Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwanini ushindane kwenye hilo na Dodoma ambayo ipo KM nyingi mno toka kwenye chanzo kikuu cha maji ambacho nyie mko nacho katika umbali wa zero KM uoni huu ni udhaifu mkubwa kwa zizi la Mwanza?
Doesn't matter, issue hapa mna maji???
 
Nyie mnaojiweza pasipo serikali mbona kila siku mnalia-lia hapa kuwa mmetoswa na serikali kumbe ni wivu tu kwa Dodoma, tukija ground vingi tu mmefanyiwa na bado mnafanyiwa na hiyo hiyo serikali ndo vinavyowafanya mringe humu.
Arusha ndo wanatabia kama zenu na wamefungua Uzi kwa ajili ya kulalika kwa Nini serikali inawatenga. Sisi tunajiendesha wenyewe na mkiruhusu utawala wa majimbo mtashindia wine nawajua watani wangu ardhi yenu inawakataa wakazi wake. Shukruni tu kuwa favour za serikali zimewafanya mmeanza kujulikana na mlivyo wanazi mnavimba 😀😀😀😀😀hatari sana watani zangu.
 
Kazi ya kupiga magoti ni ya kwenu nyie mnaoabudu usukuma, sisi ni wateule vitakuja tu vyenyewe isitoshe jiji la kisasa haliwezi kukamilika pasipo huduma ya muhimu kama hiyo kwahiyo tuliza mtori project ya maji ya ziwa Victoria to Dodoma bado ipo palepale au unahisi Dodoma pia ni zizi la dagaa.
Zizi la vumbi, ombaomba, trachoma na ukoma.
 
Duh wazee wa Nzengo, jiji lenye lifestyle ya kijijini ukweli kuishi Mwanza ni taabu sana, kila unayekutana nae barabarani anakuongelesha kisukuma.
Unajua maana ya USHAMBA wewe kiboga kweli?. Nilijua unatumia akili kumbe lofa tu. Ndiyo maana unaforce dodoma ishindane na mwanza. Kumbe akili yako imejaa nakadhalika na utakuwa hujanielewa
 
Unanifundisha mimi aina za wine anazozalisha Fiorenzo Chesin[emoji23][emoji23].Au unahitaji nikupe somo la the best wine zilizopo hapa Tanzania?
Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja😀😀😀mwanzo umesema wine za dodoma ni bei rahisi kuliko za South Africa sasa nimekupa mfano wa wine moja tu ya Presidential Red wine na beiyake umekimbia.
Haya tuje sasa unaposema unitajie hzo best wine in Tanzania nitajie jiji linalotengeneza brands nyingi za wine apa Tanzania😀😀😀kama Mwanza itakuepo.
Hoja ni Dodoma vs Mwanza....kuna vitu vipo only in Dodoma huwezi kuvipata Mwanza kubali matokeo usijaribu kujifariji kwa kutumia third party ya South Africa😆😆
 
Kwendraaa hatutaki ulevi sisi. Dodoma ishindanishwe na Moshi au Iringa kwanza Haina hadhi ya kuwa Jiji.
 
Kumbe huko Mwanza hakuna ulevi wala viwanda vya pombe na spirits eti😆
Anyway tusiponde biashara ila kiuhalisia dodoma inakuja vizuri lakini huwezi ilinganisha na mwanza mtani wangu.
 
Kwa vigezo vipi toa facts sio porojo, Eneo la Jiji la Dodoma ni kubwa kuliko Mwanza (eneo la jiji la Dodoma lipo intact sehemu moja hakuna magap yoyote ukiacha sehemu chache za Kambi za majeshi kamavile Msalato,Ihumwa,Ntyuka) tofauti na Mwanza ambayo eneo kubwa ni Ziwa Victoria na Mawe ya Milimani. Ukija Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lilopimwa na kupangiliwa mipango miji na miundombinu kwa zaidi ya asilimia 90.
Mwanza inazidi Dodoma Jiji baadhi ya vitu ikiwemo population,viwanda,biashara ya samaki na madini basi
 
Ukisema tuangalie ukubwa wa eneo ,,,songea itashika nafasi ya kwanza maana Ina km 2500 za mraba
 
