Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Chipogolo ipo wilaya ya Mpwapwa kwa taarifa yako...hapa hoja iliyopo ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji naona hata wenzako wanachanganya kulinganisha Dodoma Mkoa na Mwanza Mkoa.Unasema mapori ....mapori gani ambayo hajapimwa asilimia 90 ya jiji la Dodoma limeshapimwa kama unabisha nenda sehemu yoyote kavamie kama utakuta eneo la wazi lisilo na hati
Acha uongo.. chipogolo ni Eneo mpka wa dodoma jiji na wilaya ya bahi unapopatikana .....ukitoka nala Kijiji Cha mbele yake huko
 
Eti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu
emoji23.png
emoji23.png
Utakua mgeni wa jiji la Dodoma ndiomana hujui kuwa pori la Msalato hadi Veyula ni eneo la Jeshi ukija upande wa pili Mbwanga hadi Nala kote huko ni eneo la Jeshi.Vivyo hivyo Nzuguni hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi
Eti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu[emoji23][emoji23]
 
Ile tu kusema MAMBELE basi kajiona bonge la mjanja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi mbaya sana
Watu wa Mwanza wanashangazwa na vitu vidogo kweli ila ukiwaita washamba hawataki wanahisi unawaonea.
 
Jamaa, kazi ya kichwa chake ni sawa na mwamvuli. Kajikinga na jua Kali shingo isiungue
Laizerg na kitombile ni viumbe wanaoongoza kwa IQ ndogo humu JF comment zao hazizidi mbili bila matusi na pumba.
 
Kwendraaa hatutaki ulevi sisi. Dodoma ishindanishwe na Moshi au Iringa kwanza Haina hadhi ya kuwa Jiji.
Ukiona mtu mzima analia jua kuna kibano kishakula, Mwanza kipigo kipo pale pale naona mnataka mwamishe goli tuanze kujadili tu-manispaa hili tuwatie moyo.
 
Kumbe huko Mwanza hakuna ulevi wala viwanda vya pombe na spirits eti[emoji38]
Wanakunywa pombe moja inaitwa mabuju, gongo na machicha kwao neno wine wanahisi ni fedha za kigeni ndiyo maana haishangazi kuona ubishi hauishi kwa wananzengo.
 
Anyway tusiponde biashara ila kiuhalisia dodoma inakuja vizuri lakini huwezi ilinganisha na mwanza mtani wangu.
Anaanza kuelewa somo kuwa kuna mahali kazidiwa lakini anashupaza shingo isionekane kama Mwanza inapigwa nje ndani kila idara na dodoma, angalizo mtani ni kuwa hata ukikubali kuwa tumewazidi hatuwezi kuwacheka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Ukisema tuangalie ukubwa wa eneo ,,,songea itashika nafasi ya kwanza maana Ina km 2500 za mraba
Asisahau Seoul ina ukubwa wa 610sq na bado lina 10pple, ivi Jiji lina 6000kmsq ila eneo lililo Urbanised ni 200kmsq ivi hilo ni jiji au kijiji, ebu atuambie Mwanza ina 546kmsq na population ya 1. Something milioni na hilo jiji Lao la 6000kmsq na population ya watu 400k upi ni mji mkubwa?
 
Anaanza kuelewa somo kuwa kuna mahali kazidiwa lakini anashupaza shingo isionekane kama Mwanza inapigwa nje ndani kila idara na dodoma, angalizo mtani ni kuwa hata ukikubali kuwa tumewazidi hatuwezi kuwacheka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sijadili ulevi, bangi na mirungi Mimi.
 
Wanakunywa pombe moja inaitwa mabuju, gongo na machicha kwao neno wine wanahisi ni fedha za kigeni ndiyo maana haishangazi kuona ubishi hauishi kwa wananzengo.
Wine ya nyoko toa ulevi wako hapa. Unaongelea viwanda hujui mwanza inaviwanda vingi na vikubwa kuliko vyenu.

Kiwanda Cha nondo
Kiwanda Cha nguo mwatex
Na viwanda vingi, kwanza tusichoshane bhna u have nothing kulinganisha na mwanza kwenye sector hii nyambafu.
 
Asisahau Seoul ina ukubwa wa 610sq na bado lina 10pple, ivi Jiji lina 6000kmsq ila eneo lililo Urbanised ni 200kmsq ivi hilo ni jiji au kijiji, ebu atuambie Mwanza ina 546kmsq na population ya 1. Something milioni na hilo jiji Lao la 6000kmsq na population ya watu 400k upi ni mji mkubwa?
Ukiona kijiji kinajilinganisha na Seoul inabidi ucheke tu kisha utikise kichwa kimagufuli Ahaa!
Yaani kibongo-bongo ukiona mji wako unausifia kuwa una per square Km chache na population kubwa elewa tu kuwa huo mji ni congested slum city.

Kwa kuwa hao uliojilinganisha nao wana buildings ambazo ni high rises nyingi na ubeba idadi kubwa ya watu katika eneo dogo na ni miji iliyopangiliwa vyema siyo hicho kijiji cha wavuvi cha Mwanza twenye tughorofa mshenzi tuwili twa roof tatu tatu na uswazi uliotapakaa milimani na mabondeni.
 
Back
Top Bottom