huyu jamaa anachekesha kweli eti anataka picha kwahyo unataka picha za barabara za lami zote zilizopo ndani ya Jiji la Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]humu tunabishana kwa hoja na facts sio picha. Nakumbuka ulisema Dodoma hakuna hoteli zenye viwango nikakutajia Morena Hotel,Dodoma Hotel,St Gaspar Hotel,Royal Village,Best Western City Hotel,African Dreams Hotel n.k ukataka picha[emoji23][emoji23][emoji23].Ukasema tena Dodoma hakuna viwanda nikakutajia Viwanda zaidi ya 20 vya wine,kiwanda cha mbolea,kiwanda cha Magodoro,kiwanda cha maji+ soft drinks dipc,kiwanda cha nyama n.k nako ukataka picha[emoji23][emoji23][emoji23].Kama kweli umeishi Dodoma Jiji utakubaliana kiulaini tu kuwa Dodoma inaizidi Mwanza kwa vipengele vingi .Kitu pekee Mwanza inachoizidi Dodoma Jiji ni population,viwanda vya samaki pamoja na biashara ya madini basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]