Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Umeonaje panavyopendeza like Zurich [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059]... huwezi pata view safi kama hyo hapo mpunguzi [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mike na kwenye hizo picha zijaona mitaa ya round about ya nyerere, mitaa ya rufiji, uhuru, pamba, na natta zenye high rising skyscraper kama jiji la Berlin, hakika Mwanza inatishaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mike na kwenye hizo picha zijaona mitaa ya round about ya nyerere, mitaa ya rufiji, uhuru, pamba, na natta zenye high rising skyscraper kama jiji la Berlin, hakika Mwanza inatisha[emoji91][emoji91][emoji91]
We muache alivyo zwazwa ..ajiaminishe hvyo [emoji28][emoji28][emoji28]......namsubiri photographer TUISHI..atupie shot Moja tu ya nela na Ghana .ili habari ya dodoma inaishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We muache alivyo zwazwa ..ajiaminishe hvyo [emoji28][emoji28][emoji28]......namsubiri photographer TUISHI..atupie shot Moja tu ya nela na Ghana .ili habari ya dodoma inaishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nera, kirumba, ghana, buzuruga na nyegezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hili jiji la Mwanza ni dude kubwa sana
 
Kuna anayeweza kunishinda hoja hapa, nimewaambia dodoma shindanisha na Ghana street
Haya tuambie hiyo ghana street ndio ikoje kuizidi dodoma lkn matusi yametokea wapi?? Au wewe ni mwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…