Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dom ni level za Kimataifa sio hizo takataka za Mwanza.

Centre+of+Excellence+in+Leather+Processing+and+Allied+Technologies.jpg

DIT MWANZA. cheki utofauti wa hizi projects.
 
NiMekaa dodoma miaka 3 ..2018 Hadi 2021 ..mitaa ya miyuji ,na mnada wa zamani ..naijua Dom vizuri sana ..hizo unazosema hotel ni uchwara.. at least Ile hotel iliyojengwa hapo kisasa ,na hii ya morena ,,, Labda kama hii ya jiji ikipata mwekezaji..zingine zote ni takataka na uchafu....
Viwanja vya maana dodoma ni vya kuhesabu ilikuwepo pestana ambayo ilikuwa inategemea wanafunzi wa chuo .corona ilivokuja ikapita nayo baada ya wanafunzi kufunga vyuo .. royal village nayo ipo inasua sua ...bambalaga nayo hamna kitu ....
Kuhusu lami leta picha tuone hizo lami classic mbona sisi tunakupa zetu ...[emoji28][emoji28]
Unajitahidi kubadilisha badilisha topics kukwepa hoja 😀😀
Hoteli ipi ambayo haijapata mwekezaji😀😀

Kw
Chuo kipo wilaya ya Kwimba hakipo Mwanza Jiji😀😀 thread hii ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji eneo la Jiji sio Mkoa.Kuhamisha hamisha magoli ni dalili dhahiri ya kushindwa hoja kubali matokeo tu😂😂😂
Kwamba ishu mnaleta humu zote ziko ndani ya dodoma Jiji?
 
Kweli hichi kijiji cha wavuvi, nyumba zimekaa bila mupangilio yani panaonekana kama dampo vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio mwanza ya kuifananisha na Arusha!?
Ebu ngoja kwanza ni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] sasa pawe dampo mara ngapi wakati CBD yao inaitwa dampo na kweli dampo.
 
UHivyo vijinyumba vimepangana kama maboksi yaliyotupwa dampo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli watu wa shamba city wanajidhalilisha Sana ..apo ndio wanaona jiji limekuwa kumbe slams za kushato pako kama dampo vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo tu kwamba hayana mpangilio bali hayo magodauni ya pamba hayana hata mvuto achilia mbali ka-cbd kafinyu afu kamezungukwa na uswazi wa mabati katikati ya mji, milimani kushoto na kulia upenyo ni vijinjia vyembamba kama uzi vya kuponyokea jehanamu kuelekea ziwani.
 
Unajua hawa jamaa wanajitowa ufahamu kabisa. Tatizo ushamba umewajaa adi machoni pao wao kila kitu ni kusifiya tu. Ndio maana wasukuma wengi ni mtaji mkubwa kwa wanasiasa wa nchi hii.
 
Mnaleta picha zinazopigwa na wasiokuwa na Simu utajuaje pako poa hebu angalia palivyo halafu jiulize upo sawa kweli au ndo kushupaza shingoView attachment 2557382View attachment 2557383
Pako hivyo tatizo hata kununua Simu Kali zenye uwezo mkubwa wa kupiga picha hamna.
Mkuu sijadharau iyo maeneo ila unachagua kasehemu kazuri kazuri ndio unapapiga picha 😂😂 ila ukweli unaujua wewe mwenyewe iyo siyo mipangilio inayofaa. Mipango miji wa mwanza Wana feli Sana.
Yani kumekaa kama uswazi vile kumbe ndio mjini penyewe apo 😀😀😀
 
Kw
Kwamba ishu mnaleta humu zote ziko ndani ya dodoma Jiji?
Elewa thread inasemaje 😀😀😀 tunashindanisha Dodoma CBD vs Mwanza CBD sio Mkoa wa Dodoma vs Mkoa wa Mwanza.Kubaliana na matokeo tu😂😂😂
 
Mkuu sijadharau iyo maeneo ila unachagua kasehemu kazuri kazuri ndio unapapiga picha 😂😂 ila ukweli unaujua wewe mwenyewe iyo siyo mipangilio inayofaa. Mipango miji wa mwanza Wana feli Sana.
Yani kumekaa kama uswazi vile kumbe ndio mjini penyewe apo 😀😀😀
Jamaa wanajitoa ufahamu tu hawataki kukubali matokeo.....hivi kuna Jiji apa East Africa lililopimwa na kupangiliwa miundombinu+ master plan kama Dodoma 😀😀😀
 
Jamaa wanajitoa ufahamu tu hawataki kukubali matokeo.....hivi kuna Jiji apa East Africa lililopimwa na kupangiliwa miundombinu+ master plan kama Dodoma [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa mipango ipi labda iliyopo hapo ....ikiwa tu barabara za mtaani ni shiida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]barabara ipi ya mtaani ambayo haijapangiliwa ebu tutajie alafu tulinganishe na vichochoro vya Mwanza Jiji
Ukitaka kufika mbwanga ,unaenda Kwa barabara Gani,,,, nkuhungu Chama, kwenda mwatano kule ni mavumbi tu ,,,ihumwa kuelekea mradi wa SGR ,ni matope na mavumbi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dodoma ni pazuri sana, tena kuliko Arusha [emoji38][emoji38]
Lakini itachukua miaka 10 kwa Dodoma kufikia level za Mwanza
 
NiMekaa dodoma miaka 3 ..2018 Hadi 2021 ..mitaa ya miyuji ,na mnada wa zamani ..naijua Dom vizuri sana ..hizo unazosema hotel ni uchwara.. at least Ile hotel iliyojengwa hapo kisasa ,na hii ya morena ,,, Labda kama hii ya jiji ikipata mwekezaji..zingine zote ni takataka na uchafu....
Viwanja vya maana dodoma ni vya kuhesabu ilikuwepo pestana ambayo ilikuwa inategemea wanafunzi wa chuo .corona ilivokuja ikapita nayo baada ya wanafunzi kufunga vyuo .. royal village nayo ipo inasua sua ...bambalaga nayo hamna kitu ....
Kuhusu lami leta picha tuone hizo lami classic mbona sisi tunakupa zetu ...[emoji28][emoji28]
Unajua kiutawala jiji la Mwanza ni Nyamagana Pekee, ila kieneo jiji la mwanza ni nyamagana na Ilemela. Takwimu za serikali mara nyingi huwa zinahusu halmashauri na hapa ndio hutenganisha Nyamagana na Ilemela kama halmashauri mbili tofauti.

Ila ukiunganisha Ilemela na Nyamagana sidhani kama dom itatoboa kwa barabara za lami.
 
Back
Top Bottom