Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Yani mwanza miaka mitatu baadaye itakuwa kama mtwara tu dodoma inakuja juu sana
Dodoma serikali ikimaliza ujenzi wake hakuna kitakachoendelea pale kuwa na akili wewe boya. Watu wanafanya kazi dodoma ila wanaiahi dar. Watawazidi nyinyi mnaodai mji wenu unajulikana tangu zamani lakini saa hivi mpo dormant kwasababu ya bangi na ujinga ujinga mwingine wa kujipendekeza kubeba mabegi ya wazungu. Hamfanyi kazi kila mtu tour guide nyoko nyingi sana.
 
Nimewaambia walete Arusha na dodoma kwa pamoja waone kitakachowatokea
Dodoma serikali ikimaliza ujenzi wake hakuna kitakachoendelea pale kuwa na akili wewe boya. Watu wanafanya kazi dodoma ila wanaiahi dar. Watawazidi nyinyi mnaodai mji wenu unajulikana tangu zamani lakini saa hivi mpo dormant kwasababu ya bangi na ujinga ujinga mwingine wa kujipendekeza kubeba mabegi ya wazungu. Hamfanyi kazi kila mtu tour guide nyoko nyingi sana.
Hivi kuna jiji watu wanachapa kazi kama Chugastan? HAKUNA. sisi hatusubiri serikali ituletee maendeleo kama nyie shamba city
 
Hivi kuna jiji watu wanachapa kazi kama Chugastan? HAKUNA. sisi hatusubiri serikali ituletee maendeleo kama nyie shamba city

Tutakuja na picha ya kila jengo na miradi ya serikali tuone favour ya serikali ipo mwanza au Arusha?. Hamkutakiwa hata kuwa na HQ ya utalii kwa maana hakuna chochote Cha maana huko.

Uwanja wa kimataifa upo Kilimanjaro, mlima mrefu afrika upo Kilimanjaro, Serengeti ipo mara mbuga zingine zilizobaki ziko manyara. Sasa mshukru mmependelewa.
 
Aseeee mwanza na ushoga wapi na wapi acha kujichetua clubs za Arusha kuanzia saa Tano wanaume kama wote wanatafuta mipini.

Pale redstone club Moshi ndo usiseme na wanakimbilia pale kuogopa watafahamika haraka wakiwa Arusha. Unabishana na sisi ambao tunaijua miji hii siyo kukaa eneo Moja wiki udai unaufahamu mji fulani. Mimi najua mpaka culture yenu.
 
Izo ni chuki zako tu mkuu maana tukianza kuongelea mambo ya ushoga tena basi mwanza nadhani kuna hitaji maombi sana. Arusha ni mji mtakatifu mnoo
VIONGOZI wa dini Mkoa wa Arusha, wameonya jamii kuhusu suala la kuiga tamaduni za baadhi ya nchi za kimagharibi na kukemea vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.
 
Dodoma serikali ikimaliza ujenzi wake hakuna kitakachoendelea pale kuwa na akili wewe boya. Watu wanafanya kazi dodoma ila wanaiahi dar. Watawazidi nyinyi mnaodai mji wenu unajulikana tangu zamani lakini saa hivi mpo dormant kwasababu ya bangi na ujinga ujinga mwingine wa kujipendekeza kubeba mabegi ya wazungu. Hamfanyi kazi kila mtu tour guide nyoko nyingi sana.
Utaota ndoto hewa Hadi kichwa kikuume..

Ujenzi Mji Mkuu Huwa unaisha?

Dom peleka moto huko mwaloni 🔥🔥
 
Dodoma asili anafanya biashara ndani ya mkoa wa Dodoma tuu na nimeyajua magodoro ya Dodoma asili coz nmesoma apo
Mwanzo umebisha kuwa Dodoma hakuna viwanda sio...nimekutajia baadhi tu ya viwanda kama hicho cha Magodoro DodomaAsili,Kiwanda cha Nyama,DIPC Ntyuka,Viwanda zaidi ya ishirini vya wine n.k naona unajitahidi kubadili badili topics tu
 
Ukweli usemwe tujifunze Dom kuna Dompo tu izo zengne ni Chan'gaaa
Kwa taarifa yako tu wine inayoitwa Presidential Red Sweet Wine(ile aliyokunywa Rais Kenyatta) inayotengenezwa na kiwanda cha CeltaWigo kwenye maduka ya vileo inauzwa zaidi ya elfu 60 hata wine zinazotoka nje hazifiki hata nusu ya bei hyo.
Huo ni mfano mmoja tu kuna nyingine inaitwa Sacramento inatengenezwa na kiwanda cha Dane hiyo inauzwa hadi Burundi utaikuta na iko na high demand
 
Mwanzo umebisha kuwa Dodoma hakuna viwanda sio...nimekutajia baadhi tu ya viwanda kama hicho cha Magodoro DodomaAsili,Kiwanda cha Nyama,DIPC Ntyuka,Viwanda zaidi ya ishirini vya wine n.k naona unajitahidi kubadili badili topics tu
Rudia kusoma tena Ulisema kuna viwanda 50 vya wine apo Dom nikaktaka utaje ukaishia kutaja kiwanda kimoja cha Dompo na local wines kadhaa ambazo hazifiki ata 20, kingine Dodoma haiwezi shindana na Mwanza kwa viwanda
 
Sahihi bro, lakini mbona mnajadili ulevi wazee?
 
Utaota ndoto hewa Hadi kichwa kikuume..

Ujenzi Mji Mkuu Huwa unaisha?

Dom peleka moto huko mwaloni [emoji91][emoji91]
Aisee kuna haja sasa ya kuanzisha siku ya kitaifa ya kulienzi jiji la Dodoma kama taifa kwa kututoa kimasomaso.

Tulipofikia ni kichaa pekee atakayeiangalia video hii fupi inayoonesha sehemu ndogo tu ya jiji la kisasa ilivyo-develop katika kila idara na atoke akailinganishe Dom na tumiji twa dagaa.
 
Mapato ya Jiji Dom bil.50 Mwanza bil.37 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hiz nyingine ni 0 zmeongezwa , Dom na Mwanz zinaachana mbali sana , Dom ni kamji kadogo sana kufananisha na mwanza kwa kipindi hiki labda huko baadae
 
Back
Top Bottom