Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ukitoa Dar Es Salaam hakuna mji mwingine Tanzania wenye mtandao mpana wa barabara za lami kama Dodoma. Dodoma ukwame wapi kila sehemu lami tupuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuanzia katikati ya jiji hadi ndani ndani huko Nkuhungu lami hadi pembeni mwa nyumba za watu
 
Dodoma inaongoza Bwashee ,ingia kwenye takwimu.
 
Kweli hichi kijiji cha wavuvi, nyumba zimekaa bila mupangilio yani panaonekana kama dampo vile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii ndio mwanza ya kuifananisha na Arusha!?
Hii inawatesa hata robo ya hii Barabara haijafika just kuanzia kemondo jengo la CCM na NCU house. Amechukulia kuanzia samaki samaki round about je angeileta yote hapa si mngepanic wazee na Bado Kuna rwegasore, Lumumba, pamba, karuta, uhuru, rufiji, mission, mitimirefu, Nyerere road, n.k
 
Kama kawaida naona uswazi na slums tupu hapo na tugorofa twa kuokoteza πŸ€ͺπŸ€ͺ

Mwanza ni uchafu aisee
UHivyo vijinyumba vimepangana kama maboksi yaliyotupwa dampo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli watu wa shamba city wanajidhalilisha Sana ..apo ndio wanaona jiji limekuwa kumbe slams za kushato pako kama dampo vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…