Doesn't matter, issue hapa mna maji???Kwanini ushindane kwenye hilo na Dodoma ambayo ipo KM nyingi mno toka kwenye chanzo kikuu cha maji ambacho nyie mko nacho katika umbali wa zero KM uoni huu ni udhaifu mkubwa kwa zizi la Mwanza?
Arusha ndo wanatabia kama zenu na wamefungua Uzi kwa ajili ya kulalika kwa Nini serikali inawatenga. Sisi tunajiendesha wenyewe na mkiruhusu utawala wa majimbo mtashindia wine nawajua watani wangu ardhi yenu inawakataa wakazi wake. Shukruni tu kuwa favour za serikali zimewafanya mmeanza kujulikana na mlivyo wanazi mnavimba 😀😀😀😀😀hatari sana watani zangu.Nyie mnaojiweza pasipo serikali mbona kila siku mnalia-lia hapa kuwa mmetoswa na serikali kumbe ni wivu tu kwa Dodoma, tukija ground vingi tu mmefanyiwa na bado mnafanyiwa na hiyo hiyo serikali ndo vinavyowafanya mringe humu.
Zizi la vumbi, ombaomba, trachoma na ukoma.Kazi ya kupiga magoti ni ya kwenu nyie mnaoabudu usukuma, sisi ni wateule vitakuja tu vyenyewe isitoshe jiji la kisasa haliwezi kukamilika pasipo huduma ya muhimu kama hiyo kwahiyo tuliza mtori project ya maji ya ziwa Victoria to Dodoma bado ipo palepale au unahisi Dodoma pia ni zizi la dagaa.
Unajua maana ya USHAMBA wewe kiboga kweli?. Nilijua unatumia akili kumbe lofa tu. Ndiyo maana unaforce dodoma ishindane na mwanza. Kumbe akili yako imejaa nakadhalika na utakuwa hujanielewaDuh wazee wa Nzengo, jiji lenye lifestyle ya kijijini ukweli kuishi Mwanza ni taabu sana, kila unayekutana nae barabarani anakuongelesha kisukuma.
Ile tu kusema MAMBELE basi kajiona bonge la mjanja 😂😂😂😂 bangi mbaya sanaMambele ikimaanisha mbele ya mibuyu na michongoma.
Jamaa, kazi ya kichwa chake ni sawa na mwamvuli. Kajikinga na jua Kali shingo isiungueHiki kichwa huwezi kufananisha na hilo sufuria lako lililoko kichwani.
Fact mkuuWagogo ni watani zetu namba Moja Tz, tunahangaika nao humu ni vibaka wa dodoma wamealikana na wavuta bangi wa Arusha. Ndo ujue mwanza siyo ndogo.
Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja😀😀😀mwanzo umesema wine za dodoma ni bei rahisi kuliko za South Africa sasa nimekupa mfano wa wine moja tu ya Presidential Red wine na beiyake umekimbia.Unanifundisha mimi aina za wine anazozalisha Fiorenzo Chesin[emoji23][emoji23].Au unahitaji nikupe somo la the best wine zilizopo hapa Tanzania?
Kwendraaa hatutaki ulevi sisi. Dodoma ishindanishwe na Moshi au Iringa kwanza Haina hadhi ya kuwa Jiji.Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja😀😀😀mwanzo umesema wine za dodoma ni bei rahisi kuliko za South Africa sasa nimekupa mfano wa wine moja tu ya Presidential Red wine na beiyake umekimbia.
Haya tuje sasa unaposema unitajie hzo best wine in Tanzania nitajie jiji linalotengeneza brands nyingi za wine apa Tanzania😀😀😀kama Mwanza itakuepo.
Hoja ni Dodoma vs Mwanza....kuna vitu vipo only in Dodoma huwezi kuvipata Mwanza kubali matokeo usijaribu kujifariji kwa kutumia third party ya South Africa😆😆
Kumbe huko Mwanza hakuna ulevi wala viwanda vya pombe na spirits eti😆Kwendraaa hatutaki ulevi sisi. Dodoma ishindanishwe na Moshi au Iringa kwanza Haina hadhi ya kuwa Jiji.
Anyway tusiponde biashara ila kiuhalisia dodoma inakuja vizuri lakini huwezi ilinganisha na mwanza mtani wangu.Kumbe huko Mwanza hakuna ulevi wala viwanda vya pombe na spirits eti😆
Kwa vigezo vipi toa facts sio porojo, Eneo la Jiji la Dodoma ni kubwa kuliko Mwanza (eneo la jiji la Dodoma lipo intact sehemu moja hakuna magap yoyote ukiacha sehemu chache za Kambi za majeshi kamavile Msalato,Ihumwa,Ntyuka) tofauti na Mwanza ambayo eneo kubwa ni Ziwa Victoria na Mawe ya Milimani. Ukija Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lilopimwa na kupangiliwa mipango miji na miundombinu kwa zaidi ya asilimia 90.Anyway tusiponde biashara ila kiuhalisia dodoma inakuja vizuri lakini huwezi ilinganisha na mwanza mtani wangu.
Ukisema tuangalie ukubwa wa eneo ,,,songea itashika nafasi ya kwanza maana Ina km 2500 za mrabaKwa vigezo vipi toa facts sio porojo, Eneo la Jiji la Dodoma ni kubwa kuliko Mwanza (eneo la jiji la Dodoma lipo intact sehemu moja hakuna magap yoyote ukiacha sehemu chache za Kambi za majeshi kamavile Msalato,Ihumwa,Ntyuka) tofauti na Mwanza ambayo eneo kubwa ni Ziwa Victoria na Mawe ya Milimani. Ukija Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lilopimwa na kupangiliwa mipango miji na miundombinu kwa zaidi ya asilimia 90.