Kwa vigezo vipi toa facts sio porojo, Eneo la Jiji la Dodoma ni kubwa kuliko Mwanza (eneo la jiji la Dodoma lipo intact sehemu moja hakuna magap yoyote ukiacha sehemu chache za Kambi za majeshi kamavile Msalato,Ihumwa,Ntyuka) tofauti na Mwanza ambayo eneo kubwa ni Ziwa Victoria na Mawe ya Milimani. Ukija Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lilopimwa na kupangiliwa mipango miji na miundombinu kwa zaidi ya asilimia 90.
Mwanza inazidi Dodoma Jiji baadhi ya vitu ikiwemo population,viwanda,biashara ya samaki na madini basi
Eti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu[emoji23][emoji23]
 
Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja[emoji3][emoji3][emoji3]mwanzo umesema wine za dodoma ni bei rahisi kuliko za South Africa sasa nimekupa mfano wa wine moja tu ya Presidential Red wine na beiyake umekimbia.
Haya tuje sasa unaposema unitajie hzo best wine in Tanzania nitajie jiji linalotengeneza brands nyingi za wine apa Tanzania[emoji3][emoji3][emoji3]kama Mwanza itakuepo.
Hoja ni Dodoma vs Mwanza....kuna vitu vipo only in Dodoma huwezi kuvipata Mwanza kubali matokeo usijaribu kujifariji kwa kutumia third party ya South Africa[emoji38][emoji38]
Ni kweli kabisa utaona nabadili topic kwakuwa kwanza huna ujualo kuhusu Wines.Umekariri wine moja tu ya Presedential kwakuwa ulimuona Rais Kenyatta kapewa na Fiorenzo.Ngoja kwa hilo tukuache na ushamba wa wines za Dodoma za grade ya mwisho kwa ubora.

Na pia nakubaliana na wewe kabisa,kuna vitu vipo tu Dodoma kama TRACHOMA na huwezi kuvikuta Mwanza kamwe
 
Kwa vigezo vipi toa facts sio porojo, Eneo la Jiji la Dodoma ni kubwa kuliko Mwanza (eneo la jiji la Dodoma lipo intact sehemu moja hakuna magap yoyote ukiacha sehemu chache za Kambi za majeshi kamavile Msalato,Ihumwa,Ntyuka) tofauti na Mwanza ambayo eneo kubwa ni Ziwa Victoria na Mawe ya Milimani. Ukija Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lilopimwa na kupangiliwa mipango miji na miundombinu kwa zaidi ya asilimia 90.
Mwanza inazidi Dodoma Jiji baadhi ya vitu ikiwemo population,viwanda,biashara ya samaki na madini basi
Njoo na na kitu Cha kusupport maelezo yako naona hata mwanza huifahamu .
 
Eti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu[emoji23][emoji23]
Bro namcheki tu, huyu dogo ana wenge kama la sunk in the name of choice variable
 
Eti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu[emoji23][emoji23]
Chipogolo ipo wilaya ya Mpwapwa kwa taarifa yako...hapa hoja iliyopo ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji naona hata wenzako wanachanganya kulinganisha Dodoma Mkoa na Mwanza Mkoa.Unasema mapori ....mapori gani ambayo hajapimwa asilimia 90 ya jiji la Dodoma limeshapimwa kama unabisha nenda sehemu yoyote kavamie kama utakuta eneo la wazi lisilo na hati
 
Ni kweli kabisa utaona nabadili topic kwakuwa kwanza huna ujualo kuhusu Wines.Umekariri wine moja tu ya Presedential kwakuwa ulimuona Rais Kenyatta kapewa na Fiorenzo.Ngoja kwa hilo tukuache na ushamba wa wines za Dodoma za grade ya mwisho kwa ubora.

Na pia nakubaliana na wewe kabisa,kuna vitu vipo tu Dodoma kama TRACHOMA na huwezi kuvikuta Mwanza kamwe
Kama kawaida yako utabadili topics zote kukwepa hoja.....nimekuuliza maswali hujajibu hata moja unadiverge topics. Wewe unayejua wine industry ya Tanzania tuambie jiji gani linaloongoza kutengeneza hizo wine apa Tanzania😀😀😀 alafu tulinganishe na Mwanza fact kwa fact hatutaki porojo
 
Chipogolo ipo wilaya ya Mpwapwa kwa taarifa yako...hapa hoja iliyopo ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji naona hata wenzako wanachanganya kulinganisha Dodoma Mkoa na Mwanza Mkoa.Unasema mapori ....mapori gani ambayo hajapimwa asilimia 90 ya jiji la Dodoma limeshapimwa kama unabisha nenda sehemu yoyote kavamie kama utakuta eneo la wazi lisilo na hati
Acheni kulinganisha mwanza na upumbavu
 
Back
Top Bottom