Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

hahaaa hawa jamaa wanaoforce kuiweka dom level moja na Mwanza ni vichaa tu , hizo sehem mbili hazifanani , mwanza kupo mbali sana kdg ungetaja Arusha ila kwa tz baada ya Dar hakuna sehem inaikaribia Mwanza sijui mwanza walitiboaje wkt wapo mbali na asali , NIMETEMBEA MIKOA YOTE TZ NAIJUA NJE NDANI TOFAUT NA DAR KDG ARUSHA INAEZA KAA MEZA MOJA NA MWANZA
Watu wengi sana wanauliza kama wewe kwanini Mwanza iliweza kuwa jiji kubwa hivi na ipo mbali na kibuyu cha asali nami nawaambia hata mahali kuliko na buyu la asali kungeweza kuachwa mbali, sema serikali inalibania sana hili jiji la Mwanza.
 
Huna hoja Wala picha unalialia kama ngedere wa saa 8
Hoja ni hii👇👇👇 ya mkuyuni igogo view from saanane island
Screenshot_20230305-114334_1678005872024.jpg
 
Dodoma unganisha na Arusha.
Nawaambieni nera, kirumba,mwaloni, ghana, kitangiri, bwiru, kabuhoro, kabusungu na pasiansi zishindane na Arusha. Nyakato,buzuruga, mwananchi, Nyasaka, kiloleli, mjimwema na isamilo vs dodoma na wanakaa😀😀😀
 
Ukizidiwa unaanza kuililia Serikali wakati NSSF,PSSF, NHIC hawa ndiyo wajenzi wa majengo mengi yanayoacha alama na chakujivunia katika miji yote Tanzania na Mwanza ikiwemo kama siyo wao na ccm hule mtaa wa ma-national housing ya wahindi rufiji, jengo la Gold Crest, benki kuu, ccm kirumba, Rock city mall,stendi,soko n.k sijuhi mngeliringia nini au ziwa.
Narudia tena mshukuruni JPM aliwaonea huruma nyie watani zake maana mlikuwa dhofuri khali kwa kila kitu.Tangu enzi za Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete wote hao walikuwa wanakuja hapo Dodoma kwenye mikutano ya Chama tu.Wakimaliza hawataki hata kuongeza masaa kadhaa wanasepa.

Bila JPM kuwabebeni, mngeendelea kuburuzwa hata na mji wa Kahama
 
Fahari ya jiji la kisasa ni Mvinyo wa kitajiri tokea katika ardhi iliyobarikiwa yenye kustawisha Zabibu adhimu yenye aroma nzuri na ladha murua. Na fahari ya Mwanza ni harufu kali ya vinyesi, dagaa na furu.
Usiniambie Dompo za Kato kwa wanywaji wazuri wa wine hiyo ni sawa na makapi ya wine yapo sawa na kina D'Hof zenye kutengenezwa na mchanganyiko wa makapi ya zabibu au Ambassador's za CETAWICO ndiyo mvinyo wa Kitajiri.Utakuwa unachekesha [emoji3][emoji3]
 
We fala aliyekuambia Hakuna maji ni nani nyambafu. Kila kitu mnafanya baada ya mwanza kuvuka hatua hiyo jifunze kuwa na akili ya umri ulionao. Suala la mall mlikuja baada yetu, stand pia mtafanya hivyo hivyo, uwanja wa ndege the same na mengine mengi kuweni na adabu.
Acha makasiriko leta ushahidi 😁😁
 
Back
Top Bottom