The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Picha zote nazotupia huzioni au? Na hizi ni nini?Watu wa Dodoma muache kujichetua, sasa mbona mna maneno mengi lakini hamji na evidence, leteni Basi hata picha za huo mji wenu tusadiki hayo maneno yenu mbona ni blah blah tu, mara arena, mara airport, Mara majengo marefu.... Sasa si muyalete hapa tuyaone hata Kama ziko hatua za mwanzo za ujenzi nyie leteni