Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #3,421
Mkuu sijajua kama unatuogopa kiasi cha kuchanganyikiwa dizaini hiyo ila suala ni dogo tu kukubali kuwa mmeelemewa na jiji la kisasa la Dodoma ndiyo tiba.Safi sana, japo watu wanaudhi sana twende nao polepole tu, humu ukitoka utaenda battle la Arusha huko, ukitoka huko utaenda battle la Mbeya ukitoka kuna kisumu kote huko tukiwa harsh ni hatari, tunaudhiwa lakini tuwe humble tuwajibu kwa fact na picha na utani kiasi[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
Mtu kama sunk fallacy au undava wale ni vichaa ni sawa nakujichosha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]