Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

UHivyo vijinyumba vimepangana kama maboksi yaliyotupwa dampo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli watu wa shamba city wanajidhalilisha Sana ..apo ndio wanaona jiji limekuwa kumbe slams za kushato pako kama dampo vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnaleta picha zinazopigwa na wasiokuwa na Simu utajuaje pako poa hebu angalia palivyo halafu jiulize upo sawa kweli au ndo kushupaza shingo
_20221111_090620.JPG
_20221111_090507.JPG

Pako hivyo tatizo hata kununua Simu Kali zenye uwezo mkubwa wa kupiga picha hamna.
 
Mleta picha mnazopiga na wasipokuwa na Simu utajuaje pako poa hebu angalia palivyo halafu jiulize upo sawa kweli au ndo kushupaza shingoView attachment 2557382View attachment 2557383
Pako hivyo tatizo hata kununua Simu Kali zenye uwezo mkubwa wa kupiga picha hamna.
Umechagua kaeneo kadogo kanakokufurahisha ila aerial view ni mabanda ya nguruwe matupu 😁😁😁

Huwezi Kuta hayo matakataka Dodoma.
 
UHivyo vijinyumba vimepangana kama maboksi yaliyotupwa dampo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli watu wa shamba city wanajidhalilisha Sana ..apo ndio wanaona jiji limekuwa kumbe slams za kushato pako kama dampo vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dodoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umechagua kaeneo kadogo kanakokufurahisha ila aerial view ni mabanda ya nguruwe matupu 😁😁😁

Huwezi Kuta hayo matakataka Dodoma.

Ndo Nini na wewe sasa mwanalizombe, hunaga vitu shindanishi humu. Yaani hili ndilo lijinga kuliko watumiaji wote wa jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huwa linatuma vitu linavyovifurahia lenyewe.
 
Ndo Nini na wewe sasa mwanalizombe, hunaga vitu shindanishi humu. Yaani hili ndilo lijinga kuliko watumiaji wote wa jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huwa linatuma vitu linavyovifurahia lenyewe.
Acha makasiriko ngosha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukitoa Dar Es Salaam hakuna mji mwingine Tanzania wenye mtandao mpana wa barabara za lami kama Dodoma. Dodoma ukwame wapi kila sehemu lami tupu[emoji3][emoji3][emoji3] kuanzia katikati ya jiji hadi ndani ndani huko Nkuhungu lami hadi pembeni mwa nyumba za watu
Huwa sibishani na maneno matupu ....kama huna picha au figure u better keep quiet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inawatesa hata robo ya hii Barabara haijafika just kuanzia kemondo jengo la CCM na NCU house. Amechukulia kuanzia samaki samaki round about je angeileta yote hapa si mngepanic wazee na Bado Kuna rwegasore, Lumumba, pamba, karuta, uhuru, rufiji, mission, mitimirefu, Nyerere road, n.k
Hii inawatesa nyie shamba city siyo sisi ..ndio maana munaangaika kupost vipicha vyenu munazidi kujidhalilisha tu em angalia mfano iyo picha apo apaeleweki wanaishi watu wa level gani, nyumba hazina mupangilio mumejazana apo karibu na ziwa ili iwe rahisi kumwaga mauchafu yenu uko ziwani.

Hii siyo view nzuri ya kuonesha sema kwa sababu ya ushamba wenu wa kitoto basi munaona ni bonge la city kumbe ata dodoma tu hapo pamoja na ukame ila soon tu apo mujiandae kukalishwa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Jiji gani ilo kuna ziwa lakini maji bado ya shida? Vyoo vyenyewe hakuna, watu wanakunya ziwani.
 
Hii inawatesa nyie shamba city siyo sisi ..ndio maana munaangaika kupost vipicha vyenu munazidi kujidhalilisha tu em angalia mfano iyo picha apo apaeleweki wanaishi watu wa level gani, nyumba hazina mupangilio mumejazana apo karibu na ziwa ili iwe rahisi kumwaga mauchafu yenu uko ziwani. Hii siyo view nzuri ya kuonesha sema kwa sababu ya ushamba wenu wa kitoto basi munaona ni bonge la city kumbe ata dodoma tu hapo pamoja na ukame ila soon tu apo mujiandae kukalishwa.[emoji3][emoji3][emoji3]
Jiji gani ilo kuna ziwa lakini maji bado ya shida? Vyoo vyenyewe hakuna, watu wanakunya ziwani.
Zenye mpangilio ziko wapi ..unga limited,moshono,sinoni, nkuhungu,mailimbili au mkonze , [emoji28][emoji116]...picha ziko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha Kuna n
Hii inawatesa nyie shamba city siyo sisi ..ndio maana munaangaika kupost vipicha vyenu munazidi kujidhalilisha tu em angalia mfano iyo picha apo apaeleweki wanaishi watu wa level gani, nyumba hazina mupangilio mumejazana apo karibu na ziwa ili iwe rahisi kumwaga mauchafu yenu uko ziwani. Hii siyo view nzuri ya kuonesha sema kwa sababu ya ushamba wenu wa kitoto basi munaona ni bonge la city kumbe ata dodoma tu hapo pamoja na ukame ila soon tu apo mujiandae kukalishwa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jiji gani ilo kuna ziwa lakini maji bado ya shida? Vyoo vyenyewe hakuna, watu wanakunya ziwani.
Yumba za miti zilizokandikwa udongo ndani ya CBD, utalinganisha na mwanza bro, leta njiro hapa nikupatie saizi yake kwa mwanza Tena eneo ambao lipo km kibao kutoka town ndo ujue nyie dodoma na Arusha bado sana.
 
04e998c2bf9699436225264ce94489ed.jpg
6a25b05fd36311dd1b344937dc36f0d9.jpg
69bb85f11eae2e002a5643bbe27bf9d1.jpg
45381451dee55869d73680e9c678bbf5.jpg
87b2ed65007125dcfb7bcb58b0eeb11b.jpg
531d68559017d9ab509592527ca32d25.jpg

Ni mfano tu wa vitu vikali, Sina hulka ya kutuma kitu kimoja kimoja maana hatutamaliza leo ila nimeamua nikuonjeshe ujifunze. Usitegemee miradi ya serikali uje ututambie hapa.
 
Back
Top Bottom