wake kama raisi na hatupo hapa kumtukuza, hata bila yeye bado Dodoma ingalijengwa tu na mpaka sasa hivi tungalitunabonga inajengwa.
 
Watajulia wapi vitu kama hivyo,tatizo wamekaririshwa kuwa kila kinachotoka nje ya nchi ni bora kuliko vya ndani.
Nyie wagogo hebu kusanyaneni hapa mpate somo la utengenezwaji wa the best wines,msituletee ushamba wenu na zabibu zenu za quality ya chini zinazotoa makapi ya wine.
 
Maji mliyonayo lita zake ni pungufu na hayatoshi kusambazwa kwenye mitaa yote ya kijiji cha Mwanza, wakazi walio wengi hawana huduma ya maji kuanzia milimani mpaka majarubani maji bado ni anasa bora na Arusha mradi wao uko kwenye matekelezo nyie ndio kwanza serikali inawaza namna ya kuwasaidia msiendelee kuteka maji ziwani.
Hivi Dodoma ina maji kweli?
 
Nyie wagogo hebu kusanyaneni hapa mpate somo la utengenezwaji wa the best wines,msituletee ushamba wenu na zabibu zenu za quality ya chini zinazotoa makapi ya wine.
Leta hilo somo ngariba wa wine za SA tupo hapa tunasubiria darasa
 
Huo ulikuwa ujinga wa hao viongozi kutokutambua wajibu wao sasa sisi inatuhusu nini na kuhusu JPM kuhamua kwa dhati kuwekeza katika ujenzi wa makao makuu ya nchi kwa vitendo tunamshukuru kwa kutimiza wajibu wake kama raisi na hatupo hapa kumtukuza, hata bila yeye bado Dodoma ingalijengwa tu na mpaka sasa hivi tungalitunabonga inajengwa.
Unaona sasa mgogo ushapanic hadi unawaita viongozi wa Nchi kuwa wajinga. Sasa tulia kwanza kunywa maji upunguze hasira,mji mtajengewa kwakuwa nyinyi ni matonya wa Taifa,hamjiwezi kwa lolote mpaka msaidiwe na Serikali.
 
Hivi Dodoma ina maji kweli?
Kwanini ushindane kwenye hilo na Dodoma ambayo ipo KM nyingi mno toka kwenye chanzo kikuu cha maji ambacho nyie mko nacho katika umbali wa zero KM uoni huu ni udhaifu mkubwa kwa zizi la Mwanza?
 
Kina matonya mna maji kweli?
 
Unaona sasa mgogo ushapanic hadi unawaita viongozi wa Nchi kuwa wajinga. Sasa tulia kwanza kunywa maji upunguze hasira,mji mtajengewa kwakuwa nyinyi ni matonya wa Taifa,hamjiwezi kwa lolote mpaka msaidiwe na Serikali.
Nyie mnaojiweza pasipo serikali mbona kila siku mnalia-lia hapa kuwa mmetoswa na serikali kumbe ni wivu tu kwa Dodoma, tukija ground vingi tu mmefanyiwa na bado mnafanyiwa na hiyo hiyo serikali ndo vinavyowafanya mringe humu.
 
Back
Top Bottom