Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Watu wa Dodoma muache kujichetua, sasa mbona mna maneno mengi lakini hamji na evidence, leteni Basi hata picha za huo mji wenu tusadiki hayo maneno yenu mbona ni blah blah tu, mara arena, mara airport, Mara majengo marefu.... Sasa si muyalete hapa tuyaone hata Kama ziko hatua za mwanzo za ujenzi nyie leteni
Picha zote nazotupia huzioni au? Na hizi ni nini?

Screenshot_20220114-125444.png


Screenshot_20220114-130158.png


Screenshot_20220114-125519.png


Screenshot_20220114-125451.png


Screenshot_20220114-125444.png


Screenshot_20220114-124045.png


Screenshot_20220114-102749.png


Screenshot_20220114-102622.png


Screenshot_20220114-122709.png


Screenshot_20220114-124118.png


Screenshot_20220114-125411.png


Screenshot_20220114-125552.png


Screenshot_20220114-130342.png


Screenshot_20220114-130450.png


Screenshot_20220114-133947.png


Screenshot_20220114-134003.png


Screenshot_20220114-134016.png


Screenshot_20220114-134050.png
 
Nyie mnapambana tu kuleta renders ambazo infact hata mwanza zipo Tena nyingi mpaka renders za mahoteli yanayoelea majini hatuyaleti sababu tunajua hayana uhalisia, leteni vitu vyenye uhalisia tufanye comparison
Kama kawaida baada ya kupigwa za ugoko umeanza kutapatapa.

Nakupa render na construction ikiendelea.Dom is a huge construction site
 
Aisee Mkuu usiendelee kuwatesa namna hii jua wanaumia lakini hawana namna
Yani mji kuwa na nyumba elfu moja zinazofanana wewe kwako ni kitu Cha ajabu Sanaa! Mwanza hakuna nyumba elfu moja zinazofanana Ila kuna nyumba Kali Sana maelfu na zimejengwa tu na watu binafsi, by the way kuna maajabu gan katika hizo nyumba elfu moja zinazofanana Yan ni nini kinawafanya muone ni kitu Cha ajabu, wagogo bna mna utani[emoji23]
 
Hawana chochote hawa zaidi ya ubishi.

Watu husema ukiwa karibu na uaridi nawe utanukia.
sasa wameleta hii Mada ili angalau waongelewe na wao wajione wakubwa kumbe kijiji tu.

wakati mwingine tumshauri afungue uzi wa Mbeya na Dodoma.

Mwanza is untouchable mazee.
Dar pekee ndo yuko mbele ya Mwanza
Untouchable 😀😆😆😆 .

Mapato ya ndani Dom inashindana na Dar tuu 👇

Screenshot_20210819-135139.png


Screenshot_20210819-135201.png
 
Kwanza usagara na isesa sio sehemu ya Jiji la Mwanza,ni kama vile unasema kukatiza Jiji la Mbeya kutoka Mbalizi hadi Inyala ambako ni km 60 iwe Mbeya Jiji.
Kufanya stori iwe fupi waambie kisesa, usagara zipo wilaya ya magu na misungwi wasizing'ang'anie, mwisho wao ni buhongwa na igoma-nyamuhongolo huko kwingine wasipitishe mapua hapawahusu.
 
Yani mji kuwa na nyumba elfu moja zinazofanana wewe kwako ni kitu Cha ajabu Sanaa! Mwanza hakuna nyumba elfu moja zinazofanana Ila kuna nyumba Kali Sana maelfu na zimejengwa tu na watu binafsi, by the way kuna maajabu gan katika hizo nyumba elfu moja zinazofanana Yan ni nini kinawafanya muone ni kitu Cha ajabu, wagogo bna mna utani[emoji23]
vijumba na wala sio nyumba....kota nazo utasema nyumba? istoshe kama ni nyumba zilizofanana hata national housing wamejenga kari bu kila mkoa vijumba vya namna iyo
 
sasa hivi mpaka viongozi wa nchi wanapakimbia Dodoma halafu useme kule kijijini kuje kuwe Center nani ajenge porini hivyo
Acha ndoto za kusadikika habari ya mjini ni kuhamia Dodoma popote pale unapoishi kama ni mjanja nakushauri ndugu yangu make Dodoma your second home utakuja nishukuru kabla viwanja havijavuka Bahi be part of it.
 
Ok hapa nimeiona kuna picha ya ikulu(serikali), kuna iyumbu project(serikali), na udom(serikali), sasa niambie hivi vitu ndo vinakufanya upige kelele kwamba dodoma inaipita mwanza ? Yan ni hivi!
Kwamba hujaona viwanda hapo? Ok tufanye hizo nyumba za serikali wataishi kina nani humo? Unadhani zinagawiwa bure? Watanunua watu wenye pesa,ndio maana hazikujengwa Mwanza hakuna mtu atanunua hamna pesa.
 
Miradi ya Magufuli ikiisha Dodoma chali.
Na sasa hivi watu wamepunguza kasi ya kudemand viwanja kama ilivyokuwa awali.
Endelea kuota Brother K na mashati yako mapana, nikufikishie tu taarifa kuwa NALA au mitaa mipiya na yapembezoni hivi sasa kumekucha na tunazd kujenga kwa kasi kila mtaa ni mwendo wa bati za rangi za kufanana nakuachiana nafasi, endeleeni kuzubaa huko ziwani.
 
Hapa wanaparuka kama hawapaoni vile wazee wa uvuvini
Watakwambia Dom hakuna viwanda sijui nini wakati kumbe wanalishana michembe 😃😃.

Dom ina viwanda vingi kuanzia vya kusafisha dhahabu,mbolea,wine,magodoro,mafuta nk nk na saizi wanajenag logistics center kubwa kabisaa.

Wanadhani Dom ni ile ya kusimuliwa 😂😂
 
Picha za Serikali ndo zimejaa humu, hujanishawishi ni kitu gani hasa kikubwa cha kushindanisha na Mwanza.
Je ni UDOM, IKULU, Nyumba 1000 za kufanana, au hizo render zako?
Ni hivi huwezi jengea apartments washamba kama nyie wasukuma mnaishi kwenye mawe na milima kama kenge.

Kwanza Jiji la maskini hilo komaeni na kuvua dagaa tuu mtuletee huku mjini
 
Kwamba hujaona viwanda hapo? Ok tufanye hizo nyumba za serikali wataishi kina nani humo? Unadhani zinagawiwa bure? Watanunua watu wenye pesa,ndio maana hazikujengwa Mwanza hakuna mtu atanunua hamna pesa
Na hizi nyumba zimejengwa Dodoma kwa kuwa watu wake hawana uwezo wa kujenga nyumba za kisasa, ndo wakawekewa hizo kota wakaishi huko,
Miji mikubwa inayojitambua hawawezi kuweka nyumba 1000 zinafanana nani atanunua watu wana pesa zao za kujenga nyumba kubwa na nzuri zaidi ya hizo. Hata mimi siwezi kununua nyumba ya kota
 
Back
Top Bottom