Mwanza inazidi Dodoma Jiji baadhi ya vitu ikiwemo population,viwanda,biashara ya samaki na madini basi
Eti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu[emoji23][emoji23]Kwa vigezo vipi toa facts sio porojo, Eneo la Jiji la Dodoma ni kubwa kuliko Mwanza (eneo la jiji la Dodoma lipo intact sehemu moja hakuna magap yoyote ukiacha sehemu chache za Kambi za majeshi kamavile Msalato,Ihumwa,Ntyuka) tofauti na Mwanza ambayo eneo kubwa ni Ziwa Victoria na Mawe ya Milimani. Ukija Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lilopimwa na kupangiliwa mipango miji na miundombinu kwa zaidi ya asilimia 90.
Mwanza inazidi Dodoma Jiji baadhi ya vitu ikiwemo population,viwanda,biashara ya samaki na madini basi
Ni kweli kabisa utaona nabadili topic kwakuwa kwanza huna ujualo kuhusu Wines.Umekariri wine moja tu ya Presedential kwakuwa ulimuona Rais Kenyatta kapewa na Fiorenzo.Ngoja kwa hilo tukuache na ushamba wa wines za Dodoma za grade ya mwisho kwa ubora.Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja[emoji3][emoji3][emoji3]mwanzo umesema wine za dodoma ni bei rahisi kuliko za South Africa sasa nimekupa mfano wa wine moja tu ya Presidential Red wine na beiyake umekimbia.
Haya tuje sasa unaposema unitajie hzo best wine in Tanzania nitajie jiji linalotengeneza brands nyingi za wine apa Tanzania[emoji3][emoji3][emoji3]kama Mwanza itakuepo.
Hoja ni Dodoma vs Mwanza....kuna vitu vipo only in Dodoma huwezi kuvipata Mwanza kubali matokeo usijaribu kujifariji kwa kutumia third party ya South Africa[emoji38][emoji38]
Njoo na na kitu Cha kusupport maelezo yako naona hata mwanza huifahamu .Kwa vigezo vipi toa facts sio porojo, Eneo la Jiji la Dodoma ni kubwa kuliko Mwanza (eneo la jiji la Dodoma lipo intact sehemu moja hakuna magap yoyote ukiacha sehemu chache za Kambi za majeshi kamavile Msalato,Ihumwa,Ntyuka) tofauti na Mwanza ambayo eneo kubwa ni Ziwa Victoria na Mawe ya Milimani. Ukija Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lilopimwa na kupangiliwa mipango miji na miundombinu kwa zaidi ya asilimia 90.
Mwanza inazidi Dodoma Jiji baadhi ya vitu ikiwemo population,viwanda,biashara ya samaki na madini basi
Bro namcheki tu, huyu dogo ana wenge kama la sunk in the name of choice variableEti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu[emoji23][emoji23]
Chipogolo ipo wilaya ya Mpwapwa kwa taarifa yako...hapa hoja iliyopo ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji naona hata wenzako wanachanganya kulinganisha Dodoma Mkoa na Mwanza Mkoa.Unasema mapori ....mapori gani ambayo hajapimwa asilimia 90 ya jiji la Dodoma limeshapimwa kama unabisha nenda sehemu yoyote kavamie kama utakuta eneo la wazi lisilo na hatiEti hakuna magep ..Toka msalato Hadi veyula Kuna mapori na mashamba ya kutosha ..Toka Nala Hadi chipogolo ni jangwa ..Toka mkonze Hadi mpunguzi ni vichaka na milima iliyokauka .Toka nzuguni Hadi ihumwa Kuna machaka ya kufa mtu .....ukiwa maili mbili ukitembea kidogo kuitafuta mwatano unakutana na machaka ...ukiwa mipango ukitembea mita 500 kuelekea mbwanga ni machaka tu[emoji23][emoji23]
Kama kawaida yako utabadili topics zote kukwepa hoja.....nimekuuliza maswali hujajibu hata moja unadiverge topics. Wewe unayejua wine industry ya Tanzania tuambie jiji gani linaloongoza kutengeneza hizo wine apa Tanzania😀😀😀 alafu tulinganishe na Mwanza fact kwa fact hatutaki porojoNi kweli kabisa utaona nabadili topic kwakuwa kwanza huna ujualo kuhusu Wines.Umekariri wine moja tu ya Presedential kwakuwa ulimuona Rais Kenyatta kapewa na Fiorenzo.Ngoja kwa hilo tukuache na ushamba wa wines za Dodoma za grade ya mwisho kwa ubora.
Na pia nakubaliana na wewe kabisa,kuna vitu vipo tu Dodoma kama TRACHOMA na huwezi kuvikuta Mwanza kamwe
Acheni kulinganisha mwanza na upumbavuChipogolo ipo wilaya ya Mpwapwa kwa taarifa yako...hapa hoja iliyopo ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji naona hata wenzako wanachanganya kulinganisha Dodoma Mkoa na Mwanza Mkoa.Unasema mapori ....mapori gani ambayo hajapimwa asilimia 90 ya jiji la Dodoma limeshapimwa kama unabisha nenda sehemu yoyote kavamie kama utakuta eneo la wazi lisilo na hati