Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Feasibility study and detailed engineering design for decogestion to dual carriage mwanza urban along nyanguge section.km 25 .......
Feasibility completed ....
[emoji116][emoji116]
Screenshot_20230314-194852.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeonaje panavyopendeza like Zurich [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji3059]... huwezi pata view safi kama hyo hapo mpunguzi [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mike na kwenye hizo picha zijaona mitaa ya round about ya nyerere, mitaa ya rufiji, uhuru, pamba, na natta zenye high rising skyscraper kama jiji la Berlin, hakika Mwanza inatisha๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Mike na kwenye hizo picha zijaona mitaa ya round about ya nyerere, mitaa ya rufiji, uhuru, pamba, na natta zenye high rising skyscraper kama jiji la Berlin, hakika Mwanza inatisha[emoji91][emoji91][emoji91]
We muache alivyo zwazwa ..ajiaminishe hvyo [emoji28][emoji28][emoji28]......namsubiri photographer TUISHI..atupie shot Moja tu ya nela na Ghana .ili habari ya dodoma inaishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We muache alivyo zwazwa ..ajiaminishe hvyo [emoji28][emoji28][emoji28]......namsubiri photographer TUISHI..atupie shot Moja tu ya nela na Ghana .ili habari ya dodoma inaishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nera, kirumba, ghana, buzuruga na nyegezi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hili jiji la Mwanza ni dude kubwa sana
 
Kuna anayeweza kunishinda hoja hapa, nimewaambia dodoma shindanisha na Ghana street
Haya tuambie hiyo ghana street ndio ikoje kuizidi dodoma lkn matusi yametokea wapi?? Au wewe ni mwendawazimu
 
Back
Top Bottom