Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Sasa hizi nyumba utalinganisha na nyumba zenu za tembe we fala?.
😂😂😂😂 Makasiriko ya nini bwashee

Ndani ya Jiji la Dom hakuna tembe,hizo mabanda ya nguruwe ziko Mwanza mjini 80% ya Mji umejaa haya mabanda 😁😁😁😁
 
Mbona hzi picha nzuri sana ... huwezi fananisha na tembe za mpunguzi au mabanda ya pale chang'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe unapost na hii mitaa pia [emoji28][emoji28][emoji28]..usijisahaulishe[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kujifurahisha na hapo sijawagusa vitovu wajinga nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…