Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo.. chipogolo ni Eneo mpka wa dodoma jiji na wilaya ya bahi unapopatikana .....ukitoka nala Kijiji Cha mbele yake hukoChipogolo ipo wilaya ya Mpwapwa kwa taarifa yako...hapa hoja iliyopo ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji naona hata wenzako wanachanganya kulinganisha Dodoma Mkoa na Mwanza Mkoa.Unasema mapori ....mapori gani ambayo hajapimwa asilimia 90 ya jiji la Dodoma limeshapimwa kama unabisha nenda sehemu yoyote kavamie kama utakuta eneo la wazi lisilo na hati
Acha uongo.. chipogolo ni Eneo mpka wa dodoma jiji na wilaya ya bahi unapopatikana .....ukitoka nala Kijiji Cha mbele yake huko
Utakua mgeni wa jiji la Dodoma ndiomana hujui kuwa pori la Msalato hadi Veyula ni eneo la Jeshi ukija upande wa pili Mbwanga hadi Nala kote huko ni eneo la Jeshi.Vivyo hivyo Nzuguni hadi Ihumwa ni eneo la JeshiEti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu![]()
![]()
Eti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu[emoji23][emoji23]
Watu wa Mwanza wanashangazwa na vitu vidogo kweli ila ukiwaita washamba hawataki wanahisi unawaonea.Ile tu kusema MAMBELE basi kajiona bonge la mjanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi mbaya sana
Laizerg na kitombile ni viumbe wanaoongoza kwa IQ ndogo humu JF comment zao hazizidi mbili bila matusi na pumba.Jamaa, kazi ya kichwa chake ni sawa na mwamvuli. Kajikinga na jua Kali shingo isiungue
Ukiona mtu mzima analia jua kuna kibano kishakula, Mwanza kipigo kipo pale pale naona mnataka mwamishe goli tuanze kujadili tu-manispaa hili tuwatie moyo.Kwendraaa hatutaki ulevi sisi. Dodoma ishindanishwe na Moshi au Iringa kwanza Haina hadhi ya kuwa Jiji.
Wanakunywa pombe moja inaitwa mabuju, gongo na machicha kwao neno wine wanahisi ni fedha za kigeni ndiyo maana haishangazi kuona ubishi hauishi kwa wananzengo.Kumbe huko Mwanza hakuna ulevi wala viwanda vya pombe na spirits eti[emoji38]
Anaanza kuelewa somo kuwa kuna mahali kazidiwa lakini anashupaza shingo isionekane kama Mwanza inapigwa nje ndani kila idara na dodoma, angalizo mtani ni kuwa hata ukikubali kuwa tumewazidi hatuwezi kuwacheka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji1787]Anyway tusiponde biashara ila kiuhalisia dodoma inakuja vizuri lakini huwezi ilinganisha na mwanza mtani wangu.
Asisahau Seoul ina ukubwa wa 610sq na bado lina 10pple, ivi Jiji lina 6000kmsq ila eneo lililo Urbanised ni 200kmsq ivi hilo ni jiji au kijiji, ebu atuambie Mwanza ina 546kmsq na population ya 1. Something milioni na hilo jiji Lao la 6000kmsq na population ya watu 400k upi ni mji mkubwa?Ukisema tuangalie ukubwa wa eneo ,,,songea itashika nafasi ya kwanza maana Ina km 2500 za mraba
Dom 🔥Nyie tunawapatia kijisehemu kiwatoe kamasi
Dodoma bila mwanza isingefika hapo ilipo .. assume ni magari mangapi yanapita hapo yakiwa yanatoka dar kwenda mwanza ,,ni uchumi kiasi Gani tunauacha hapo ..[emoji28][emoji28]..case :cheki hizo bus ulizopost hapo zote uelekeo mwanzaDom [emoji91]View attachment 2541558
Wewe usiniquote huna akili kimweso tu.Watu wa Mwanza wanashangazwa na vitu vidogo kweli ila ukiwaita washamba hawataki wanahisi unawaonea.
Sasa kama huelewi unataka nikufanyaje nyanya weweLaizerg na kitombile ni viumbe wanaoongoza kwa IQ ndogo humu JF comment zao hazizidi mbili bila matusi na pumba.
Manispaa ya nyokoUkiona mtu mzima analia jua kuna kibano kishakula, Mwanza kipigo kipo pale pale naona mnataka mwamishe goli tuanze kujadili tu-manispaa hili tuwatie moyo.
Sijadili ulevi, bangi na mirungi Mimi.Anaanza kuelewa somo kuwa kuna mahali kazidiwa lakini anashupaza shingo isionekane kama Mwanza inapigwa nje ndani kila idara na dodoma, angalizo mtani ni kuwa hata ukikubali kuwa tumewazidi hatuwezi kuwacheka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji1787]
Wine ya nyoko toa ulevi wako hapa. Unaongelea viwanda hujui mwanza inaviwanda vingi na vikubwa kuliko vyenu.Wanakunywa pombe moja inaitwa mabuju, gongo na machicha kwao neno wine wanahisi ni fedha za kigeni ndiyo maana haishangazi kuona ubishi hauishi kwa wananzengo.
Ukiona kijiji kinajilinganisha na Seoul inabidi ucheke tu kisha utikise kichwa kimagufuli Ahaa!Asisahau Seoul ina ukubwa wa 610sq na bado lina 10pple, ivi Jiji lina 6000kmsq ila eneo lililo Urbanised ni 200kmsq ivi hilo ni jiji au kijiji, ebu atuambie Mwanza ina 546kmsq na population ya 1. Something milioni na hilo jiji Lao la 6000kmsq na population ya watu 400k upi ni mji mkubwa?