Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mkuu sijajua kama unatuogopa kiasi cha kuchanganyikiwa dizaini hiyo ila suala ni dogo tu kukubali kuwa mmeelemewa na jiji la kisasa la Dodoma ndiyo tiba.
 
Poa ndugu yangu nimekuelewa na Mimi situkani Tena. Lakini nashangaa kwanini mwanza inalinganishwa na kila mkoa mpaka count za Kenya au ndo tuseme kitu kizuri hujitangaza chenyewe?
Ni kwa sababu ukiwa mshamba, kibonde au mpenda sifa ambazo huna lazima upumzikiwe na kila raia iwe ni shuleni, gerezani,ofisini au katika maisha ya mtaa..kwa nini wasijilinganishe na Dar au Dom ni kwa sababu wanajua hizo ni level zingine ila Mwanza ni mediocre town ilojaa mabanda, barabara za panya na vumbi so wakijipima wanaona possibility yakutusua kirahisi battle, back to Dodoma city siye tunachoitaji ni kukabidhiwa crown yetu tu basi wala hatuna ugomvi na nyie.
 
Sawa mkazi wa nyakato....nani asiyekujua ww ni WA mwanza [emoji28][emoji28]...uko unawachota tu wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri kwa namna hii ndo nitaacha kutembeza dozi...hapa ni mpaka mtoke huko nyambiti kwenye majabali mlikojificha mje mkiri kwa vinywa vyenu kuwa Mwanza yenu mbele ya Dodoma ni kijiji kikubwa.
 
Dude kubwa lisilo na content [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hayo maneno kamwambie mkeo, angalia hapa hizi ndio contents za watoto wa mjini, sitaki useme hapa ni Paris au las Vegas noooo hapa ni Mwanza kwa wala bataπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Maneno mengi kama mcheza singeli, look at this chaotic city, marvelous, fantastic, astonishing, amazing, adorable and awesome city with hot lake viewπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wewe nawe hujielewi Dar inpambanishwa na Nairobi pia na mombasa na Kuna wajinga wanapambanisha dar na Arusha . Ndo ujue vitu vizuri Huwa ni ndoto ya kila mtu.
 
Wewe nawe hujielewi Dar inpambanishwa na Nairobi pia na mombasa na Kuna wajinga wanapambanisha dar na Arusha . Ndo ujue vitu vizuri Huwa ni ndoto ya kila mtu.
Dar kulinganishwa na Nairobi hawakosei maana ni miji mikubwa inayotoshana ubavu katika maeneo mengi lakini kuilinganisha Dar na vitu vingine vya ajabu ni kuikosea heshima.

Jiulize kwanini haijawai kutokea idea hata mbovu ya kuilinganisha Dar na Mwanza instead watu wanaona ni bora wailinganishe walahu na Chuga, Ni kwa kuwa uwezi kuanzisha ugomvi ambao tiyari unajua mwisho wake ni kuchapwa.

Na jibu sahihi ni kuwa Mwanza haina hadhi ya kuwa jiji la pili after Dar kwa kuwa umbali ambao Mwanza imeachwa na Dar katika mizania na quality ya majiji haya mawili ni mbingu na ardhi.
 
Kumbe the climax ishakamilika[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ndo mnasherehekea ufunguzi wa kiosk kidogo cha pombe au glossary ya kimasikini mbele ya kiaminio chenu cha roki citi moli, sasa hii bar inautofauti gani na zile bar za kabengo pale mabatini au If why not why not kule uswazini Igoma?

Mara mia na Eyembe bar ya Musoma ina vibe kuliko hii takataka.
 
Tupunguze maneno makali, hii battle ni kujifurahisha tu, sote tunajua Mwanza ni zaidi ya miji yote kutoa Dar, humu ni kama burudani na utani bila kuvunjiana heshma.
Huyo mshamba ndio ameanza kutukana nimemuelekeza anajifanya mjuaji kumbe shamba fulani tu
 
Basi dodoma ni Jiji la pili, umefurahii sasa?
 
Wivu. Kwanza nani kakuambia hyo ni bar ....[emoji28][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12].....
Stop ujuha mzee utaja umbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your browser is not able to display this video.

Burudani hii utaipata wapi Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…