The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Picha zote nazotupia huzioni au? Na hizi ni nini?Watu wa Dodoma muache kujichetua, sasa mbona mna maneno mengi lakini hamji na evidence, leteni Basi hata picha za huo mji wenu tusadiki hayo maneno yenu mbona ni blah blah tu, mara arena, mara airport, Mara majengo marefu.... Sasa si muyalete hapa tuyaone hata Kama ziko hatua za mwanzo za ujenzi nyie leteni
Kama kawaida baada ya kupigwa za ugoko umeanza kutapatapa.Nyie mnapambana tu kuleta renders ambazo infact hata mwanza zipo Tena nyingi mpaka renders za mahoteli yanayoelea majini hatuyaleti sababu tunajua hayana uhalisia, leteni vitu vyenye uhalisia tufanye comparison
Yani mji kuwa na nyumba elfu moja zinazofanana wewe kwako ni kitu Cha ajabu Sanaa! Mwanza hakuna nyumba elfu moja zinazofanana Ila kuna nyumba Kali Sana maelfu na zimejengwa tu na watu binafsi, by the way kuna maajabu gan katika hizo nyumba elfu moja zinazofanana Yan ni nini kinawafanya muone ni kitu Cha ajabu, wagogo bna mna utani[emoji23]Aisee Mkuu usiendelee kuwatesa namna hii jua wanaumia lakini hawana namna
Untouchable ππππ .Hawana chochote hawa zaidi ya ubishi.
Watu husema ukiwa karibu na uaridi nawe utanukia.
sasa wameleta hii Mada ili angalau waongelewe na wao wajione wakubwa kumbe kijiji tu.
wakati mwingine tumshauri afungue uzi wa Mbeya na Dodoma.
Mwanza is untouchable mazee.
Dar pekee ndo yuko mbele ya Mwanza
Kufanya stori iwe fupi waambie kisesa, usagara zipo wilaya ya magu na misungwi wasizing'ang'anie, mwisho wao ni buhongwa na igoma-nyamuhongolo huko kwingine wasipitishe mapua hapawahusu.Kwanza usagara na isesa sio sehemu ya Jiji la Mwanza,ni kama vile unasema kukatiza Jiji la Mbeya kutoka Mbalizi hadi Inyala ambako ni km 60 iwe Mbeya Jiji.
We ni msukuma zezeta kabisaWw ni Mgogo kilaza kabisa
Ok hapa nimeiona kuna picha ya ikulu(serikali), kuna iyumbu project(serikali), na udom(serikali), sasa niambie hivi vitu ndo vinakufanya upige kelele kwamba dodoma inaipita mwanza ? Yan ni hivi!Picha zote nazotupia huzioni au? Na hizi ni nini?
View attachment 2080928
View attachment 2080930
View attachment 2080931
View attachment 2080932
View attachment 2080933
View attachment 2080934
View attachment 2080936
View attachment 2080937
View attachment 2080939
View attachment 2080940
View attachment 2080942
View attachment 2080943
View attachment 2080944
View attachment 2080946
View attachment 2080948
View attachment 2080950
View attachment 2080952
View attachment 2080953
Una uhakika, hebu kaangalie report za gdp recently kwa majini ni yupi anaongoza na anayemfuatiaUntouchable [emoji3][emoji38][emoji38][emoji38] .
Mapato ya ndani Dom inashindana na Dar tuu [emoji116]
View attachment 2080956
View attachment 2080957
vijumba na wala sio nyumba....kota nazo utasema nyumba? istoshe kama ni nyumba zilizofanana hata national housing wamejenga kari bu kila mkoa vijumba vya namna iyoYani mji kuwa na nyumba elfu moja zinazofanana wewe kwako ni kitu Cha ajabu Sanaa! Mwanza hakuna nyumba elfu moja zinazofanana Ila kuna nyumba Kali Sana maelfu na zimejengwa tu na watu binafsi, by the way kuna maajabu gan katika hizo nyumba elfu moja zinazofanana Yan ni nini kinawafanya muone ni kitu Cha ajabu, wagogo bna mna utani[emoji23]
Acha ndoto za kusadikika habari ya mjini ni kuhamia Dodoma popote pale unapoishi kama ni mjanja nakushauri ndugu yangu make Dodoma your second home utakuja nishukuru kabla viwanja havijavuka Bahi be part of it.sasa hivi mpaka viongozi wa nchi wanapakimbia Dodoma halafu useme kule kijijini kuje kuwe Center nani ajenge porini hivyo
Hatuzungimzii GDP za mkoa,tunazungumzia mapato ya maji mawili,usikimbilie kujificha kichaka cha GDP ππUna uhakika, hebu kaangalie report za gdp recently kwa majini ni yupi anaongoza na anayemfuatia
Kwamba hujaona viwanda hapo? Ok tufanye hizo nyumba za serikali wataishi kina nani humo? Unadhani zinagawiwa bure? Watanunua watu wenye pesa,ndio maana hazikujengwa Mwanza hakuna mtu atanunua hamna pesa.Ok hapa nimeiona kuna picha ya ikulu(serikali), kuna iyumbu project(serikali), na udom(serikali), sasa niambie hivi vitu ndo vinakufanya upige kelele kwamba dodoma inaipita mwanza ? Yan ni hivi!
Endelea kuota Brother K na mashati yako mapana, nikufikishie tu taarifa kuwa NALA au mitaa mipiya na yapembezoni hivi sasa kumekucha na tunazd kujenga kwa kasi kila mtaa ni mwendo wa bati za rangi za kufanana nakuachiana nafasi, endeleeni kuzubaa huko ziwani.Miradi ya Magufuli ikiisha Dodoma chali.
Na sasa hivi watu wamepunguza kasi ya kudemand viwanja kama ilivyokuwa awali.
Picha za Serikali ndo zimejaa humu, hujanishawishi ni kitu gani hasa kikubwa cha kushindanisha na Mwanza.Picha zote nazotupia huzioni au? Na hizi ni nini?
Hapa wanaparuka kama hawapaoni vile wazee wa uvuviniUntouchable [emoji3][emoji38][emoji38][emoji38] .
Mapato ya ndani Dom inashindana na Dar tuu [emoji116]
View attachment 2080956
View attachment 2080957
Hapa umegusa panapouma jiandae wana Mwanza muda si mrefu watatoa milio ya pakaKwamba hujaona viwanda hapo? Ok tufanye hizo nyumba za serikali wataishi kina nani humo? Unadhani zinagawiwa bure? Watanunua watu wenye pesa,ndio maana hazikujengwa Mwanza hakuna mtu atanunua hamna pesa.
Watakwambia Dom hakuna viwanda sijui nini wakati kumbe wanalishana michembe ππ.Hapa wanaparuka kama hawapaoni vile wazee wa uvuvini
Ni hivi huwezi jengea apartments washamba kama nyie wasukuma mnaishi kwenye mawe na milima kama kenge.Picha za Serikali ndo zimejaa humu, hujanishawishi ni kitu gani hasa kikubwa cha kushindanisha na Mwanza.
Je ni UDOM, IKULU, Nyumba 1000 za kufanana, au hizo render zako?
Na hizi nyumba zimejengwa Dodoma kwa kuwa watu wake hawana uwezo wa kujenga nyumba za kisasa, ndo wakawekewa hizo kota wakaishi huko,Kwamba hujaona viwanda hapo? Ok tufanye hizo nyumba za serikali wataishi kina nani humo? Unadhani zinagawiwa bure? Watanunua watu wenye pesa,ndio maana hazikujengwa Mwanza hakuna mtu atanunua hamna pesa